Quote of the decade! Babu ameiprint hii na kuiweka kwa shelf ya moyo wake. Na unapowekwa kwa shelf ya moyo wa ODM you automatically become his property. All right reserved!
Hommie, please use that way.... This way belongs to me lol.... Anyway, wareva. With or without...kwa vile tu haihasemwa, haina maana kuwa imekatazwa...wareva......ivi ulisema Canta anakuja with au without?:juggle:
halafu ukinionea shemeji yangu ZD, mwambie A 'come this way'
Quote of the decade! Babu ameiprint hii na kuiweka kwa shelf ya moyo wake. Na unapowekwa kwa shelf ya moyo wa ODM you automatically become his property. All right reserved!
hii inaitwa 'gari kwanza, mafao baadaye'...think Mr. Rocky....think..
Hahah dah! Kichama zaidi siyo. Naomba kadi, zimeniishia huku.hommie hapo usisahau "vigezo na masharti kuzingatiwa"
Hahah dah! Kichama zaidi siyo. Naomba kadi, zimeniishia huku.
Darling Kaizer
Zingatia haya maagizo: Naomba niondoke chakula ulichoagiza leo will take me forever kuandaa...... Mkimaliza hapa naomba uje na woote wataotaka kuja for I am going to cook for about ten people hivi.... Mhakikishe mnapokuja na ODM, MJ1 awepo pembeni pamoja na Zion D, Michelle tafadhali ampitie Cantalisia.... Mwali ampitie Golden Mpoleee. Rejao, Rocky Maundumla naomba utaja nao wewe. Akina Husny, King', Sweet L, Happuch, wapo nyumbani tayari... Of coz walipelekwa na Lawyer Kloro.... BTW mwambie Kongosho aache swagger zake za kukataa mialiko.....lol
Love to you all....

sawa love hiyo imepita. Kwa vile leo nimetoka na Noah, nikishawapitia hao nitampitia Canta na Michelle pia ili wawahi ile kazi yao maalum😛oa
halafu ODM katika kufanya mazoezi atawahi kuchinja mbuzi....
sawa love hiyo imepita. Kwa vile leo nimetoka na Noah, nikishawapitia hao nitampitia Canta na Michelle pia ili wawahi ile kazi yao maalum😛oa
:rant::rant::alien::alien::yawn::yawn:
Mi hapana taka Noah shem, GX 100,please!
Michelle anajua umuhimu wa what you have done mdogo wangu.... Usiogope....lol....
sawa love hiyo imepita. Kwa vile leo nimetoka na Noah, nikishawapitia hao nitampitia Canta na Michelle pia ili wawahi ile kazi yao maalum😛oa
:rant::rant::alien::alien::yawn::yawn:
Mi hapana taka Noah shem, GX 100,please!
Unavopenda kudeka Michelle lol
Pamoja saana Michelle, Pamoja saana Dear.... Hii post carries my own words thus the blue is reciprocated.... Nashangaa tu nae Sweetie kakimbia sijui, lol. Saizi nawaamini you can go on, or mood imevunjwa tayari?
Nakwambia Cantalisia ni mwoga huyo! lakini atarudie mwenyewe na kukusoma hapa....
Thanks dear...hapana hatuwezi endelea....tunaweza kukwaza tena...Cantalisia yuko anazunguka kote Kaizer anakopita...kazi kweli!