Usha flirt naye sana

Michelle i like your avatar
sijui na wewe uu mrembo hivyo
Kuna mtu nataka kumuanzishia uzi hapa natunga tuu mashairi ila sijui yatapokelewa au yatatupwa kapuni niambulie matusi

Thanks Mr Rocky....avatar yako ni nzuri zaidi...mimi ni mzuri zaidi kwa mtazamo wangu,sijui wengine wataonaje....lol

Nani huyo mwenye bahati ya kufikiriwa >>>>> kuanzishiwa thread na wewe? Lucky HER!

haitatupwa,mwanzishie tu Chit Chat kule tuje tufurahie kama kawaida yetu!
 
yaaaani Kaizer UMENICHEKESHA hadi machozi..... :lol: :lol: :lol:

yaani kicheko cha kutoka rohoni the way Umenifurahisha.... THANKS Love....
Nasikitika tu umetoa siri kua you now don't have access.....Lmao.... Dah!

I tried to access some other priviledged system lol

Am happy love...always...
 

Thanks dear...hapana hatuwezi endelea....tunaweza kukwaza tena...Cantalisia yuko anazunguka kote Kaizer anakopita...kazi kweli!
 

Yupo aise nataka nimuanzishie uzi hapa na nakusanya mashairi ya kumwambia nisije nikaambiwa niende kwanza shule
Asante sana kwa compliment
Na naamini wewe ni zaidi ya hiyo avatar maana huwezi kuchagua avatar kama hiyo kama kiwango chako ni hafifu
naamini umetimiza viwango zaidi ya hiyo Avatar
 
Dah! Siku nlipokutana na Kongosho, sitakaa nisahau. Why Kongosho, why?
 
Yeye anajua wazungu wangapi wanaweza kujivunia hizo cheekbones? hii imekaa bomba!

We acha tu, kwa kuwa umesema wewe twin sisy, na dearest Asha ame-conqur...sina la kuongeza,itabaki kuwa hivyo...kwanza aliyenipa hiyo avatar ni mtu namheshimu sana...waniache tu!
 

aisee kama una Gx100, wala usijaribu....labda jeep moedl 2010....
 

Lol,haya mkuu,tunasubiri mistari...ujue mistari inategemea mlengwa,yeye akiridhika inatosha....lol

Kuhusu viwango...i can't argue with facts (Source: AshaDii)...lol
 
Si afadhali huyo subordinate wa kazini, kuna Mturuki alishafanya kama hivyo, kuja kushutkia siku ya kukutana kakutana na mkewe!
 
aisee kama una Gx100, wala usijaribu....labda jeep moedl 2010....


Mkuu usafiri wangu bado natumia ule niliopewa na Mwenyezi Mungu bana
mambo ya GX 100 sijafikia viwango kabisa
Na kama ananipendea huo usafiri naona hapo uzalendo utanishinda
 
Lol,haya mkuu,tunasubiri mistari...ujue mistari inategemea mlengwa,yeye akiridhika inatosha....lol

Kuhusu viwango...i can't argue with facts (Source: AshaDii)...lol

Hapo nakubaliana na wewe
Mlengwa akiridhika sawa kabisa
Naamini kwa viwango umetimiza bna kupitiliza
hilo halina ubishi kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…