kilasanioni
Senior Member
- Apr 19, 2013
- 111
- 28
Hakuna chakula....."Utakula ulikopeleka mboga"
kuna baba/mama mwenye nyumba, hakuna baba/mama mwenye gari
Kuna kijana mwenye gari.
usione kobe anatembea na nyumba yake,anakwepa ugomvi na majirani