Weee! Una risk kwenda kazini bila nguo siku moja in case safe ikikataa kufunguka!Mkuu niuzie moja niwekee nguo....
Weee! Una risk kwenda kazini bila nguo siku moja in case safe ikikataa kufunguka!
Nimecheka hadi kupaliwa,sasa ATM mtu binafsi afanye nayo nini?
Nina ATM 30 zilizokwishatumika zinauzwa.
baadhi zinafanya kazi lakini nyingine hazifanyi kazi (for spares)
ATM zote sina safe zenye funguo na combination lock.
naziuza kwa bid, mwenye bid nzuri ndio mnunuzi, hakuna minimum price.
Simu 0754-730813, ATM zipo mikocheni, Dar Es Salaam
Picha ya baadhi ya ATM hapo chini
View attachment 214776
View attachment 214777
View attachment 214778
Haya mambo ya kuokota okota vitu ughaibuni,ndiyo matokeo yake hay😵na sasa mtu kaokota ATM mbovu alafu anaziuza kwa mafungu.Kapime kama screpa mkuu.
Jamani nenda kamuuzie mama tibaijuka moja au mawili aweke mpunga then awe anafokoa ado ado
Kama hawezi ingia ubia na benki, basi ili angalau arudishe gharama zake, nashauri akaziuze pale gerezani kama scrapper au katika kiwanda cha nondo mikocheni. Ni ushasuri tu, ila yeye atakuwa anaelewa kwa nini kaleta huu mzigo wenye utata!!
Jamani nenda kamuuzie mama tibaijuka moja au mawili aweke mpunga then awe anafokoa ado ado