usd 1000 za cristmass from Natalia zinaingia lini?

usd 1000 za cristmass from Natalia zinaingia lini?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,605
Wadau niaje?

Kuna mdau aliahidi usd 1000 za cristmass straight from New york..

Kuna yeyote mwenye fununu kama zinaingia lini au Kongosho ameshatuzulumu maana nasikia ye ndo montress wa hilo fungu

Au Natalia ameshafulia alikuwa anatutisha tu
 
Lile lilikuwa changa la macho nadhani cku hyo rutherfod aka mudhungu alimboa so akatafuta watu wa kumkip bize na chating chezeya nataly ww
 
atume hata cards basi turidhike kidogo,wengine na sisi tuoshe kwamba tuna christmass cards from the US mwaka huu.
 
Kwa mawazo yangu nashauri MKATA KIU ungeenda kuulizia hilo deni kwenye jukwaa husika Natalia alipotoa ahadi la MMU. Nway usikate tamaa kwa kuwa ameshanunua ile ticket ya LOTTERY YENYE ZAWADI YA DOLA 450,000.
 
Last edited by a moderator:
Unamaanisha Natalia huyu???

13455904452B8D75.jpg


AU huyu???

MU9399256SR466_250.jpg
 
mbona huwa anatoa mafungu kila sikukuu?. Natalia atatuma tu!. chezeya mtoto ya fisadi mke ya mzungu weye!. hiyo $buku ni kitu kidogo sana kwake. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom