jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,807
Wana JF magezeti ya leo asubuhi kupitia Clouds FM yameripoti Mbunge wa Ubungo apondwa mayai viza kisa hajawaletea maendeleo.Wabunge wanapswa kutekeleza ahadi zao kwa matendo na sio kwa maneno.
Huyu Kijana mpambanaji anahitaji ushauri wa kulinda polical performance yake.
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ
Hivi hilo gazeti linauzwa shilingi ngapi...maana mimi hata kama watanipa bure sitachukuaNI bora kukaa bila kusoma habari kuliko kusoma gazeti la uhuru
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mbona JK hawajampiga mayai viza! Wanafiki. tazama chini hapo:
AHADI ZA CCM UCHAGUZI MKUU 2010
Ninyi watoto wa nyoka acheni kumwaga sumu humu. Mmezewea majungu kama wazazi wenu. Kila kukicha huyu hivi yule vipi. fitna na majungu hamna issue? Haya pelekeni list hii hapa chini kwa hao waliowatuma maana wamejisahau ni nini waliahidi na wajibu wao ni upi.
1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
.........................
10 ....................
.........................
20 ....................
.........................
30 ....................
.........................
40 ....................
........................
50 ....................
........................
60 ....................
........................
69.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
Mkuu, asante sana kwa taarifa hii. Nimesoma katika blogu yako na kweli umefanya mengi katika jimbo lako na mchango wako katika harakati za kuijenga Tanzania.
Ushauri wangu tu, pengine si wana JF wote wanaaielewa blogu yako, hasa wale wenye maneno maneno. Kwa hivyo, ningekuomba ufanye kama alivyofanya Dada yetu Mpendwa, Marehemu Regia, kuwa na utaratibu wa kuweka ahadi za jimboni kwako hapa na hatua zilizofikia za utekelezaji wenu (kwani najua sio peke yako). Ni wazo tu.
UHURU NA KAZI, DEMOKRASIA NA MAENDELEO!
mnyika ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na nimeskia wapo huko kwa wiki nzima sasa amepigwa arusha au?Inashangaza Mnyika mwenyewe hayupo Dar sasa hayo mayai wameyarushaje mpaka yakamfikia au nikupitia DHL???
Wana JF magezeti ya leo asubuhi kupitia Clouds FM yameripoti Mbunge wa Ubungo apondwa mayai viza kisa hajawaletea maendeleo.Wabunge wanapswa kutekeleza ahadi zao kwa matendo na sio kwa maneno.Huyu Kijana mpambanaji anahitaji ushauri wa kulinda polical performance yake.
Ona sasa kumbe redio yenyewe Clouds, na gazeti ni Uhuru, CCM Hovyooo, hao wote wanamtumikia tajiri yuleyule. Angalia na wewe mtoa mada usije kuwa gamba.Wana JF magezeti ya leo asubuhi kupitia Clouds FM yameripoti Mbunge wa Ubungo apondwa mayai viza kisa hajawaletea maendeleo.Wabunge wanapswa kutekeleza ahadi zao kwa matendo na sio kwa maneno.
Huyu Kijana mpambanaji anahitaji ushauri wa kulinda polical performance yake.
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ