Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Kama anafanya usanii povu lako la nini? N a kwanini udiscuss usanii. UKIONA NYOKA UNAMPIGA ANATAPATAPA ONGEZA PIGO LA KICHWA
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.

Mbona Rais kikwete alienda sokoni kununua Samaki mbona haikuwa ishu? ww umewahi kuona wapi Rais wa inchi anaenda sokoni ? ule pia tuite usanii au ni nini?
 
kikwete alienda sokoni tayari akiwa rais ili kuangalia na kuchunguza bei za vyakula na sio kwenye kampeni.
 
Nachukizwa sana na wanaokuja kuandika ----- hapa wakati watanzania zaidi ya silimia 60 wanatumia vibatari na kunywa maji ya visima, miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru! badala ya kujadili na kutushawishi kwa nini tuipigie CCM kura kwa mapungufu mengi yanayoonekana wazi, wanapoteza muda kuleta propaganda na ushabiki wa kitoto humu JF. Nchi hii haijawahi kutawaliwa na UKAWA hata mwezi mmoja. hivyo hata hatujui wataipeleka wapi wakipewa madaraka. Lakini tuna uzoefu na tunaufahamu vizuri mfumo mbovu sana wa CCM ambao umetuacha masikini kwa zaidi ya miaka 50. Ushabiki huu mbaya sana.
 
ratiba ya lowasa;
trh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
trh 26/08/15-kwenda tandale kubeba magunia.
Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua matofali
trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
dsm
tar 30/08 kulala mwananyamala ward ya wajawazito.
31.8 segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao

bonge la ratiba bt too late
 
amaaa kwel umeonesha n jinc gan ulvyo na upeo mdg wa kufikr c bure una mtindio wa ubongo
 
Aliyeandika UZI huu ni wazi kabisa ameonyesha kuwa ni Kada Wa C.C.M, Kwanza ningependa utengue kauli yako uliyosema kuwa EL hajawahi kutembelea sehemu zenye changamoto kama ulivyoziorodhesha hapo juu.

Kama utakuwa mfuatiliaji wa mambo bila shaka hutaweza kunibishia kipindi Lowasa akiwa Waziri wa maji wakati wa awamu ya Tatu ya Mzee Wapumbavu na Malofa, alikwenda kusimamia na kulala na mafundi eneo la Tegeta Kibaoni uwanja wa Mkanada ambapo Bomba kubwa la maji lililopita eneo hilo kupasuka na kusababisha adha kubwa kwa wananchi.

Akiwa Monduli jimboni kwake, Lowasa ametembelea sehemu mbalimbali hasa zile za hali ya chini ambazo hata ukizi-compare na Mbagala bila shaka Mbagala itaonekana kama New York. Huko aliweza kutatua changamoto nyingi zilizokuwa zikiwakwamisha wananchi wake.

Siku nyingine usilete pumba kama hizo kabla ya kuzifanyia uchunguzi, nyie ndio mnaofadhiliwa Bundle na MZEE WA GOLI LA MKONO mje mmponde EL, lakini tunawahakikishia mwaka huu mtaickia IKULU kwenye bomba na sare zenu hizo kama Ukoka
 
Qui qui qui eti vijana wa bodaboda wameendesha pikipiki kutoka simiyu kuja dodoma kumshawishi fisadi awanie urais huku micro4n za waandishi wa habar zikiwa zimeshaandaliwa,hongo hadharani!!!!
Hao wa Mh: Magufuli walioletwa na Malori toka Mkoa wa Geita, Shinyanga, Mwanza na Simiyu kuja kujaza uwanja wa Jangwani, hukuwaona? Pole Zumbekuku.
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.
Hayo ni mambo ya kawaida kwenye siasa usiwe kilaza,nitajie rais yupi au mgombea yupi hajawahi kutembelea watu masikini?juzi uhuru kenyata alipaki msafara akaamua kwenda kwenye kibanda akaagiza soda akawa anapiga story na muuza kiosk.uzuri siku hizi kuna Internet angalia kila kiongozi utaona.
 
umeandika vizuri sana, nakiri umenishawishi kumpigia kura magufuli 25.10.2015, anafaa sio msanii, huyo mwingine aajiriwe kaole

Du yaani mkuu unashawishika na hoja ndoogo kiasi hicho,nina wasiwasi na uelewa wako
 
Maccm wanaumia roho. Poleni mungu atawasaidia, watu wanataka mabadiliko wamechoka!! Ahadi zile zile utekelezaji zero with no reason why? Tumechoka tunataka mabadiliko?
 
Tukutane 25 October maliza hasira zako pale kwa kupiga kura katulie nyumbani usubil matokeo usanii na uongo wa Ukawa/CCM mwisho siku hiyo
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

bakiza akiba ya maneno kampeni hazijaisha,unajua mgombea wako yuko wapi na anafanya nini?
Au ndo mfa maji mkuuu?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.

weka akiba ya maneno mkuu, unajua aliko mgombea wako muda huu na anafanya nini? hizi ndo kampeni, au unataka kampeni kama za Manji?
Mbona Magufuli alikwenda msibani na Kikwete tena msiba wa mtu wa chini saana, Kumbe hata na nyie ni wapumbavu na malofa?
 
Mkuu usinitishe hilo ni dua la kuku,chama kina watu kibao ni kipi hasa mpaka msimamishe wagonjwa muache wazima?ni kipi kimewatia upofu mkaacha wasafi makachukua mafisadi?Kwa maamuzi haya ya makusudi yakukiuza chama kwa mafisadi hatuta kaa kimya tutaendelea kuwapa makavu mpaka mshike adabu

Sikutishi ila unatishika mwenyewe, nilichosema ni kweli, aliyemnyima yeye ndo aliyekupa wewe, mambo yako ya dua la kuku siyaelewi. kwani wewe ukawa? kama sio shida yako nini, mgombe wetu mgonjwa wewe anakupa shida gani? hebu nisaidie maelezo hapo mazee... yani sielewi sisi tukiachagua kuwa na mgombe mginjwa wewe unakasirika nini?
 
tusiangaike na kumchafua mtu tutachoka bali kama unamapenzi na chama hamasisha watuwapigie chama chako ndio dili. they have to get out to vote
 
Ukiona unaboreka ujue somo limekuingia,kama wewe upo miongoni mwa wanaolizwa na filamu sasa ndio tumeshakuzindua,kama bado utaendelea ku deal na huyu msanini wakati tumeshakwambia ndipo neno Upumbavu litakapokuhusu tena litakua si tusi kwako kwani ndivyo ilivyo tafsiri ya neno mpumbavu.

Mgao wa umeme unaisha lini?
 
kuna mdau jana alisema lowassa ajitahidi aenda na segerea kulala siku moja ili ajue hali za wafungwa!
 
Mleta mada nimefurahi umejua kuna wamasaki na wambagala lkn nasikitika hujui hali hii imesababishwa na nn
 
Umeamua kuja na id mpya au ndo umetumwa na nape?
 
Attachments

  • 1440601475432.jpg
    1440601475432.jpg
    10.1 KB · Views: 159
Back
Top Bottom