Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.

We umetumwa wewe,Ukawa kuingia ikulu haikwepeki
 
tatizo watu unashadadia msichokijua embu tafuta muda wako ujue siasa ni nini
ndani ya siasa kuna science na arts sasa hapo sio muda wa mimi kukuelimisha siasa ni nini fuatilia mwenyewe
ila mtu waweza fanya chochote ili kuteka hisia za watu ili uwe unazungumziwa sasa mnaoshangaa endeleeni kushangaa kama magufuri anavyoshangaa utumbo na uozo waserikali zilizomtangulia kuwa ni mapumbavu na malofa wameshindwa mambo mengi
 
Sisi tunamtaka Lowasa, heri Lowasa kuliko serikali zilizopita za wezi ccm. Hatuna haja na mtu yeyote wa ccm hata awe malaika. Hatumchukii mtu tunachukia Ccm. Sasa yeyote aliyeko ccm tuliyoichoka hatumtaki hata kama ana sifa gani nzuri. CCM tumeichoka. Tumejipanga kuipiga chini ccm. Hata wewe unajua kwamba tunaichukia Ccm. Hatushawishiki kwa hoja tumeziba masikio kwa hoja, hatuna haja ya hoja zenye nguvu, tuna jambo moja tu kuipiga chini ccm. Hata wewe unajua ccm inakufa. Futa Ccm kwenye uchaguzi. Miaka mingine tulikuwa hatujiandikishi, safari hii tumejiandikisha na tutapiga kura kwa mtu usiyempenda ili ccm ishindwe. Ccm sio Mungu wala mzazi. Tumechoka hatutaki ccm. Kwa kuwa hatutaki Ccm na magufuli hatumtaki kwa kuwa yuko ccm. Angegombea kwa tiketi ya ukawa halafu Lowasa agombee Kwa tiketi ya Ccm tungemchagua magufuli ili tuiangushe ccm. Kwa sasa hakipendwi chama sio mtu. Labda utushawishi tuipende ccm ndipo utatufanya tumchague magufuli, Lakini hata hivyo kila cha ccm hatukitaki, tumejitoa akili hatusikilizi hatuambiwi wala hatujali tunachotaka ni kuipiga chini ccm na magufuli. Natumaini umeelewa hata mfanye nini hatutaki ccm na magufuli yenu. Tunataka UKAWA NA LOWASA. Hata kama UKAWA wangemsimamisha mjinga au mwehu tungemchagua huyo ili tuitoe CCM madarakani. This iscour feeling. So it is not easy to go against our feeling of rejecting Ccm and padlocks.
 
Wakati anakuja mwaka 2012 ulikuwa wapi? Au umehamia mbagala juzi? Mtoa mada acha upoyoyo.
 
CCM wana akili sana kile kibwana mdogo kilimwambia Lowasa acha ujinga wa sanaa zako sote ni watu wazima, wakampiga ban ya mwaka, baada ya kumfungulia akaanza kupanga watu wa kumshawishi agombee Urais wakamkata.

Ganda la mua la jana.........?
 
Sisi tunamtaka Lowasa, heri Lowasa kuliko serikali zilizopita za wezi ccm. Hatuna haja na mtu yeyote wa ccm hata awe malaika. Hatumchukii mtu tunachukia Ccm. Sasa yeyote aliyeko ccm tuliyoichoka hatumtaki hata kama ana sifa gani nzuri. CCM tumeichoka. Tumejipanga kuipiga chini ccm. Hata wewe unajua kwamba tunaichukia Ccm. Hatushawishiki kwa hoja tumeziba masikio kwa hoja, hatuna haja ya hoja zenye nguvu, tuna jambo moja tu kuipiga chini ccm. Hata wewe unajua ccm inakufa. Futa Ccm kwenye uchaguzi. Miaka mingine tulikuwa hatujiandikishi, safari hii tumejiandikisha na tutapiga kura kwa mtu usiyempenda ili ccm ishindwe. Ccm sio Mungu wala mzazi. Tumechoka hatutaki ccm. Kwa kuwa hatutaki Ccm na magufuli hatumtaki kwa kuwa yuko ccm. Angegombea kwa tiketi ya ukawa halafu Lowasa agombee Kwa tiketi ya Ccm tungemchagua magufuli ili tuiangushe ccm. Kwa sasa hakipendwi chama sio mtu. Labda utushawishi tuipende ccm ndipo utatufanya tumchague magufuli, Lakini hata hivyo kila cha ccm hatukitaki, tumejitoa akili hatusikilizi hatuambiwi wala hatujali tunachotaka ni kuipiga chini ccm na magufuli. Natumaini umeelewa hata mfanye nini hatutaki ccm na magufuli yenu. Tunataka UKAWA NA LOWASA. Hata kama UKAWA wangemsimamisha mjinga au mwehu tungemchagua huyo ili tuitoe CCM madarakani. This iscour feeling. So it is not easy to go against our feeling of rejecting Ccm and padlocks.

Anzisha chama chako. Usishabikie ujinga wa mbowe kumkaribisha tapeli wa fikra za watanzania. Ukianzisha chako mi ntakuunga mono. Tangu lini kapanda dalala huyo.
 
Waigizaji kama mzee walipaswa kkupelekwa kaole
 
Tunasema ni usanii kwa sababu tujiulize,amekuwa kiongozi kwa muda zaidi ya miaka 20 alikuwa wapi siku zote kutembelea hao walalahoi anaodai, au wakati akiwa waziri mkuu shida hizo hazikuwepo,kama Mtanzania mzalendo unapaswa kutafakri hilo na si kufurahia hayo maigizo.
Kwanini hujiulizi kuwa ccm walikuwa wapi kwa miaka zaidi ya 50 kumaliza rushwa, kuboresha huduma za afya nk. leo wanatoa ahadi kama ndiyo kwanza wanaomba ridhaa kuongoza nchi. Huoni kuwa hiyo ni Zaidi ya kaole.
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.

Sasa zile buka saba mnazokatiwa zinaweza kusaidia kulipa hawa jamaa:

Last edited by a moderator:
Ratiba ya lowasa;
Trh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
Trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
Trh 26/08/15-kwenda Tandale kubeba magunia.
Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua Matofali
Trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
Trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
dsm
Tar 30/08 KULALA MWANANYAMALA WARD YA WAJAWAZITO.
31.8 Segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao

Anampago pia wa kwenda kuuza nyanya na vitunguu
 
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.
Nyerere alipokufa. Lowassa hakuhudhuria mazishi yake. Lakini alipoanza mchakato wa urais, huyoo Butiama. Lofa kweli huyu
 
coment imekaa kikaskazinikaskazini,leta comment zilizokaa kitaifa mkuu acheni yale mambo yenu!
Kenge kweli wewe, kila siku mnasifia ya kizungu..mnasifia ya kimasai..unapata kichaa ukisikia ya kikaskazini...si useme tuu mapoja na machungu ,ukabila,roho mbaya ,wivu..kaskazini mwa TZ patakwenda mbee sana...baadala ya kupoteza nguvu kupambana na pengine kushiriki na kaskazini mpate nanye kufaidi mema yao..unafanya kazi ya kijinga.Kwa taarifa yako CCM ikiondoka wenzako wanaoletea usiku na CCM watakuacha mpak ujue kwanini Nyerere alilazimisha wengine wawasubiri baba zetu wavivu.
 
Nakujibu kama ifuatavyo:

  1. Kwanza nakupongeza kwa maswali yako mazuri, lakini ili niyajibu, naomba uelewe kwamba SASA tunazungumzia mabadiliko kamili, ya fikra na matendo, ya mtazamo na hisia.
  2. Lowassa ametokea kwenye mazingira ambayo neno mabadiliko linaonekana kuwa tusi kubwa, ashakum, kama sio uhaini kabisa. Mfano hai ni yale yanayoendelea hivi sasa, kwa mfano:
    1. Kitendo chake cha kupanda daladala na kuwatembelea watu walio katika hali duni kiuchumi kimewashtua mno viongozi wa CCM, kwa kuwa ni jambo ambalo wao hawakulitarajia kutoka kwa Lowassa, ambaye alikuwa kada wa CCM
    2. Kitendo cha Lowassa kwenda kuwatembelea walalahoi na kupanda daladala kimetafsiriwa kuwa "uhaini" kwa sababu Lowassa ameamua kwenda kuwazindua Watanzania kutoka kwenye usingizi mzito. Watanzania wanataka mabadiliko na ili wayapate, lazima mifano hai ioneshwe, kama vile wagombea uongozi kutoka kambi ya upinzani, HUSUSAN waliokuwa CCM, kuachana na magari yao ya kifahari, nyumba zao za kifahari, na maisha yao ya kifahari, na kujumuika na watu wenye hali duni. Wahenga walisema "Mwenye shibe hamjui mwenye njaa", na hii ni kweli. Lakini Waswahili nao pia walisema "Ukitaka kujua uhondo wa ngoma shurti uingie na kuicheza."
    3. Lowassa HATAWEZA kuwaelewa Watanzania wanataka nini, bila ya kuachana na usafiri wake wa "bei mbaya" na kupanda usafiri wa umma, ili kuwaonesha Watanzania kwamba yuko pamoja nao, sio kwa maneno, bali kwa vitendo. Hii inatokana na ukweli kwamba alipotoka CCM na kuingia CHADEMA/UKAWA, fikra zake nazo zilibadilika. Asingeweza kuyafanya haya anayoyafanya sasa bila kuondoka CCM, kwani wenzake wasingemruhusu. Na sasa CCM wanatapatapa, hawajui atafanya nini baadae.
  3. Lazima tuelewe kwamba mabadiliko hayaji kwa kuyaongelea tu. Yanakuja kwa kuyafanyia kazi. Wanasiasa ambao hawako tayari kujumuika na wananchi wanakuwa, sio tu kwamba ni waongo, bali ni wanafiki. Dhana ya mabadiliko - Change - imetekelezwa kwa vitendo zaidi na Rais wa Marekani, Barack Obama, ambaye usemi wake wa "Change We Can Do" na "Yes We Can" sasa unatumika duniani kote na wanamabadiliko. Mara kwa mara, Obama na mkewe huondoka kwenye "Kasri Jeupe" na kuingia mitaani, kwenye migahawa ya kawaida, ambapo hujumuika na wananchi wa kawaida. Obama ni Rais wa kwanza wa Marekani ambaye amekuwa akionekana, sio tu hadharani bila ulinzi mkali, lakini hata akiwa White House, ambapo amekuwa akitembea kwenye bustani iliyopo humo na vijana ambao wamekuwa wakimtembelea. Na hii sio Propaganda, ni hali yake ya kawaida sana!

Simshangai Lowassa kupanda daladala au kwenda mitaani na kwenye masoko kuwaona Watanzania wenzake. Kwanza, ni haki yake, lakini pili, kama "kiongozi" na sio "mtawala", ni lazima awe karibu na wananchi wa hulka zote.

Rais Kikwete, baada ya kuingia Ikulu, kwa mujibu wa "ushauri" alioupata kutoka kwa wanausalama wake aliacha kutembea mitaani, kuonana na wananchi, kama alivyokuwa akifanya awali. Baraza la Kahawa la Mtaa wa Msisiri, Kinondoni, ni mojawapo ya vijiwe ambavyo Kikwete alikuwa akionekana mara kwa mara, alipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje, lakini wanausalama walimzuia kutembea "kitaani", kana kwamba Watanzania wana "nia ovu" ya kumdhuru Rais wao???

Sasa tunapoelekea kwenye mabadiliko, lazima tuyapokee kwa mikono miwili. Tusianze kujiuliza kwamba "Hatukumwona fulani akija mitaani kututembelea... leo yu aja?" bali tukubali kwamba, kumwona huyo fulani akija kututembelea kitaani ni sehemu mojawapo ya mabadiliko.

Serikali ya CCM imekuwa ikifanya manunuzi ya kifahari - magari ya bei mbaya, samani za kifahari kutoka nje ya nchi - pasi na kuzuiwa, huku pesa hizo zikiwa zinatokana na kodi zetu. Sisi kama vijana, watu wazima, wake kwa waume, lazima tuanze sasa kuyatafuta mabadiliko kwa vitendo, kuliko kubaki kuwabeza wale ambao wanataka kuandamana nasi kwenye safari hiyo ya kuibadilisha nchi yetu. Wakija kututembelea, tuwapokee, kwa kuwa wanataka kujua matatizo yetu, hivyo lazima waje na kututembelea kwa miguu yao, sio magari yao. Uswahilini kuna maeneo mengi ambayo magari hayapitiki, bila mguu hufiki, sio mijini tu, bali hata vijijini.

Tuyakubali mabadiliko. Yaliyopita si ndwele. Tugange yajayo!
 
Back
Top Bottom