nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
nilisema jana humu kuwa Mwakyembe anachotafuta ni huruma na kukingiwa kifua cha kuwajibika kufuatia wizara na idara zake kushindwa kuzuia uvushaji madawa.
Mwakyembe aliishausikia wito wa kutakiwa kujiuzulu , sasa ili ahamishe mjadala ndio kaja na upotofu huo
Mwakyembe aliishausikia wito wa kutakiwa kujiuzulu , sasa ili ahamishe mjadala ndio kaja na upotofu huo