salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Sijaelewa alichoandika mleta mada lakini na mimi naelewa Mwakyembe katuchezea akili. Hii issue ya ziara ya kushtukiza ambayo ameita waandishi wa habari na kupiga picha ambayo inaonekana ni ya 01.01.2013 ni usanii hila Wadanyanyika tunapiga makofi
Mwakiembe hana ubavu na hili huko airport anatafuta nini? wauza unga hawajui? kukabidhi waandishi orodha anaona shida gani? huyo keshakwama huwezi kumuumbua aliyekuweka madarakani hata siku moja hapo anafunika kombe kupiga viraka ahadi aliyotoa