Usanii at its best...please stop it Dr. Mwakyembe! This is more than ridiculous!

Usanii at its best...please stop it Dr. Mwakyembe! This is more than ridiculous!

Sijaona tofauti kati ya Mwakyembe na muanzisha hii mada
 
Kwanza kabisa ningependa kusema wazi kuwa nachukia sana biashara ya unga na wale wote wanayoifanya biashara hiyo kwa maana inaangamiza uhai wa taifa kwa maana ya nguvu yake ambao ni vijana lakini pia nachukia sana mtu kutumia uwaziri wake kufukuza kazi watoto wa watu kwa kujifanya kupambana na madawa ya kulevya huku lengo lake ni kujitafutia umaarufu wa kisiasa.

biashara ya unga hapa nchini inaendeshwa na watu wenye ukwasi wa nguvu na pia wana connection ya nguvu kisiasa kwani wengi ni watoto wa vigogo sasa unapomfukuza kazi mlinzi wa airport anayetafuta ugali wa watoto kuwa kashindwa kuzuia unga kupita wakati ukijua wazi kuwa mlinzi yule hana nguvu yoyote kwani wakubwa zake wote wenye mamlaka na nguvu wamekaa kimya kwa kuongwa na wenye mzigo jaribio lake lolote la kutaka kuzuia unga la mlinzi ni kwamba siku ya pili yake atajikuta hana kazi na watoto wake wanalala na njaa. WAHUSIKA HAWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI,IGP,TAKUKURU, KITENGO KIZIMA CHA KUZUIA MADAWA YA KULEVYA WALIKUWA WAPI MIAKA YOTE UNGA UNAPITA KAMA MVUA?? LEO HII MNAKUJA KUWAONEA MASKINI WALINZI WANYONGE/MASKINI KWA KUWA WAO NI EASY TARGET. MWAKYEMBE ACHA KUWATUMIA WATOTO WA WATU MASKINI KM NGAZI YAKO YA KUPANDA KISIASA WAKATI WAHUSIKA WOTE WENYE NGUVU NA MAMLAKA WAKIWA WAMELALA USINGIZI WA FOFOFO NA WALA HUJAWAHI KUWAOMBA WAJIUZULU KWA KUSHINDWA KAZI ZAO MIAKA YOTE HII.
 
Mwakyembe hana analofanya zaidi ya kutafuta publicity. Huyu ana nia ya kutafuta urais. Anajua kabisq hii kazi aliyoianzisha haiwezi lakini by the time anakuja kushindwa atakuwa amejitangaza vya kutosha. Kwanza anatafuta ugomvi na mawaziri wenzake kwa kuwa anafanya one-man-show. Kama kweli hatafuti umaarufu amwulize prezidaa kwenye vikao vya cabinet ile list ya wauza unga aliyonayo kisha akompee notes. He shoukd start from there. Otherwise aache huo mchezo wa kiduku. Hatujasahau ile report aliyoficha. Hawezi kujisafisha kwa kuendelea kutufanya wajinga. Kama ana ubavu aitishe press conference atangaze vigogo wa waagizaji sembe ndiyo mimi nitasahau ile report ya Richmond. Asilete list ya watumiaji au wabebaji. No! Waagizaji. Short of that atulie kimya.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Cry my beloved country, so the saying goes...this country is so rotten it smells like high heaven. It is no wonder that all those, that can never ever see beyond their noses, will be applauding this illusion. This is not the first time and wont be the last, this regime is so predictable and its sycophants so loyal that they will believe anything thrown at them even the most absurd! As Tanzanians, is something wrong with our genes? Have we lost all sense of right and wrong? How are we different from zombies or puppets that can cannot ever think or reason?

  • It is only in Tanzania where the President can spend one third of his time in office traveling around the globe like a tourist and this act doesnt raise an eyebrow.
  • It is only in Tanzania where first responders to traffic accidents rob the victims instead of offering help and this cruel and inhuman act is considered as normal.
  • It is only in Tanzania where a top government leader can order the police to attack and beat (to death?) those he alleges to be law-breakers and still be in office.
  • It is only in Tanzania where...I could go on and on but what's the use, we appear doomed for we are stuck with the the Kikwetes, the Mwakyembes, the Kinanas, the Sembes, the Mwigulus, the Napes...the list is so long it is hard to believe there is anybody left out. Have we all accepted our fate?
I know many of us have, but what a shame that the few who still have some iota of hope can bank their future on an illusion like the one displayed by the Mwakyembe saga...oh yes I know some like HAMY-D are pouring in their congratulations for disillusion is a natural stage that follows the holding of an illusion. It is a pity many of us Tanzanians have come to believe in this corrupt regime that tries to convince them that half the work is done when they make things appear what they are not, they are content and don't know what they miss.
Sasa umeandika vitu gani mkuu, malizia basi! halafu kama unataka kueleweka kwa wengi zaidi hapa jamvini ni kheri ukatumia kiswahili ambacho nahisi unakifahamu. Kujua Kingereza hakuonyeshi uwezo wako wa kuleta hoja na hilo umethibitisha kuwa umeshindwa kujieleza. hii kwangu mimi ni ile mnaita preamble tu. Funguka, sema usikike Mkuu!
 
Cry my beloved country, so the saying goes...this country is so rotten it smells like high heaven. It is no wonder that all those, that can never ever see beyond their noses, will be applauding this illusion. This is not the first time and wont be the last, this regime is so predictable and its sycophants so loyal that they will believe anything thrown at them even the most absurd! As Tanzanians, is something wrong with our genes? Have we lost all sense of right and wrong? How are we different from zombies or puppets that can cannot ever think or reason?

  • It is only in Tanzania where the President can spend one third of his time in office traveling around the globe like a tourist and this act doesnt raise an eyebrow.
  • It is only in Tanzania where first responders to traffic accidents rob the victims instead of offering help and this cruel and inhuman act is considered as normal.
  • It is only in Tanzania where a top government leader can order the police to attack and beat (to death?) those he alleges to be law-breakers and still be in office.
  • It is only in Tanzania where...I could go on and on but what's the use, we appear doomed for we are stuck with the the Kikwetes, the Mwakyembes, the Kinanas, the Sembes, the Mwigulus, the Napes...the list is so long it is hard to believe there is anybody left out. Have we all accepted our fate?
I know many of us have, but what a shame that the few who still have some iota of hope can bank their future on an illusion like the one displayed by the Mwakyembe saga...oh yes I know some like HAMY-D are pouring in their congratulations for disillusion is a natural stage that follows the holding of an illusion. It is a pity many of us Tanzanians have come to believe in this corrupt regime that tries to convince them that half the work is done when they make things appear what they are not, they are content and don't know what they miss.

Absolute no sense! True the Kikwete regime is corrupt. But there are some few guys who are trying to do their best under such difficult conditions. We need to encourage them rather than rump them together with the rotten eggs. In any bad government, there arefew good elements and in any good bad government there are also few bad apples.
 
Huyu ni ajenti wa madawa, kichwa cha habari kiko tofauti na meseji yenyewe. Huyu alikuwa na nia ya kuishambulia Serikali na siyo Mwakyembe.
 
Huyu mag3 kama katoka usingizini maana hata anachotaka kuelezea kashindwa anaishia kubwabwaja tu
 
Mag3,

I think there is a need for you to change that heading, I don't think its fair for you to write that way about Dr Makyembe.

I don't know, but sometimes I think some of us (Tanzanians) like to see things go on wrong in the Kikwete administration's so that we can have bad things to say, and I believe Mag3 you're among them.

...This is absurd and total misconception! All Tanzanians would like to see our president firm on issues of national interests. there has been a lot of issues which we expected our president to act severely, but what do we get from him? ..."A BIG SMILE". Twiga wetu wanaibiwa hai airport-The Guy just smiles, Madawa ya kulevya yanaua na kuharibu vijana anakalia list ofisini na kualika victims ikulu kula nao - really! is this what HUMMY-D and your co. expect your president to do?
Amina Chifupa alijitolea kupambana na wauza madawa ya kulevya, lakini eti Rais wetu alimuonya "...uwe mwangalifu". ...wakapishana na waziri mmoja airport ambaye inasemekana alimueleza kitu ambacho kikamchanganya Amina akaamua kuaihirisha safari.-na mwisho wake akaanza safari ya mauti.
Mapambano dhidi ya ufisadi na madawa ya kulevya ni magumu kwa sababu Rais wetu ni "Mwangalifu sana" alikuwa mwangalifu kushughulikia wezi wa EPA. alikuwa mwangalifu kumshughulikia Manji na Rostam kwenye KAGODA. Taifa linateketezwa na biashara za akina Kinana, MEREMETA, TANGOLD, DEEPGREEN hakuana anayechukuliwa hatua. Waziri mkuu Pinda analiambia Bunge wezi wa EPA hawakamatiki na wakiwakamata nchi itayumba - wabunge wa CCM wanashangilia badala ya kumshinikiza ajiuzuru awapishe ambao hawatayumba(...true this can happen only in Tanzania). MWAKYEMBE naye na RICHMOND yake akaishia kumsulubu Lowasa, akawa mwangalifu kumtaja muhusika mkuu ili serikali dhaifu isianguke. Hivi tunauhakika gani kuwa kwenye vita hii ya madawa ya kulevya hatakuwa mwangalifu? hivi atakapoona jina la Ritz1 hatakuwa mwangalifu kweli?
 
Absolute no sense! True the Kikwete regime is corrupt. But there are some few guys who are trying to do their best under such difficult conditions. We need to encourage them rather than rump them together with the rotten eggs. In any bad government, there arefew good elements and in any good bad government there are also few bad apples.
...Hivi Mwakyembe kaokoka lini? baada ya kunyweshwa sumu? ...lakini kama ni yule aliyeiokoa serikali dhaifu ya JK isianguke kwa kashfa ya RICHMOND - najitahidi sana kumuamini lakini akili yangu inakataa kata kata! time will tell -tusubiri.
 
Absolutely made in Tanzania ...
U r so blind that you don't see no point in here!!!?
R u a boy, a family man, a junk, an English applauder, or what r u!!!?
Yes it's english, but there's some sense in it!

Being " blind" themselves, they may not be aware of how they mislead others ...

UZALENDO HAUNA CHAMA! Ni kuthamini uzawa na haki zote za kuwa mzawa na wazawa wanaokuzunguka na rasilimali zote za nchi husika kwa faida ya wazawa (wazalendo) kwa maendeleo ya wananchi wote kwa ujumla. Sio kuwabeba wageni kwa kigezo cha kuwa "omba omba eti nchi masikini, nani kasema TANZANIA ni masikini?

Tukiwa wote wajinga kiasi cha kuanza kushambuliana kisa mwingine kaandika kingereza bila ya kuangalia hoja, basi ndo hasa alichokiandika mtoa hoja " ... what is wrong with our genes!!!? ..."

NB: TANZANIA NI NCHI YA AJABU SANA AMBAPO UKITOA MAONI YENYE MTAZAMO WA KIZALENDO UNAONEKANA MPINZANI, LAKINI NI KWA SABABU YA KUWA NA VIONGOZI WASIO WAZALENDO WANAOAMINI WATAKAA MADARAKANI MILEE BILA KUJUA MWISHO WAO UNAFIKA, AMBAO WAFUASI WAO (WACHUMIA TUMBO) WANASIFIA KILA UJINGA BILA KUTIZAMA MBELE NA KUONA KUNA SHIDA KUBWA INAYOWEZA KULETA MAAFA KATIKA MAENEO MENGI YA NCHI KAMA AMBAVYO TAYARI KUNA MAAFA KWENYE UCHUMI (WE LIVE IN A CASH-BUDGET ECONOMY!!!!!!!?) NA HILI SIO TATIZO KWA WACHUMIA TUMBO WASIOJALI HII NCHI INAKWENDA WAPI! NA KESHO ITAKUAJE ...

Kama unafikiri Mwakyembe anafanya kazi yake vizuri zaidi ya kuwaharibia wenzake na kwa visa, KWA NINI UGANDA NA RWANDA WAMEJITOA KUTUMIA BANDARI YA DSM!!!? Kama kweli anasimamia uchapaji kazi bandarini, iweje leo wateja wanakimbia? NA je!? Mwakyembe ni waziri wa bandari!? au ni waziri wa uchukuzi na usafirishaji!? Vipi kwenye boda za Tanzania na nchi jirani, kunani kule mbona hatumsikii kufuatilia!? Yeye na badari tuuu ... kafukuza huyu kampa ulaji huyu, kamshitaki huyu kampa ulaji huyu ... na treni alizoanzisha mbona haziendelei!? One must ask hi/herself such important questions to applaus someone sio kukurupuka na kuanza kupingana kwa hoja iliyotolewa bila kuwa na upembuzi yakinifu ...

===>> No doughts you think ENGLISH is a PROFESSIONALISM FOR YOU...

===>> High heaven have u ever smell it...!!¡¡¿¿ is it like rotten smthng...?? Ur a BIG LIAR & PRETENDER...of empty uncontented words....clearly nothing in there u wrote...just ENGLISH...!!!

===>> na mwishowe....MWAKYEMBE NI KIONGOZI...SIO WW KINYONGA AU MNYOO...hypocrisy seems ur best
attitude..!!! U can't ever out shine Dr. Mwakyembe...fanya kingine... au ww ni BENEFICIARY wa madawa...??? utajiju..jiue...au chukua acid jimwagie...!!!!!!
 
The appearance is more attractive than the essence. Ziara ya kushutukiza inapataje coverage ya vyombo vyote vya media?

Hata mi nashangaa, kimsingi nawapongeza waandishi kwa kushtukia ziara za Mwaki tena alfajiri. hv zile bahasha za kaki huwa zinawekwa sh. ngapi? nasikia kuanzia air bongo mpaka bandari waliofukuzwa wameshafungua kesi kwa unfair termination na watashinda na tutawalipa fidia. waandishi mtuandalie report za kushtukiza za hawa jamaa kushinda kesi na siku ya kupokea cheque zao.
 
Media people wa Tz ndo wanachangia sana kujenga taswira ambazo sizo. Ziara itakuwaje ya kushitukiza and yet all the major media houses ziwepo? Ujinga mkubwakubwa kama wa Kinana na Mangula kupanda treni kwenda Tabora unapewa coverage as if ni jambo la maana sana. Siku Jk atashiriki kufyatua tofali za kijiji kama alivyokuwa akifanya mwal. Nyerere sijui itakuwaje!
 
Back
Top Bottom