Usaliti wa Dkt. Slaa ni upi?

Usaliti wa Dkt. Slaa ni upi?

Shortly nyie ni propagandist mnajifanya hamuelewi. Sikiliza hiyo clip uliyoweka Dr Slaa kaeleza kila kitu. I believe unajua ukweli ....sihitaji kuelezea jambo tulilokwishajadili sana ...

Kwa kuwa wewe ni mpiga zumari wa Slaa, unafikiri kila mtu yupo kama wewe. I don't give a dang bout none of them. My record is clear, Lowassa n Magufuli wote walistahili kuwa jela na siyo mtaani na ikulu.

Slaa ni msanii. He is a power monger, just like Lowassa. When he lost in CCM preliminaries, he jumped ship to CHADEMA. This tells you a lot about him.

Kama angekuwa principled kwenye suala la ufisadi, hata kuuliza Lowassa ni asset au liability hakupaswa. Kwa sababu any principled man angefahamu fika Lowassa ni liability, and I thought hili lilikuwa wazi. Kama ni liability why even lose your precious time to discuss a possibility of helping that 'liability' jump ship?

Yes, hiyo video nimeitazama na kuisikiliza kwa makini sana.

Msikie Slaa kuanzia dakika ya 6.07 akisema kwamba alishiriki katika majadiliano ya kumpokea Lowassa. Dakika ya 7.19 Slaa mwenyewe anasema wazi kwamba kwa msaada wa Gwajima, yeye Slaa ndiye aliyefikisha hoja ya Lowassa kuhamia CHADEMA. Dakika ya 8.05 anasema yeye, Mbowe na Gwajima wakaanza kujadiliana juu ya uwezekano wa Lowassa kuhamia CHADEMA. Kuanzia dakika ya 8.24 anasema kwamba akawa tayari kumsikiliza Lowassa anataka nini, kwa kuwa CHADEMA ni chama cha kisiasa ambacho hakikatai kumpokea mtu yeyote kwenye chama. Dakika ya 8.48 hadi 8.50 anasema wazi alishiriki kuweka msingi wa Lowassa kuhamia CHADEMA.

Hayo hapo juu tu yanatosha ku-question msimamo wa Slaa kwenye ufisadi. Na hoja zenu za kusema utaratibu hakufuatwa ndiyo maana angeondoka hazina ukweli. Mtu mwenye msimamo asingemruhusu hata kumpa nafasi mshenga Gwajima. Yaani unajua mtu anayezungumziwa ni mtu uliyemtuhumu kuwa ni fisadi na mwizi, then leo unatoa nafasi na muda wako kujadili uwezekano wa mtu huyo kuhamia kwenye chama ambacho kilikuwa mstari wa mbele kumtuhumu huyo mtu.

Chifu, najua huwezi kuona usanii na unafiki wa 'mungu' wako. Lakini hiyo video ilimu-expose sana Slaa.

Kuanzia dakika ya 9.44 anasema kwamba sharti mojawapo alilolitoa kwa Lowassa ni kujisafisha kwa tuhuma zote ambazo Slaa na CHADEMA kwa muda mrefu walimtuhumu. Sasa hapa unaweza kujiuliza, ina maana Lowassa angejisafisha, ufisadi wake ungekuwa umeisha? Yaani ufisadi unaisha kwa mtuhumiwa kujisafisha tu kwenye press conference? Does this make sense bro?
 
Nisaidie kuelewa mkono wa kushoto wa Mbowe anaitwa nani huyo?
Alikuwa anafanya nini hapo?

Kama hakumkaribisha Lowassa alikuwa anafanya nini hapo?Si si asingekuwepo kabisa?

Mnaelewa kuwa kilichomtoa cdm ni baada ya kukataliwa kugombea urais!!!
Mmekuwa na nyinyi kama mmelishwa limbwata la kihaya shuntama
d06777c9-4a07-4ef9-9ce1-bdc6202508b9-jpeg.672363
Yeye n nan Wa kupinga kama kura zilipigwa na lowassa akashinda...? Thatz y yeye kabak kama slaa hakujumuisha wanachama na wafuac wake....aliamua kujiengua baada ya kura za kumkataa kutojitosheleza....
 
Nimekuwa nikisoma soma humu tokea 2015 kutoka kwa baadhi ya watu kuwa eti aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, Dkt. Wilbroad Slaa ni msaliti.

Eti ni msaliti kwa sababu aliamua kuachana na siasa baada ya CHADEMA kuamua kubadili gia angani. Pia, baada ya kuachana na siasa akakataa pia kumuunga mkono mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa.

Sioni kabisa usaliti wa Dkt. Slaa hapo. Ninachokiona ni mtu mwenye msimamo na uadilifu na anayeongozwa na kanuni.

Hivi kweli kabisa mtu na akili yako timamu, kati ya Slaa na CHADEMA, unaweza kumwona Slaa ndiye msaliti?

Kama kuna msaliti basi msaliti huyo ni CHADEMA na si Dkt. Slaa.

CHADEMA walisaliti karibu kila kitu walichokipigania wakiongozwa na Dkt. Slaa. Ni CHADEMA ndiyo waliobadilika. CHADEMA ndiyo wasaliti.

Nyie wote mnaodiriki kumuita Dkt. Slaa kuwa ni msaliti ni vifuu tundu msiojielewa kabisa.
Mtu yeyote anayekubali kununuliwa ni msaliti , leo Dr Slaa ni mtu wa kushabikia mauaji ya Lissu ?

Tutaendelea kukuwekea usaliti wa video kukuonyesha usaliti wa Dr slaa , Moderator usiingilie .
 
Mimi kwangu nina mitazamo tofauti ni wengine kuhusu Dr. Slaa. Usipokuwa makini unaweza kumchukulia Slaa kama msaliti. Sikufurahishwa na Slaa alipoondoka cdm, tena kuondoka kwake akakutumia kama sehemu ya kuiumuza cdm kwa faida ya ccm. Ila hata ningekuwa mimi ningechukua maamuzi ambayo yangewashangaza wengi. Slaa alijiandaa kugombea urais cdm, na kweli alistahili hata kama asingeshinda lakini cdm ingebaki na msimamo wake. Lakini ninachomlaumu Slaa mpaka leo, hivi akija mtu kwenye chama chako kwakuwa humpendi ndio unaondoka. Kwangu naamini Slaa aliondoka cdm kwa kuzira baada ya kukosa nafasi aliyokuwa ameshajiandaa kuitumikia, ila kwakuwa cdm nao walifanya kosa kumpokea Lowassa ambaye alikuwa na kashfa, hapo ikawa rahisi Slaa kuhalalisha huko kuzira kwake. Hivyo mpaka sasa kwangu imebaki 50/50 kwamba Slaa aliondoka kwa kukosa nafasi ya kugombea urais, ama aliondoka kwa kutokutaka kubaki kwenye chama ambacho kimempa Lowassa nafasi adhimu ya kugombea urais wakati walimtuhumu kwamba ni fisadi. Yote mawali kwangu inaweza kuwa ni sababu ya Slaa kuondoka cdm.

Kama Slaa ni msaliti ama la, hilo linategemea na utashi wa kila mtu kulingana na uelewa wake na sababu nyingine mbalimbali. Kilichonifanya nianze kumuona Slaa hana maana ni ile sentesi yake ya jana kuhusu Lissu. Kwa kweli Lissu hakumfanyia Slaa sawa wakati kajitoa cdm kwa zile lugha alizokuwa anamtolea, lakini Slaa kama padre mstaafau alipaswa kusahau baadhi ya mambo na kuacha kutoa lugha zitakazoonyesha kwamba yaliyomkuta Lissu ni mambo ya kawaida. Ukiachia mapungufu hayo niliyoyaona kwa Slaa sioni kama ni adui sana wa cdm kulinganisha na mambo mengine yanayoendelea ndani ya cdm kwa sasa.
Mkuu tindo naomba utambue kitu kimoja...katika wasengerema lissu nae yumo...unakumbuka kikao cha kimvua madaraka na uanachama zzto , kitila na mwigamba..? Huyu some tym huwa najiuliza kuwa ana tofaut gan na kina mange kimamb...?
 
Kwa kuwa wewe ni mpiga zumari wa Slaa, unafikiri kila mtu yupo kama wewe. I don't give a dang bout none of them. My record is clear, Lowassa n Magufuli wote walistahili kuwa jela na siyo mtaani na ikulu.

Slaa ni msanii. He is a power monger, just like Lowassa. When he lost in CCM preliminaries, he jumped ship to CHADEMA. This tells you a lot about him.

Kama angekuwa principled kwenye suala la ufisadi, hata kuuliza Lowassa ni asset au liability hakupaswa. Kwa sababu any principled man angefahamu fika Lowassa ni liability, and I thought hili lilikuwa wazi. Kama ni liability why even lose your precious time to discuss a possibility of helping that 'liability' jump ship?

Yes, hiyo video nimeitazama na kuisikiliza kwa makini sana.

Msikie Slaa kuanzia dakika ya 6.07 akisema kwamba alishiriki katika majadiliano ya kumpokea Lowassa. Dakika ya 7.19 Slaa mwenyewe anasema wazi kwamba kwa msaada wa Gwajima, yeye Slaa ndiye aliyefikisha hoja ya Lowassa kuhamia CHADEMA. Dakika ya 8.05 anasema yeye, Mbowe na Gwajima wakaanza kujadiliana juu ya uwezekano wa Lowassa kuhamia CHADEMA. Kuanzia dakika ya 8.24 anasema kwamba akawa tayari kumsikiliza Lowassa anataka nini, kwa kuwa CHADEMA ni chama cha kisiasa ambacho hakikatai kumpokea mtu yeyote kwenye chama. Dakika ya 8.48 hadi 8.50 anasema wazi alishiriki kuweka msingi wa Lowassa kuhamia CHADEMA.

Hayo hapo juu tu yanatosha ku-question msimamo wa Slaa kwenye ufisadi. Na hoja zenu za kusema utaratibu hakufuatwa ndiyo maana angeondoka hazina ukweli. Mtu mwenye msimamo asingemruhusu hata kumpa nafasi mshenga Gwajima. Yaani unajua mtu anayezungumziwa ni mtu uliyemtuhumu kuwa ni fisadi na mwizi, then leo unatoa nafasi na muda wako kujadili uwezekano wa mtu huyo kuhamia kwenye chama ambacho kilikuwa mstari wa mbele kumtuhumu huyo mtu.

Chifu, najua huwezi kuona usanii na unafiki wa 'mungu' wako. Lakini hiyo video ilimu-expose sana Slaa.

Kuanzia dakika ya 9.44 anasema kwamba sharti mojawapo alilolitoa kwa Lowassa ni kujisafisha kwa tuhuma zote ambazo Slaa na CHADEMA kwa muda mrefu walimtuhumu. Sasa hapa unaweza kujiuliza, ina maana Lowassa angejisafisha, ufisadi wake ungekuwa umeisha? Yaani ufisadi unaisha kwa mtuhumiwa kujisafisha tu kwenye press conference? Does this make sense bro?

Dr Slaa alinunuliwa ushahidi wa jambo hili wanao watu wawili , Gwajima na Mwakyembe .
 
Mkuu tindo naomba utambue kitu kimoja...katika wasengerema lissu nae yumo...unakumbuka kikao cha kimvua madaraka na uanachama zzto , kitila na mwigamba..? Huyu some tym huwa najiuliza kuwa ana tofaut gan na kina mange kimamb...?

Mkuu kwangu hakuna mpinzani ninayemkubali kama Lissu. Lakini natambua kabisa kwamba Lissu ana mapungufu mengi ikiwemo kukosa busara. Huwa napingana kiwaziwazi kabisa na wale wanaotaka Lissu agombee urais. Lissu anaweza kuwa waziri wa sheria bora kabisa, anaweza pia kuwa waziri mkuu mzuri. Ila hafai kabisa kwa nafasi ya urais kwani anakosa jambo muhimu la hekima na busara, huwa sioni tofauti ya Lissu na Magufuli kitabia.
 
Mnajaribu kupotosha historia. Ila historia itabaki kwamba Slaa alishiriki katika mpango haramu wa kumpokea Lowassa CHADEMA.

Kwa kujihusisha na CCM na watu ambao kutwa aliwaita majizi na mafisadi, sioni anachokisimamia na kukiamini. Je, leo ufisadi wa Magufuli umefutika? Kikwete na Mkapa je?
Mkuu hapa nakataaa...kabsa ulipaswa ujiulize Dr.lazma alikua ashirik kama mwanachama Wa cdm.., ila kutoa maamz baada ya minyukano ya hoja kwenye vikao ndo hakurifhika nayo I mean aliamua kuachia jahaz mayb baada ya kuona hal wenzake wakiwa na mcmamo mmoja...
 
Mkuu tindo naomba utambue kitu kimoja...katika wasengerema lissu nae yumo...unakumbuka kikao cha kimvua madaraka na uanachama zzto , kitila na mwigamba..? Huyu some tym huwa najiuliza kuwa ana tofaut gan na kina mange kimamb...?
Labda useme lingine , lakini Zitto na wasaliti wenzake walistahili kutimuliwa ili kuondoa mazonge katika chama , kumbuka kwamba uamuzi huu haukuwa wa Lissu ulikuwa uamuzi wa Kamati kuu
 
Mkuu kwangu hakuna mpinzani ninayemkubali kama Lissu. Lakini natambua kabisa kwamba Lissu ana mapungufu mengi ikiwemo kukosa busara. Huwa napingana kiwaziwazi kabisa na wale wanaotaka Lissu agombee urais. Lissu anaweza kuwa waziri wa sheria bora kabisa, anaweza pia kuwa waziri mkuu mzuri. Ila hafai kabisa kwa nafasi ya urais kwani anakosa jambo muhimu la hekima na busara, huwa sioni tofauti ya Lissu na Magufuli kitabia.
Ewalaaa....hapo tupo pamoja kabsa...tatzo la cdm n watu wawil wamekifanya chama kicz...mwanasheria mkuu Wa chama na mwenyekt Wa chama...naomba niseme waz kabsa it was a very mistake kupokewa lowasa ndan ya cdm. I will stand 2b correct...lakn pia ilikua n mistake kubwa zaid kuwafukuza zzto na team yake....ndan ya chama lazma kuwe makund il kuleta challenge... Nnaamn katka...

Hata ndan ya ccm huwez kuyamalza makund kwa sababu hyo n matatzo ya mwanadam..

Dr.slaa c Wa kulaumiwa hata kwa sababu alikua n asset kubwa sana kwenye ukuaj wa democrasia..kwa sasa tuna hal mbaya sana ...
 
Kwa kuwa wewe ni mpiga zumari wa Slaa, unafikiri kila mtu yupo kama wewe. I don't give a dang bout none of them. My record is clear, Lowassa n Magufuli wote walistahili kuwa jela na siyo mtaani na ikulu.

Slaa ni msanii. He is a power monger, just like Lowassa. When he lost in CCM preliminaries, he jumped ship to CHADEMA. This tells you a lot about him.

Kama angekuwa principled kwenye suala la ufisadi, hata kuuliza Lowassa ni asset au liability hakupaswa. Kwa sababu any principled man angefahamu fika Lowassa ni liability, and I thought hili lilikuwa wazi. Kama ni liability why even lose your precious time to discuss a possibility of helping that 'liability' jump ship?

Yes, hiyo video nimeitazama na kuisikiliza kwa makini sana.

Msikie Slaa kuanzia dakika ya 6.07 akisema kwamba alishiriki katika majadiliano ya kumpokea Lowassa. Dakika ya 7.19 Slaa mwenyewe anasema wazi kwamba kwa msaada wa Gwajima, yeye Slaa ndiye aliyefikisha hoja ya Lowassa kuhamia CHADEMA. Dakika ya 8.05 anasema yeye, Mbowe na Gwajima wakaanza kujadiliana juu ya uwezekano wa Lowassa kuhamia CHADEMA. Kuanzia dakika ya 8.24 anasema kwamba akawa tayari kumsikiliza Lowassa anataka nini, kwa kuwa CHADEMA ni chama cha kisiasa ambacho hakikatai kumpokea mtu yeyote kwenye chama. Dakika ya 8.48 hadi 8.50 anasema wazi alishiriki kuweka msingi wa Lowassa kuhamia CHADEMA.

Hayo hapo juu tu yanatosha ku-question msimamo wa Slaa kwenye ufisadi. Na hoja zenu za kusema utaratibu hakufuatwa ndiyo maana angeondoka hazina ukweli. Mtu mwenye msimamo asingemruhusu hata kumpa nafasi mshenga Gwajima. Yaani unajua mtu anayezungumziwa ni mtu uliyemtuhumu kuwa ni fisadi na mwizi, then leo unatoa nafasi na muda wako kujadili uwezekano wa mtu huyo kuhamia kwenye chama ambacho kilikuwa mstari wa mbele kumtuhumu huyo mtu.

Chifu, najua huwezi kuona usanii na unafiki wa 'mungu' wako. Lakini hiyo video ilimu-expose sana Slaa.

Kuanzia dakika ya 9.44 anasema kwamba sharti mojawapo alilolitoa kwa Lowassa ni kujisafisha kwa tuhuma zote ambazo Slaa na CHADEMA kwa muda mrefu walimtuhumu. Sasa hapa unaweza kujiuliza, ina maana Lowassa angejisafisha, ufisadi wake ungekuwa umeisha? Yaani ufisadi unaisha kwa mtuhumiwa kujisafisha tu kwenye press conference? Does this make sense bro?

Kama unaamini ulichoandika ungepinga wazi kuanzia harakati za kumpokea....HUKUPINGA! ....hujawahi kuikosoa Chadema wala Mbowe wazi juu ya kosa hili....narudia tena ...EL kuhamia Chadema isingekuwa tatizo kimkakati na kubaki mwanachama wa kawaida huku akisaidia wananchi kujua uovu anaojua kwa nafasi zake alizopitia....narudia tena ...katibu mkuu alijiuzuru kwenye kikao cha kamati kuu baada ya taratibu za kumpokea na zaidi kumpa tiketi ya kuwa mgombea urais kuvunjwa huku maangalizo muhimu ya kulinda uhai wa chama yakipuuzwa ....narudia tena ...kama ule ushauri wa Slaa ungefatwa EL asingekubali (bro unasema EL angejisafisha? Labda ndio maana hamumuelewi Dr Slaa) ....ndio maana alitega kwingine pia ....wewe huwezi kusema ukweli ....ndio maana huwezi kusema wazi Mbowe na Chadema walifanya makosa ( walau hata sasa) ....EL mnae na mtasumbuka nae hadi mtubu ....rukeni lakini tunaojua tunasubiri tu ....
 
Labda useme lingine , lakini Zitto na wasaliti wenzake walistahili kutimuliwa ili kuondoa mazonge katika chama
Mkuu hapa ndo tunapotofautiana kabsa.., usalit wake n upi...? Kumpinga mwenyekit kwa hoja ama katibu c dhambi...kuandaa mkakat wa kushnda uenyekit ndan ya chama sio kosa hata kidogo..hyo ndo demokrasia...lazma uwe na kamb ndan ya chama itakayokuwezesha kushika madaraka...nafkr process ndo inawafanya wana ccm wamfanye rais kuwa mwenyekit Wa chama...nafkr n kuondoa contradiction kama hiz..

The same kwa Dr..iman yake katka uadilifu ndo ilimfanya kufanya maamz kama hayo..just imagn angekuwepo kwenye chama angecmamia kwenye hoja ipi wakat hoja ya ufsad ndo iliwapa nguvu...?
 
Pamoja na mapungufu ya Dr Slaa kama binadamu ....hili la sababu zake za kuachana na Chadema nitamtetea bila soni wala kukoma ....kama huna unafiki huwezi kupindisha hili ....naweza nisikubaliane nae mengine ila kwa hili nitasimama nae ....binafsi lilinifanya nipate picha halisi ya upinzani wetu .....
 
Mkuu hapa nakataaa...kabsa ulipaswa ujiulize Dr.lazma alikua ashirik kama mwanachama Wa cdm.., ila kutoa maamz baada ya minyukano ya hoja kwenye vikao ndo hakurifhika nayo I mean aliamua kuachia jahaz mayb baada ya kuona hal wenzake wakiwa na mcmamo mmoja...
Alikuwa ni zaidi ya mwanachama, alikuwa Katibu Mkuu (mtendaji mkuu) wa chama. Angekuwa principled asingekubali ombi la Gwajima na kwenda kuanza kujadili uwezekano wa Lowassa kuhamia CHADEMA. Kimsingi yeye ndiye aliyewezesha hata uwezekano wa Lowassa kuhamia CHADEMA. Bila ya yeye kutumiwa na Gwajima kuwezesha Lowassa kuhamia CHADEMA, pengine Lowassa asingehamia huko.

Ni heri angekataa ombi la Gwajima. Na hata kama Gwajima angetumia kiongozi mwingine, Slaa angekuwa ana mikono safi katika hilo.
 
Anyway basi tuseme hivi ili stori yako inoge ...Dr Slaa alimleta Chadema ikamkubali siyo? Umewahi kuilaumu Chadema na mwenyekiti Mbowe kwahili kama unavyomtukana Dr Slaa? ....naomba walau mstari wako mmoja humu ukikosoa kipindi kile tunahangaika kukosoa chama kishtuke ....
 
Usaliti wa Slaa ni huu hapa na hadi hii leo hajajibu hizi tuhuma za Gwajima. Siku zote alijua kwamba lowassa ni fisadi ilikuwaje tena akubali kukaa naye meza moja na kumkaribisha Chadema!? Angekataa tangu mwanzo wengi wangemuona ni mtu mwenye msimamo usioyumba lakini hadi hawara yake alipokuja juu kwa kujua Dr Slaa si mgombea tena wa Urais Chadema ndipo alipoanza kubadili Gia angani.

Fisadi lowassa hakustahili kupewa muda wa kuwa meza moja na kiongozi yeyote yule wa Chadema wala kukaribishwa Chadema.

Kwa hivyo kamanda we ulitaka lowasa alivyokaribishwa kamati kuu cdm hapohapo dr slaa akimbie?!
busara nikumsikiliza huyo mamvi anasera gani, na ndio hapo slaa akawauliza wenzie "je huyu mamvi ni asset au liability" swali ambalo halikujibiwa na bado linaishi hadi leo!!
hujielewi wewe!unampigiaje makofi ya kumkaribisha mtu unayemtuhumu ufisadi!!!
mzee watu walifika bei akanunulika..period
 
Yeye n nan Wa kupinga kama kura zilipigwa na lowassa akashinda...? Thatz y yeye kabak kama slaa hakujumuisha wanachama na wafuac wake....aliamua kujiengua baada ya kura za kumkataa kutojitosheleza....
alitakiwa ajitoe baada tu ya kujua anajiunga cdm
hii inaonyesha angepitishwa kugombea urais asingekuwa na tatizo lowassa kuwa ndani ya cdm
 
Kama unaamini ulichoandika ungepinga wazi kuanzia harakati za kumpokea....HUKUPINGA! ....hujawahi kuikosoa Chadema wala Mbowe wazi juu ya kosa hili.....

Kupinga wazi wapi? Mzee unadhani mimi ni nani CHADEMA? I'm a nobody CHADEMA. Mimi ni mwananchi wa kawaida tu aliye concerned na mambo yanavyoenda, na upotoshaji mnaoufanya nyiye fanatics wa Slaa. Ingawa ni kweli ni mpenzi wa CHADEMA, kwani ninaichukia CCM kuliko ninavyomchukia shetani.

Hivyo, kuhusu kupinga harakati za kumpokea fisadi Lowassa, hata ningepinga nisingesikilizwa, kwani hata kadi ya chama sina. Ingawa, kwenye maisha yangu binafsi na watu wanaonizunguka, nilimpinga, nimempinga na ninaendelea kumpinga Lowassa mpaka kiama. Hafai kama ambavyo Magufuli na mtu yeyote mwenye chembechembe za CCM asivyofaa. Nimeandika sana humu juu ya CHADEMA kufanya big blunder katika hilo la Lowassa. But, hey I'm a nobody, with no influence within CHADEMA.

narudia tena ...EL kuhamia Chadema isingekuwa tatizo kimkakati na kubaki mwanachama wa kawaida huku akisaidia wananchi kujua uovu anaojua kwa nafasi zake alizopitia.... ...

Huu ndiyo usanii ninaousema wa huyo aliyekutuma kumtetea hapa. Kwa kashfa na tuhuma ambazo Slaa na CHADEMA walimwelekezea Lowassa, ni kosa kubwa sana hata kumjadili ati juu ya yeye kuwa mwana CHADEMA. Hakuna mkakati wowote wenye tija in long term katika hili.

Yaani unafikiri kuna uovu gani ambao CCM imefanya tungestahili kujua kutoka kwa Lowassa zaidi ya kile ambacho tunajua hadi sasa? Hakuna uovu ambao angeutaja na kuleta tija kwetu watanzania. Tunajua vya kutosha, kama haya tunayoyajua hadi sasa hayatoshi kutufanya tuone how evil CCM and its crooks of members, including Magufuli, basi hakika Lowassa asingeongeza lolote la maana.

Binafsi sihitaji kujia uovu zaidi wa CCM kutoka kwa mtu yeyote yule. I know enough to hate CCM; not vote for them; and never associate with none of them CCM crooks. Nina ndugu humo serikalini na ni maCCM, uwa nawaambia haya on their faces.

..katibu mkuu alijiuzuru kwenye kikao cha kamati kuu baada ya taratibu za kumpokea na zaidi kumpa tiketi ya kuwa mgombea urais kuvunjwa huku maangalizo muhimu ya kulinda uhai wa chama yakipuuzwa ......

Hujajibu swali langu hadi sasa: taratibu zingefuatwa, ufisadi wa Lowassa ungefutika? Uhai wa chama utalindwaje kwa chama kuchukua lifisadi likubwa kabisa kwenye taifa letu?

narudia tena ...kama ule ushauri wa Slaa ungefatwa EL asingekubali (bro unasema EL angejisafisha? Labda ndio maana hamumuelewi Dr Slaa) ....ndio maana alitega kwingine pia ....wewe huwezi kusema ukweli .....

Slaa should have been straight from the get go, kwamba he doesn't roll with Lowassa. He should have told Gwajima that. Kama Gwajima angetafuta kiongozi mwingine kumsaidia kufanikisha Lowassa kuingia CHADEMA, hakika leo Slaa angepata sifa kutoka kwangu. But, Slaa ndiye kimsingi aliyefanikisha Lowassa kuingia CHADEMA, kwani yeye ndiye aliyewezesha wazo hilo kufika kwa chama na Mwenyekiti.

ndio maana huwezi kusema wazi Mbowe na Chadema walifanya makosa ( walau hata sasa) ......

Hata nikisema, it doesn't change anything. Inabaki kuwa kelele tu. Ingawa, rekodi yangu humu ipo wazi kwamba CHADEMA walichemsha katika hili la Lowassa. Kwani nchi hii imefika hapa ilipo kwa sababu ya CCM. Mtu yeyote mwenye chembechembe za CCM hawezi kuwa mtu wa kulitoa taifa hili lilipo sasa.

EL mnae na mtasumbuka nae hadi mtubu ....rukeni lakini tunaojua tunasubiri tu ....

This proves how shallow you are. Yes, ninakipenda chama, ingawa sina uanachama. Hivyo, kinachotokea huko kimsingi hakina madhara yoyote katika kile ninachokiamini. Na nitaendelea kusema kwamba, kama ilivyo kwa Magufuli, Lowassa naye alistahili kuwa jela na siyo mtaani. Lakini nani wa kumfunga paka kengele CCM?
 
Back
Top Bottom