Usaliti wa Dkt. Slaa ni upi?

Usaliti wa Dkt. Slaa ni upi?

ahaa wapi! influenced by mama mushumbu, baada ya kulazwa nje
Ni kweli [B]mliberali[/B], wanafiki kwa kujifanya wamesahau huwawezi...wote leo wamesahahu Dr. Slaa alivyolazwa nje akitoka kwenye mkutano na viongozi wenzake. Hebu hapa tumsikilize Gwajima alisema nini siku hiyo...mwezi wa Septemba, 2015!



Sababu ya Dr. Slaa kuzira siasa hakuwa Lowassa, alikuwa First Lady who never was!​
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Slaa hajabadilika.

Alimkataa Lowassa wakati Lowassa yupo CCM na akamkataa alipoenda CHADEMA.

Huyo ni mtu mwenye msimamo. Mtu mwenye kanuni.

Sioni kabisa usaliti wake.
Sema pia alivyosema Magufuli ni fisadi na CCM kumejaa mafisadi! Halafu linganisha na sasa.

Kama hivi ndivyo mtu mwenye msimamo alivyo, basi sawa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mbowe hakosei~chadema nyumbu
Same as zidumu fikra za Magufuli - CCM zombies

Chifu, taifa hili linapitia wakati mbaya sana. Kila upande vijana wamekuwa a*s lickers na kissers. Ni hatari sana.
 
Usaliti wa Dr slaa umegawanyika katika makundi makuu matatu
1. Kukataa kubadili gia angani
2. Kukataa kumpokea lowasa
3. Kusimamia kile anacho kiamini.

Mnajaribu kupotosha historia. Ila historia itabaki kwamba Slaa alishiriki katika mpango haramu wa kumpokea Lowassa CHADEMA.

Kwa kujihusisha na CCM na watu ambao kutwa aliwaita majizi na mafisadi, sioni anachokisimamia na kukiamini. Je, leo ufisadi wa Magufuli umefutika? Kikwete na Mkapa je?
 
Mnajaribu kupotosha historia. Ila historia itabaki kwamba Slaa alishiriki katika mpango haramu wa kumpokea Lowassa CHADEMA.

Kwa kujihusisha na CCM na watu ambao kutwa aliwaita majizi na mafisadi, sioni anachokisimamia na kukiamini. Je, leo ufisadi wa Magufuli umefutika? Kikwete na Mkapa je?

Kwani tatizo lililowatatiza wengi ni lipi: kumpokea Lowassa awe mwanachama wa kawaida tu kama walivyo wengine au kumpokea na kumpa nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ya chama na kumfanya awe mgombea urais?
 
Magufuli alikuwepo kwenye list of shame?

Chifu, Slaa kutwa alimwita Magufuli fisadi kwa suala la uuzaji wa nyumba za serikali. Alimsema pia kwa suala la ‘samaki wa Magufuli’, na mikataba ya ujenzi wa barabara.

Slaa leo anaji-associate na chama alichokiita kimejaa majizi na mafisadi kina Kikwete na Mkapa!





Je, Kikwete na Mkapa siyo mafisadi tena?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani tatizo lililowatatiza wengi ni lipi: kumpokea Lowassa awe mwanachama wa kawaida tu kama walivyo wengine au kumpokea na kumpa nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ya chama na kumfanya awe mgombea urais?
Tatizo liliwatatiza wengi? Sina jibu kwa swali hii.

Kama tatizo lililomtatiza Slaa, basi the latter ndiyo jibu.
 
Nzi Chama kimejaa majizi na mafisadi? Nadhani sasa yatakua yamepungua maana mengi yamekimbilia CHADEMA.
 
Chama kimejaa majizi na mafisadi? Nadhani sasa yatakua yamepungua maana mengi yamekimbilia CHADEMA.
And you call yourself objective!!!
That’s so lame bruv. You now sound like one of those ‘team buku 7’
 
  • Thanks
Reactions: BAK
And you call yourself objective!!!
That’s so lame bruv. You now sound like one of those ‘team buku 7’

I call myself objective on what??

I haven’t talked about any objectivity in this thread.

So what the hell are you talking about dude?
 
Hizi ndizo hoja mlizobakiwa nazo!

Kufirisika kihoja ni kubaya sana!

Umejuaje kama anatoa povu lakini pia hata kama anatoa povu, umejuaje anatoa povu kwa ajiri ya kupata uteuzi?

Ina maana wewe hutoa povu kabla hawajafanya uteuzi?

Baadhi ya watu wakisema ninyi ni makarai mnaanza kupiga kelele?

Bora uwe mjinga lakini ujue kuwa ni mjinga kwa sababu atatafuta msaada kuliko kuwa mjinga asiyejua kama ni mjinga kwa sababu utaonyesha ukubwa wa ujinga wako bila kujitambua.
Umeandika Takataka, Hoja CCM walishateua mgombea kutoka CUF, Wewe kama CCM unayekipigania chama miaka yote imekula kwako

Siasa ni sayansi, Magufuli amewaweza kweli watu ambao akili zenu badala ya kufikiri maendeleo mnafikiri nguo za kijana,

Kuna Tetesi John Mnyika akachukua nafasi ya Humphrey polepole

Mbowe akachukua nafasi ya Mangula

Upinzani watazidi kuzalisha watu wenye akili ili waiongoze nchi na chama sio nyie takataka ambao mnawaza mavazi ya kijana mtalia Sana ni muda wa ccm kuwa na wapinzani wengi ,

Mfia chama nenda kafie watoto na familia yako utakufa maskini ccm utaiacha tatizo familia yako utaiacha kapuku, Shame on you
 
Nimekuwa nikisoma soma humu tokea 2015 kutoka kwa baadhi ya watu kuwa eti aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, Dkt. Wilbroad Slaa ni msaliti.

Eti ni msaliti kwa sababu aliamua kuachana na siasa baada ya CHADEMA kuamua kubadili gia angani. Pia, baada ya kuachana na siasa akakataa pia kumuunga mkono mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa.

Sioni kabisa usaliti wa Dkt. Slaa hapo. Ninachokiona ni mtu mwenye msimamo na uadilifu na anayeongozwa na kanuni.

Hivi kweli kabisa mtu na akili yako timamu, kati ya Slaa na CHADEMA, unaweza kumwona Slaa ndiye msaliti?

Kama kuna msaliti basi msaliti huyo ni CHADEMA na si Dkt. Slaa.

CHADEMA walisaliti karibu kila kitu walichokipigania wakiongozwa na Dkt. Slaa. Ni CHADEMA ndiyo waliobadilika. CHADEMA ndiyo wasaliti.

Nyie wote mnaodiriki kumuita Dkt. Slaa kuwa ni msaliti ni vifuu tundu msiojielewa kabisa.
Una uhakika Dr. Slaa ameacha siasa?!.
Au umechukua maneno yake ya mwaka 2015 ukameza kama yalivyo na umeamua kufumba macho..

Nakupa miezi sita ..kufikia mwezi September mwaka huu uje hapa tena useme Dr. Slaa kaacha siasa.
 
Hata hawa wabunge na madiwani wanaonunuliwa chanzo ni ujio wa Lowasa.

Hata baada ya kumpokea Lowasa Chadema walijifanya wanaweza kushindana na ccm ambacho ni chama dola.

Walimnunua Katibu wa ccm Iringa, alihama bila hata kukabidhi ofisi matokea yake akapewa ubunge viti maalum Chadema.

Tuliwaambia toka awali Chadema ifuate misingi na taratibu za chama kwenye uendeshaji wa shughuli zake sio kupimana na ccm ambacho ni chama dola.

Matokea yake ndio haya ccm wameingia miguu yote miwili kwenye ununuzi wa viongozi wa Chadema.

Ahaaa... hawa Chadema acha dhambi ya usaliti kwa watanzania iwatafune tu.
Idawa una hoja ila nachokushangaa una mahaba yaliyopitiliza kwa Dr. Slaa
Hilo linakugharimu kila cku naona huwezi kuwa objective linakuja suala la Dr. Slaa
Mimi nilikuwa mfuasi wa Dr. Slaa kuliko wewe, hata nilimuunga mkono alipojiondoa chadema. Na wala hilo mi sikuuona usaliti wowote.
Shida ni hii ya sasa hivi yeye kuanza kuingia CCM. Je CCM imabadilika nn...

Kwa taarifa yako Dr slaa atakuwa mwana ccm nakupa miezi 6, na lowassa atarudi ccm kufikia mwakani.

Halafu uje tena uniulize kwamba je Dr slaa wa leo ni yule wa Jana?!

...
 
Slaa hajabadilika.

Alimkataa Lowassa wakati Lowassa yupo CCM na akamkataa alipoenda CHADEMA.

Huyo ni mtu mwenye msimamo. Mtu mwenye kanuni.

Sioni kabisa usaliti wake.
Dr slaa atarudi CCM rasmi ..jipe miezi sita halafu na lowassa nae kufikia mwakani anarejea CCM.

Hapo nitakutaka uje na thread tena kutuonesha namna dr slaa alivyomkataa lowassa.

Dr slaa wa leo sio wa wkt ule.

Mimi nilimuunga mkono kwa hatua zote hadi alipoondoka chadema. Kitendo cha yeye kurudi CCM ndio mi naanza kuona hana jipya sasa.
 
Itawachukua muda mrefu sana hawa ndugu zetu kutambua hili na kukubali upekee wa mchango wa Dkt. Slaa katika kujenga upinzani. Sasa hivi wamekuwa kama kondoo wasio na mchungaji!

Ni kweli Dr Slaa sio tu ana mchango ktk kuujenga upinzani ila ni kwamba ameujenga kweli kwa damu na jasho. Hilo lipo wazi.
Na kwangu mimi alikuwa sahihi kuondoka baada ya chadema kumpokea fisadi lowassa.

Ila nikutahadharishe kuwa Dr Slaa wa leo sio yule wa 2015.
Mimi nilikuwa mfuasi wake na nilikubaliana nae kuiacha Chadema ..
Iko hivi Dr Slaa atarudi CCM rasmi. Nakupa miezi 6 . Lingine ni kwamba Lowassa nae atarudi CCM na utakachoshangaa ni kwamba this time Dr Slaa hatasimamia msimamo wake wa kuondoka CCM wkt Lowassa akirejea.

Sasa nasubiri hiyo thread cku Dr Slaa na Lowassa wakiwa wote huko CCM.
 
Kumbuka tu 2010 Chadema ilisimama peke yake, halafu 2015 viliungana vyama vingapi.?

Ukitaka kujua mchango wa Dr Slaa Nenda kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa 2014......hapo ndio utajua hata kura na mafanikio ya 2015 mizizi ni 2014.

Huyo Lowasa amekuja kwenye shamba ambalo tayari limeshalimwa.
Hii ni kweli. Mimi naelewa mchango wa Dr Slaa kwa chadema ni mkubwa kuliko wa Lowassa.
 
Back
Top Bottom