Usaliti wa Dkt. Slaa ni upi?

Usaliti wa Dkt. Slaa ni upi?

How old are you? You sound childish, I'm sorry to say this.
Kwa hiyo kuilaumu CHADEMA na Mbowe ndiyo kutahalalisha lawama zangu kwa Slaa?

Unataka nikupe mstari wangu mmoja? You sound not only childish, but also naive. Yaani nikiweka mstari wangu mmoja ndiyo utaniamini ama? Ni sawa na huyo aliyekutuma umtetea alivyosema ati Lowassa ajisafishe na tuhuma zake!!
Ndugu mbona swali ni rahisi sana ....umesema El hakupaswa kupokelewa wala hata kujadiliwa ...huna rekodi za kupinga hili humu zaidi ya rekodi za kumtukana Dr Slaa kwa kitu unachokiri hakikuwa sahihi ....Its simple ulishangilia gia kubadilishwa angani wala hukuandika makosa unayoyasema sasa ila wakati ule Dr Slaa alikuwa msaliti kwako ....hapa najadiliana na wewe kama sample na aina ya watu tunavyoshiriki individually kwenye ujinga then mambo yakienda kombo tunaanza ku generalise tatizo .....
 
Comrade Mbowe ndio msaliti mkubwa upinzani, ametumia nafasi yake kujinufaisha kiuchumi.
 
Unafkr kwa nn hakuonekana tena kwenye ulingo wa siasa since lowassa alivyoingia cdm...? (Unapaswa kufkr vizur swal hil).

Kukaa kimya huku kulikua na maana kubwa..mind u Dr. Alikua sio mtu wa kukurupuka...cku zote wataalam Wa saikolojia wanadai mda ndo kila...nafkr mda ndo ulio mpa jibu la kufanya maamz....atabak kua great man ever kwenye siasa za bongo..hakka ameacha legacy ambayo wanasiasa wachanga kama kina mnyika, makamba,zzto pamoja na vijana mnaoingia kwenye ulingo wa siasa za kidemokrasia kufuata nyayo zake...
acha kutukana watu wewe!
mtu aliyepata kura milioni 2 eti unatuambia ni greates!!!
alimtaja jpm kwenye list yake ya mafisadi leo hii analamba viatu vyake!!!toa pumba
 
Usaliti wa Dr slaa;
  1. alisaliti kiapo chake kwa Mungu cha kutumika madhabahuni.
  2. Alisaliti ndoa myake kwa kumuacha mkewe
  3. Alikisaliti chama chake CDM
Dhambi ya usaliti kamwe haiwezi kufa inaendelea kumganda milele.
 


Kumezuka jitihada za kupotosha juu ya kilichotokea. Ila tunashukuru uwepo wa kumbukumbu za kivideo na maandishi. Kama hiyo video inavyoonyesha, Slaa mwenyewe alikiri kushiriki maongezi ya kujadili ujio wa Lowassa CHADEMA. Slaa alienda mbele na kusema alitoa masharti ya Lowassa kufanya kabla ya yeye kukubali ujio wake. Mtu aliye principled, hata nafasi ya kumjadili mtu aliyemtuhumu kuwa ni fisadi asingeipata.

Usaliti wake mkubwa ni yeye kukubali kutumika na CCM katika wakati ambao mapambano yalikuwa yamepamba moto. Kwa kuheshimu harakati zake, angeweza kuondoka chamani, kusubiri uchaguzi uishe na kisha kusema aliyoyasema. Ila yeye kukubali kutumiwa na CCM (kulipiwa gharama za press, kukutana na Mwakyembe n.k.) wakati kama ule, ndiyo sababu ya yeye kuitwa msaliti. Alisaliti harakati alizoshiriki kuzianzisha.

Lazima tuwe wakweli na waaminifu kwa nafsi zetu. Upo uzalendo kwa chama, na upo uzalendo kwa Taifa na upo uzalendo kwa ubinadamu. Binadamu bora kabisa wana heshimu uzalendo kwa ubinadamu kuliko wa taifa na chama. Binadamu wa daraja la pili kwa ubora ni wale wenye uzalendo kwa Taifa badala ya chama. Uzalendo wa chama ni bora kuliko maslahi binafsi ya mwanachama mmoja mmoja.

Kama mnasema Dr. Slaa alifanya makosa kukisaliti chama kwa manufaa ya taifa( kwa maoni yake)basi mnatakiwa kumsifia Rais Magufuli kwa kuvinyonga vyama vya upinzani kwa manufaa ya chama chake badala ya taifa.
 
Dr. Slaa yupi? Je, ni huyu anayesema Mh. Tundu Lissu kumiminiwa risasi ni kitu cha kawaida? Come on mr.sparon, you are joking, aren't you? Au ni huyu anayemsifia dikteta uchwara? Kama kuna hekima, busara na uadilifu wowote aliowahi kuwa nao it's gone and there's nothing left there...ameamua kuungana na watesi wetu tusio na unafiki.
Hapa kuna ukakas katka sentens yake ....nilimckia vizur sana...ukickiliza kaul zake vizur nafkr utamwelewa vizur alikua akimaanisha nn...! Kitu cha kumwelewa huyu Mzee...ni hik.,,

Ni kitu cha kawaida kupigwa risas lissu kwa sababu wapo walio tembea kama wao, Dr.mvung, chacha wangwe, mch.mtikila, mwangos na n.k...yeye mwenyewe pia alipgwa mabom pale arusha mpaka kupelekea mkono wake kuwa mbovu pia na kusabibsha wanainch zaid kuuwawa pale arusha....that means hashangazw na tukio la lissu kupigwa risas...ila mm na ww lazma tushangae maana hizo heka heka hatujawah kuzi experience..
 
Umejikumbushia lakini ile video ya press ya Slaa kung’atuka? Ni dhahiri hujajikumbushia na umesahau Gwajima alihusika vipi. Angalia ile video, nimeiweka mara 2 humu.
Mkuu nmejikumbushia tena vizur sana....bado nasema who is gwajma kwangu...! I will stand to be correct ....kupgiwa cm na gwajma n kawaida lakn internal committee ya chama n habar nyingne kabsa.. Let's kapigiwa cm...then tumekuja kwenye vikao halafu maamz ya vikao yanaamliwa ndivyo sivyo....! hapa ndo mjadala ndo unapoanzia..

Nikukumbushe tu yawezekana gwajma na Dr. Vilikua n kama maongez ya kawaida... Kumbuka before seke seke la gwajma na Dr.slaa...kulikua na issue ya mbowe na mtei kupokea mlungula na waraka ulitembea ukitanabaisha namna mbowe alivyofanya maamz kabla ya kumshirikisha Dr.slaa....

Ukiliangalia kwa mapana zaid utagundua kuwa Dr.slaa alikua ignored mapema kabsa since day 1....na hii story ya gwajma na kumzodoa Dr.slaa imekuja baadae kabsa...issue kubwa iliyo kuwepo n mareh. Ndesambulo, Mzee mtei ,professor baregu na mbowe ndo chanzo kikuu cha kumleta lowassa ndan ya chama...


I remind..., kurudia tena mijadala ya week zile lowassa alivyokatwa na kuhaha kutafuta chama utagundua mbowe alitwaja Mara elfu zaid kuhusika kuñunuliwa ...but story ya slaa imekuja baadae kwa alikaa kimya huku mbowe akutuaminisha kuwa katibu mkuu yuko likizo...any way nmejaribu kukumbushia minyukano ya mijadala tuliyokuwa nayo kipind hicho..

Hence...usimlaum Dr.kwa upuuz aliofanya mbowe...na hil limeturudisha nyuma sana katka kutengeza opposer side...tunahaha kwa sababu bila upinzan thabit hakuna serikal iliyo thabit..
 
acha kutukana watu wewe!
mtu aliyepata kura milioni 2 eti unatuambia ni greates!!!
alimtaja jpm kwenye list yake ya mafisadi leo hii analamba viatu vyake!!!toa pumba
Ndo unavyofkr...? Kwa comment yako Hii inaonesha n jins gani ulivyo too low Ku argue na mm...thankx
 
Hapa kuna ukakas katka sentens yake ....nilimckia vizur sana...ukickiliza kaul zake vizur nafkr utamwelewa vizur alikua akimaanisha nn...! Kitu cha kumwelewa huyu Mzee...ni hik.,,

Ni kitu cha kawaida kupigwa risas lissu kwa sababu wapo walio tembea kama wao, Dr.mvung, chacha wangwe, mch.mtikila, mwangos na n.k...yeye mwenyewe pia alipgwa mabom pale arusha mpaka kupelekea mkono wake kuwa mbovu pia na kusabibsha wanainch zaid kuuwawa pale arusha....that means hashangazw na tukio la lissu kupigwa risas...ila mm na ww lazma tushangae maana hizo heka heka hatujawah kuzi experience..
Huu ni upuuzi gani unaouandika humu? Hivi una habari kuwa hii ni forum (JamiiForums) au unadhani uko mitaani Kariakoo. Kwa kweli JF imeingiliwa na kwa uandishi kama huu JF imekuwa kokoro, inazoa tu. Rudi usome tena sheria za JamiiForums ukipitia tena kinachoitwa forum etiquette halafu ndio uje uchangie. Usipofanya hivyo nitakuweka kwenye ignore list yangu usiweze tena kusoma nilichoandika. Unatuchafulia jamvi.
 
Huu ni upuuzi gani unaouandika humu? Hivi una habari kuwa hii ni forum (JamiiForums) au unadhani uko mitaani Kariakoo. Kwa kweli JF imeingiliwa na kwa uandishi kama huu JF imekuwa kokoro, inazoa tu. Rudi usome tena sheria za JamiiForums ukipitia tena kinachoitwa forum etiquette halafu ndio uje uchangie. Usipofanya hivyo nitakuweka kwenye ignore list yangu usiweze tena kusoma nilichoandika.
Mag 3, tuvumiliane tu . mimi si mwandishi na zaidi ya yote si mwanasiasa lakin nafuatilia za nchi yetu ili niweze kutambua tulikotoka, tulipo na tunapokwenda. Lakn naamin hoja yangu pia imefika. Asante
 
Ndo unavyofkr...? Kwa comment yako Hii inaonesha n jins gani ulivyo too low Ku argue na mm...thankx
huna argument yoyote
inaonekana umeanza kufatilia siasa za tz juzi tu
huyo slaa wako alitoa list of shame part 2 pale tabora,..katika ile list magufuli alikuwemo
kama ulikuwa hujui hili lijue sasa shallow minded
 
huna argument yoyote
inaonekana umeanza kufatilia siasa za tz juzi tu
huyo slaa wako alitoa list of shame part 2 pale tabora,..katika ile list magufuli alikuwemo
kama ulikuwa hujui hili lijue sasa shallow minded
Well said mkuu.! Kwa sababu siwezi kupinga maana yawezekana umri wako ni wakina kange lugola ama wakina mbowe. Tofauti na hapo unapaswa uniombe radhi
 
Back
Top Bottom