Usaliti ni mbaya sana

Usaliti ni mbaya sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!

Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake

Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?

Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!

Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!

Wasaliti ni watu wabaya Sana
 
Kwanini uwe msaliti wakati fursa zipo.
Jiunge na Group la WhatsApp kwa Ajili ya kupata pesa bila kuvuja jasho...

Hii ni fursa yako kijana mwenzangu so

📝 Kinachohitajika:

1. Chagua group unalotaka ni VIP (YAKUZ) au NORMAL (YAVUZ): Tembelea mojawapo ya nyuzi zangu hapo utajua hayo, chagua jina lako hapo.

2. Piga Screenshoot 📸: Piga picha ya neno ulilochagua.

3. Tuma Inbox 📲: Tuma screenshot hiyo kwenye inbox yetu kupitia WhatsApp.

4. Lipia 💸: Utalipia jina lako, na nitaithibitisha namba yako ya WhatsApp.

5. Pata Pesa zako: Pesa zako zitaingia kutokana na jina ulilochagua kama ni YAKUZ au YAVUZ yako.

Jiunge sasa na ufurahie maisha rahisi na ya uhakika ✅.

Usikose kipindi kila siku saa tatu mpaka saa saba mchana 🎯

👉 Bonyeza hapa kujiunga na group letu la WhatsApp:

Karibu sana! 🎉
 
Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!

Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake

Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?

Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!

Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!

Wasaliti ni watu wabaya Sana
ILI UONEKANE MWANA MAGEUZI LAZIMA UYAFANYE KWA KUUNGANA NA LISSU?
 
Attachments

  • FB_IMG_1702085740919.jpg
    FB_IMG_1702085740919.jpg
    1.6 KB · Views: 13
Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!

Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake

Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?

Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!

Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!

Wasaliti ni watu wabaya Sana
Gentleman,
Ni Freeman Aikaeli Mbowe ndie alie mashauri Lisu aombe kuhamishiwa gereza la ukonga kulingana na hali yake ukilinganisha na mazingira finyu na yaliyobana zaidi ya pale keko.
In fact, Mbowe ndie alie chukua hatua za mwanzo kuomba hivyo,kabla ya lisu kukamilisha utaratibu,

Mbowe anaifahamu sana ukonga,
ina mazingira mazuri zaidi na nafasi kubwa zaidi kwa mtu kama Lisu kukaa, lakini pia ukonga ina nafasi na mazingira mazuri zaidi hata kwa wageni wengi zaidi kuonana na mahabusu wao ukilinganisha na keko

So,
Gentleman,
ni muhimu kujiepusha na upotoshaji wa hila kwa mtu mwema kama Mbowe, itakusaiadia sana 🐒
 
Zero brain huna ujualo
 
Gentleman,
Ni Freeman Aikaeli Mbowe ndie alie mashauri Lisu aombe kuhamishiwa gereza la ukonga kulingana na hali yake ukilinganisha na mazingira finyu na yaliyobana zaidi ya pale keko.
Mfungwa wa mahabusu ana haki ya kuomba kuhamishwa mahabusu? Utaratibu upoje?. Toa elimu hapa watu waelewe!!! Nitashukuru ukitoka majibu kwa kuambatanisha na vifungu vya sheria zilizopo vifungu vinavyoongoza zoezi hili la kuomba kuhamishwa mahabusu!
 
Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!

Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake

Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?

Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!

Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!

Wasaliti ni watu wabaya Sana
Nilipata mashaka sana niliposikia Mbowe kaenda kumtembelea Lisu akiwa na Salim Mwalimu. Hawa hawajajihusisha na shughuli yoyote ya cdm toka uchaguzi umalizike, walipata wapi uajsiri wa kwenda kumtembelea sasa.

Nilipoanza kusikia drama za kuhamishwa gereza nikajua ni ujumbe gani walimpelekea, maana siku ile ile nilisikia ujumbe wa Lisu kuwa hataki vikao vya gizani, na yuko tayari kunyongwa hadi kufa.
 
Mbowe aliagizwa na Samia kumpa ahadi za kulegeza kamba chadema ipewe majimbo kadhaa

Halafu reform ziwekwe mfukoni mpaka baada ya uchaguzi

Lissu akagoma watu wema wameshutuka na kupush aamishwe gereza kwa sababu za kiusalama na wanaotakiwa kumuona Sana Sana ni ndugu 3 wa karibu tu wanaompelekea chakula

Inaonekana mbowe alianza michezo michafu na wenzie

Lakini hawajui kwamba wanapambana na system kubwa Sana ambayo imekataa ujinga mwisho mwaka huu!!
 
Mfungwa wa mahabusu ana haki ya kuomba kuhamishwa mahabusu? Utaratibu upoje?. Toa elimu hapa watu waelewe!!! Nitashukuru ukitoka majibu kwa kuambatanisha na vifungu vya sheria zilizopo vifungu vinavyoongoza zoezi hili la kuomba kuhamishwa mahabusu!
ndicho kilichofanyika gentleman, na engineer mshauri akiwa mwenyekiti mstaafu wa chadema. Na amefanya hivyo kwa nia njema kabisaa kwamba kwa hali ya muungwana, mazingira mazuri zaidi ni ukonga,

but si hivyo tu,
wageni wengi wanafiki wanatatajiwa kupractice unafiki wao kumtembelea huyo mropokaji korokoroni. Pale keko,
kwa siku mnaweza msizidi wageni 5 kumuona mahabusu, eneo ni dogo mno, but ukonga hata mkiwa 10 kwa wakati moja inawezekana.

Gentleman,
jambo hili ni sawa tu na kuomba kubadilishiwa hakimu au jaji wa kesi yako kulingana na unavyoona inafaa 🐒
 
Mbowe aliagizwa na Samia kumpa ahadi za kulegeza kamba chadema ipewe majimbo kadhaa

Halafu reform ziwekwe mfukoni mpaka baada ya uchaguzi

Lissu akagoma watu wema wameshutuka na kupush aamishwe gereza kwa sababu za kiusalama na wanaotakiwa kumuona Sana Sana ni ndugu 3 wa karibu tu wanaompelekea chakula

Inaonekana mbowe alianza michezo michafu na wenzie

Lakini hawajui kwamba wanapambana na system kubwa Sana ambayo imekataa ujinga mwisho mwaka huu!!
Samia anajua huku Bara hakuna anayeweza kumpa kura yake hata wana CCM wenyewe hawawezi kukabidhi nchi kwa Samia hata siku moja
Kwanza ni udhaifu wake wa kuongoza hana uwezo .
Hii ilitokea kwenye Bandari DGIS na Katibu Mkuu Kiongozi waligoma, Samia akawala kichwa , baadhi ya wazalendo pale kwake wakavujisha mktaba akaanza kuwapangua pangua akamchukia Mzanzibar tena wa kwao kuwa DGIS.
Samia anajua kabisa wanaume huku bara wamemkalia kooni ndo maana leo Majaliwa anagombea tena ubunge amtege kama atampa tena Uwaziri Mkuu au atamnyima aanze harakati za Urais 2030 aje amnyooshe ni kazi kweli kweli.

Lissu ana watu kwenye system ndo maana alikua anapata taarifa za mwendazake hadi kifo chake kabla ya Samia. WAZALENDO PALE TISS HAWAJAFA WAPO.
 
Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!

Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake

Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ?

Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi aamishwe gereza ili kulinda maisha yake dhidi ya wasaliti!!

Enyi watu wabaya enyi wasaliti Lissu ni mpango wa Mungu hamtakaa mpange mpango wowote gizani mfanikiwe!!

Wasaliti ni watu wabaya Sana
Yaani hao wasaliti wa Keko ambapo maisha ya Lissu yalikuwa mashakani hawawezi hata kutembea kwa Miguu kutoka Keko kwenda Ukonga????

Ulitoa wapi hizi akili zilozojaa kinyesi cha Nguruwe????
 
Back
Top Bottom