Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

iZulu

Senior Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
133
Reaction score
164
Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani.
Kinachoshangaza zaidi wafanyabiashara hao wanatoa ushuru kwa mamlaka husika. Pamoja na wafanyabiashara hao kusababisha changamoto ya foleni lakini wanahatarisha usalama wa watembea kwa miguu na hata wafanyabiashara wenyewe.
Kutokana na haya mamlaka za usalama zipo likizo au mpaka itokeea ajali ndio wachukue hatua?
20250827_065621.jpg
 
Tatizo ni siasa.
Unawatoa hao sasa unawapeleka wapi na washakaa hapo miaka 10 sasa
 
Ripoti husema wananchi wa tz wanaongoza kwa kutokuwa na furaha.

Mojawapo ya sababu, ni hawa wachuuzi kupanga bidhaa mpaka maeneo ya Watembea kwa miguu
 
Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani.
Kinachoshangaza zaidi wafanyabiashara hao wanatoa ushuru kwa mamlaka husika. Pamoja na wafanyabiashara hao kusababisha changamoto ya foleni lakini wanahatarisha usalama wa watembea kwa miguu na hata wafanyabiashara wenyewe.
Kutokana na haya mamlaka za usalama zipo likizo au mpaka itokeea ajali ndio wachukue hatua?View attachment 3456052
HOJA YA MSINGI SANA. RANGI NI KINYAA KABISA. KAMA VILE HAKUNA SERIKALI. UTADHANI SOMALIA
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hapo rangitatu ni shida awo kuwatoa sijui inashindwa nn na vifolen vya ajabu ajabu vinasababishwa na hao wanaopanga vitu barabaran na kero Kwa wapita njia na mwendokas ikianza sijui itakuaje
 
Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani.
Kinachoshangaza zaidi wafanyabiashara hao wanatoa ushuru kwa mamlaka husika. Pamoja na wafanyabiashara hao kusababisha changamoto ya foleni lakini wanahatarisha usalama wa watembea kwa miguu na hata wafanyabiashara wenyewe.
Kutokana na haya mamlaka za usalama zipo likizo au mpaka itokeea ajali ndio wachukue hatua?View attachment 3456052
Yani hapa ni pa kukaza uzi. Hakukuwa na haja ya kujenga sidewalk ikiwa sehemu hizo zote zimegeuka kuwa masoko.

Ni muda wa kurudisha heshima ya miundominu iliyojengwa na pesa za wananchi
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom