Kweli, atafute kuna thread humu nyingi sana zinahusiana na hayo.Hii imekuwa kero sasa,
Ndugu mgeni....pitia kuna habari za kutosha zilizotangulia hii yako......
Humo majibu yapo ya kutosha
Tatizo lako ni upeo finyu wa mawazonakushauri mdogo wangu usiitamani hii kazi ya hovyo,
unajua umasikini tulionao kama taifa umesababishwa na hawa jamaa wanojiita usalama wa taifa, wAnajidai wazalendo kumbe njaa tupu wameukumbatia mfumo dhalimu wa kinyonyaji na kifisadi kwa mtu mwadilifu na mzalendo sikushauri uitamani hii kazi ya kinafiki tafuta kazi ingine HALALI ILI UIPATIE FAMILIA YAKO MAHITAJI USISAHAU KULIPA KODI ZA NCHI, INGAWA WAJANJA WANAKULA MUNGU AKUBARIKI KAMA UTA FUATA USHAURI WANGU
Mi napenda kujua nawezaje kujiunga kozi ya ukomando?
Ushakosa kama hawajakuona.
Mi napenda kujua nawezaje kujiunga kozi ya ukomando?
Usalama wa TaifaUkamandoo gani? jw,polisi, au wa magereza?
nisaidieni tu ndugu mana ni kazi ambayo naisikia damuni
Jamani nataka kujua ni vigezo gani mtu natakiwa niwe navyo ili niweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa...na process zake zikoje