Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

Mbona mtoa mada umrkuwa muoga tena unakana watu wanaotaka kujua zaidi.
 
Mwaka 2007 nilipomaliza masomo pale DIT FTC mkuu wa idara alitujulisha baadhi YA wanafunzi kunawatu wamekuja kwake wanaitaji wafanyakazi wa IT. Tulirudi tukapigishwa interview yakawaida maswali mengi yalihusu historia YA familia.... Baada YA Wiki mbili tukapelekwa hospitali kupimwa kunabaadhi walitemeshwa walionekana afya sio mzuri. Walitupa go ahead YA kuajiriwa sehemu nyingine na wakasema kama tutapata safari itakayo tuweka mbali na dar zaidi mwezi tutoe taarifa na walitupiga pini YA kuowa/kuzaa kiolela... (lazima umjulishe mkuu akupe ruhusa kwanza) jamaa walitufuatilia zaidi YA miaka 2 mwaka 2010 ndio tulikula mkataba..... Tuliopita katika michujo tulikuwa 9 lakini walioweza kuvumilia hadi wakapata ajira walikuwa 5... Wengine subra ilikuwa ngumu tulikuwa na hamu YA pesa ya faster faster.... Jamaa zangu wapo kijitonyama kama IT specialist na wengine telecominicationEng... Naungana na mtoa mada kazi za kitengo IWA azipo wazi Sana na hadi ulambe ajira lazima usote Sana na wakati wanakufuatilia inachukua zaidi YA mwaka ndio utagundua ni wazee wa kitendo upo nao. Mara nyingi tulikuwa tunakutana nao Pale pale DIT Mara ofisi za chuo cha utumishi......
Acha uongo
 
vipi hali wanajamvi...nafwatilia kwa karibu mada husika,ningependa tu kufahamishwa kuhusu nafasi za ajira ya jeshi la polisi,na proces zote husika hadi kuingia rasmi...naombeni msaada...natanguliza shukrani
Siku hizi kazi kutangazwa imekua kama kumuona kakakuona
 
Hizo Kazi nilizipendaga ila sinaga mpango nazo baada ya kujifunza kuwa mda wote kichwa chako kinatakiwa kiwe safi na uwe aware sana ili kuona yasiyoyakawaida"noticing the unusuals"
 
Mwaka 2007 nilipomaliza masomo pale DIT FTC mkuu wa idara alitujulisha baadhi YA wanafunzi kunawatu wamekuja kwake wanaitaji wafanyakazi wa IT. Tulirudi tukapigishwa interview yakawaida maswali mengi yalihusu historia YA familia.... Baada YA Wiki mbili tukapelekwa hospitali kupimwa kunabaadhi walitemeshwa walionekana afya sio mzuri. Walitupa go ahead YA kuajiriwa sehemu nyingine na wakasema kama tutapata safari itakayo tuweka mbali na dar zaidi mwezi tutoe taarifa na walitupiga pini YA kuowa/kuzaa kiolela... (lazima umjulishe mkuu akupe ruhusa kwanza) jamaa walitufuatilia zaidi YA miaka 2 mwaka 2010 ndio tulikula mkataba..... Tuliopita katika michujo tulikuwa 9 lakini walioweza kuvumilia hadi wakapata ajira walikuwa 5... Wengine subra ilikuwa ngumu tulikuwa na hamu YA pesa ya faster faster.... Jamaa zangu wapo kijitonyama kama IT specialist na wengine telecominicationEng... Naungana na mtoa mada kazi za kitengo IWA azipo wazi Sana na hadi ulambe ajira lazima usote Sana na wakati wanakufuatilia inachukua zaidi YA mwaka ndio utagundua ni wazee wa kitendo upo nao. Mara nyingi tulikuwa tunakutana nao Pale pale DIT Mara ofisi za chuo cha utumishi......

Hovyooo
 
Kumbe bado tunatumia njia ya zamani kiasi hiki? kumbe ndo maana hatuna wataalamu kwenye hili Taasisi...mambo yapo shagalabagala nyara za nchi zinaenda ovyo tu
 
Habari wanajamvi, kumekuwa na ulinganishi,ukosoaji na maulizo kwa nini nchi zilizoendelea mashirika yao ya kijasusi hutangaza nafasi za kazi kwa uwazi kabisa kama zinavyotangazwa kazi nyingine kwenye vyombo mbalimbali kama magazetini,mitandaoni n.k. lakini ni tofauti kwa nchi zetu. Baadhi ya wakosoaji huwa ni watu walio katika nchi hizi zilizoendelea hivyo kwao huona kitu cha kawaida ila hushangaa kwetu halipo hilo jamabo na kutoa mifano ya mashirika kama CIA, MI6 n.k wakitangaza nafasi za kazi kwa uwazi kabisa

Ukweli ni kwamba kazi hizi hutangazwa kama kawaida ila tu hazitangazwi direct kabisa kwa kuambiwa unajiriwa na idara ya ujasusi. Utakuta tangazo linahitaji wapishi, wafagiaji n.k lakini unachoenda kukifanya unafanya ukiwa mwajiriwa wa idara. Hii hutokea kulingana na mahitaji ya wakati huo. ila sisemi wote huajiriwa hivyo hapana,ila ikitokea kwa mfano idara ina uhitaji wa madereva,ina maana zinaweza kutangazwa tu nafasi za kazi za udereva.

Ngoja nitoe mifano hai, majuma kadhaa nyuma kulitangazwa nafasi kwa ajili ya kuwapata vijana wa kuwapa mafunzo ya upigaji picha ili wazunguke mashuleni nchi nzima kwa ajili ya kupiga picha, lakini tangazo lilionesha ni kazi ya mda mfupi na ukilipwa kwa kila kichwa kiasi fulani tu cha kawaida, lakini kweli ilikuwa ni idara. Je vijana wa ngapi wenye degree unaweza ukawaambia kuwa ukapatiwe mafunzo ya kupiga picha alafu azunguke nchi nzima kwa kila kichwa elfu moja wakakubali? Aliyekubali maana yake yupo tayari kufanya kazi yeyote mahala popote bila kujali kwamba ana elimu gani.

Mfano wa pili kulitangzwa kazi kwa watu wenye Diploma ya IT lakini walikuwa wanaenda kuwa waajiriwa wa idara, imagine usawa huu wa masuala ya IT yaliyovyopamba moto lakini unasikia wanahitajika wa Diploma. Kwangu tafsiri yake kwanza matarajio ni kwamba wengi wao watakuwa ni vijana wadogo, kwa hiyo watakuwa ni watiifu kwani wengi wao hawajaanza maisha,wengi wao watakuwa hawajaingia kwenye masuala ya ndoa, wengi wao watakuwa wana njaa na kiu ya mafanikio lakini pia miili yao inaweza kuhimili mikiki mikiki ya mafunzo kwa urahisi zaidi.

Ni mawazo yangu binafsi, karibuni kwa michango

Mkuu, naona tu bado hujafuatilia kwa makini hizi recruitment programmes zao khasa hawa wa nje.

Hawa wa nje hutangaza wazi katika magazeti maalum khasa yale ya bure maana yanasomwa na watu wengi katika mabasi na matreni.

Kwa mfano kuna gazeti moja maarufu la asubuhi nchini Uingereza liitwalo Metro ambalo ni la kila siku, ni lazima kila baada ya muda huwa wanatangaza humo wakitafuta graduates na wataalam wengine wanaweza kusema wanatafuta programmers na kadhalika.

Hivi juzijuzi nilipokuwa huko niliona tangazo la MI5 wanatafuta "surveillance officers" katika mpango maalum wa kupambana na vitalu vya ugaidi vya ndani ya nchi au "home-grown terrorists".

Hata katika gazeti la New York Times niliona tangazo lenye ujumbe kwamba "You Can Save the country, are you ready" na chini kuna namba na anuani ya website ili utembelee.

Ukiwa umeonyesha nia basi unapoingia hiyo website unapelekwa kwenye "virtual reality" yaani ulimwengu wa kufikirika na unaanza kujibu masuali mbalimbali yakiwamo ya kuhusu wewe tangu mdogo.

Ukipita hapo basi utakwenda kuanza safari ya kuwa jasusi kuna mji waitwa Glynco upo Georgia na baada ya hapo kinachoendelea ni siri yako.

Kwa Tanzania bado utaratibu wa kuchagua vijana umebakia kuwa uleule wa asili na nafikiri utaelewa nikisema hivyo.

Ila kuna uwezekano mkubwa kwa Tanzania ikaja na mitindo mbalimbali ya kuwavuta vijana hodari katika masuala ya "intel" na moja ya mitindo hiyo ni "computer gaming" ambapo mkicheza wawili basi unakuwa unacheza na mtafutaji au "recruiter" na mnaanza "process" ya kukulengesha ili siku moja uje uwe mlinzi wa Taifa.

Kwahiyo hivi vitu vipo na vinafanyika sema tu unatakiwa uwe ukisoma gazeti unasoma khasa na huachi ukarasa.

:D:D:D
 
Rubbish uwongo mtupu, usijaribu tena kuleta upuuzi wako tena hapa.
 
yes!yanawezekana na kuna njia ntingi mno
Nikiwa chuo kuna jamaa(mwajiriwa wa makumbusho-ila mimi sikujua hill) alitaka kuniingiza huko-alikuwa ananidodosa vimaswali flan....kuna siku nilichemka nikamwambia kasiri kangu...ndio ukawa mwisho.
.....nilikuja kutana naye baada ya kumaliza chuo nikiwa mwajiriwa Arusha akiwa mkuu wa kitengo wilaya fulan ya mkoa wa Arusha-tukawa marafiki mpaka sasa.

Ni hayo tu kwa Leo...
 
Habari wanajamvi, kumekuwa na ulinganishi,ukosoaji na maulizo kwa nini nchi zilizoendelea mashirika yao ya kijasusi hutangaza nafasi za kazi kwa uwazi kabisa kama zinavyotangazwa kazi nyingine kwenye vyombo mbalimbali kama magazetini,mitandaoni n.k. lakini ni tofauti kwa nchi zetu. Baadhi ya wakosoaji huwa ni watu walio katika nchi hizi zilizoendelea hivyo kwao huona kitu cha kawaida ila hushangaa kwetu halipo hilo jamabo na kutoa mifano ya mashirika kama CIA, MI6 n.k wakitangaza nafasi za kazi kwa uwazi kabisa

Ukweli ni kwamba kazi hizi hutangazwa kama kawaida ila tu hazitangazwi direct kabisa kwa kuambiwa unajiriwa na idara ya ujasusi. Utakuta tangazo linahitaji wapishi, wafagiaji n.k lakini unachoenda kukifanya unafanya ukiwa mwajiriwa wa idara. Hii hutokea kulingana na mahitaji ya wakati huo. ila sisemi wote huajiriwa hivyo hapana,ila ikitokea kwa mfano idara ina uhitaji wa madereva,ina maana zinaweza kutangazwa tu nafasi za kazi za udereva.

Ngoja nitoe mifano hai, majuma kadhaa nyuma kulitangazwa nafasi kwa ajili ya kuwapata vijana wa kuwapa mafunzo ya upigaji picha ili wazunguke mashuleni nchi nzima kwa ajili ya kupiga picha, lakini tangazo lilionesha ni kazi ya mda mfupi na ukilipwa kwa kila kichwa kiasi fulani tu cha kawaida, lakini kweli ilikuwa ni idara. Je vijana wa ngapi wenye degree unaweza ukawaambia kuwa ukapatiwe mafunzo ya kupiga picha alafu azunguke nchi nzima kwa kila kichwa elfu moja wakakubali? Aliyekubali maana yake yupo tayari kufanya kazi yeyote mahala popote bila kujali kwamba ana elimu gani.

Mfano wa pili kulitangzwa kazi kwa watu wenye Diploma ya IT lakini walikuwa wanaenda kuwa waajiriwa wa idara, imagine usawa huu wa masuala ya IT yaliyovyopamba moto lakini unasikia wanahitajika wa Diploma. Kwangu tafsiri yake kwanza matarajio ni kwamba wengi wao watakuwa ni vijana wadogo, kwa hiyo watakuwa ni watiifu kwani wengi wao hawajaanza maisha,wengi wao watakuwa hawajaingia kwenye masuala ya ndoa, wengi wao watakuwa wana njaa na kiu ya mafanikio lakini pia miili yao inaweza kuhimili mikiki mikiki ya mafunzo kwa urahisi zaidi.

Ni mawazo yangu binafsi, karibuni kwa michango
Ukifanya uchunguzi kwa makini utagundua wengi walioajiriwa ktk idara hii hawapeleka maombi bali walipelekwa na jamaa zao waliokuwa wakifanya katika idara hiyo.Ndio maana utakuta viongozi ktk idara wanafanya kazi na watoto wao au wajoba zao ni jambo la kawaida na hii inatokana na kutotangazwa nafasi na chombo kingine kama utumishi.Je hapo kutakuwa na miiko ya kazi?
 
Akina KAMLETE wameharibu taasisi nyingi za serikali, hazina ufanisi kwa sababu ya ajira hizi za kuwekana sometime unashindwa kumkosoa mtu kwa sababu unaogopa ni mtoto wa fulani.Hatari sana kwa chombo kama cha usalama kutoa ajira kwa kujuana, mimi mwenyewe sijui utaratibu wanao utumia miaka hii.
 
Mkuu, naona tu bado hujafuatilia kwa makini hizi recruitment programmes zao khasa hawa wa nje.

Hawa wa nje hutangaza wazi katika magazeti maalum khasa yale ya bure maana yanasomwa na watu wengi katika mabasi na matreni.

Kwa mfano kuna gazeti moja maarufu la asubuhi nchini Uingereza liitwalo Metro ambalo ni la kila siku, ni lazima kila baada ya muda huwa wanatangaza humo wakitafuta graduates na wataalam wengine wanaweza kusema wanatafuta programmers na kadhalika.

Hivi juzijuzi nilipokuwa huko niliona tangazo la MI5 wanatafuta "surveillance officers" katika mpango maalum wa kupambana na vitalu vya ugaidi vya ndani ya nchi au "home-grown terrorists".

Hata katika gazeti la New York Times niliona tangazo lenye ujumbe kwamba "You Can Save the country, are you ready" na chini kuna namba na anuani ya website ili utembelee.

Ukiwa umeonyesha nia basi unapoingia hiyo website unapelekwa kwenye "virtual reality" yaani ulimwengu wa kufikirika na unaanza kujibu masuali mbalimbali yakiwamo ya kuhusu wewe tangu mdogo.

Ukipita hapo basi utakwenda kuanza safari ya kuwa jasusi kuna mji waitwa Glynco upo Georgia na baada ya hapo kinachoendelea ni siri yako.

Kwa Tanzania bado utaratibu wa kuchagua vijana umebakia kuwa uleule wa asili na nafikiri utaelewa nikisema hivyo.

Ila kuna uwezekano mkubwa kwa Tanzania ikaja na mitindo mbalimbali ya kuwavuta vijana hodari katika masuala ya "intel" na moja ya mitindo hiyo ni "computer gaming" ambapo mkicheza wawili basi unakuwa unacheza na mtafutaji au "recruiter" na mnaanza "process" ya kukulengesha ili siku moja uje uwe mlinzi wa Taifa.

Kwahiyo hivi vitu vipo na vinafanyika sema tu unatakiwa uwe ukisoma gazeti unasoma khasa na huachi ukarasa.

:D:D:D
haujazungumza tofauti na nilichosema mimi
 
Ukifanya uchunguzi kwa makini utagundua wengi walioajiriwa ktk idara hii hawapeleka maombi bali walipelekwa na jamaa zao waliokuwa wakifanya katika idara hiyo.Ndio maana utakuta viongozi ktk idara wanafanya kazi na watoto wao au wajoba zao ni jambo la kawaida na hii inatokana na kutotangazwa nafasi na chombo kingine kama utumishi.Je hapo kutakuwa na miiko ya kazi?
kuna msemo unasema mtoto wa nyoka nyoka. Hata kweyemambo kama michezo, sanaa n.k ni kawaida kukuta familia wanafuata kilichofanywa na aliyewatagulia.
 
Ukiangalia ulichondika umesema hawatangazi "direct" jambo ambalo si kweli kwani wanatangaza waziwazi na nikakuwekea mifano hai.
soma vizuri mkuu, nilisema kuna watu wanasema mbona idara yetu haitangazi wazi kama mashirikia ya nje? nikasema hata sisi wanatangaza ila sio wazi kama wenzetu. soma vizuri mkuu utanielewa
 
Back
Top Bottom