Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

Wawili ninaowafahamu waliajiriwa kwa mgongo wa ndugu zao, process za ajira zilianza wakiwa form six. Ule muda wa kusubiri majibu walipelekwa mafunzoni. Tulishangaa wakiwa chuo wenzetu wamepata flats za msajili mjini.
 
Mwaka 2007 nilipomaliza masomo pale DIT FTC mkuu wa idara alitujulisha baadhi YA wanafunzi kunawatu wamekuja kwake wanaitaji wafanyakazi wa IT. Tulirudi tukapigishwa interview yakawaida maswali mengi yalihusu historia YA familia.... Baada YA Wiki mbili tukapelekwa hospitali kupimwa kunabaadhi walitemeshwa walionekana afya sio mzuri. Walitupa go ahead YA kuajiriwa sehemu nyingine na wakasema kama tutapata safari itakayo tuweka mbali na dar zaidi mwezi tutoe taarifa na walitupiga pini YA kuowa/kuzaa kiolela... (lazima umjulishe mkuu akupe ruhusa kwanza) jamaa walitufuatilia zaidi YA miaka 2 mwaka 2010 ndio tulikula mkataba..... Tuliopita katika michujo tulikuwa 9 lakini walioweza kuvumilia hadi wakapata ajira walikuwa 5... Wengine subra ilikuwa ngumu tulikuwa na hamu YA pesa ya faster faster.... Jamaa zangu wapo kijitonyama kama IT specialist na wengine telecominicationEng... Naungana na mtoa mada kazi za kitengo IWA azipo wazi Sana na hadi ulambe ajira lazima usote Sana na wakati wanakufuatilia inachukua zaidi YA mwaka ndio utagundua ni wazee wa kitendo upo nao. Mara nyingi tulikuwa tunakutana nao Pale pale DIT Mara ofisi za chuo cha utumishi......
Dhuuuuh mwanangu anapenda sana hiyo kazi ila anapenda sana kuongeaongea!
 
Mkuu, naona tu bado hujafuatilia kwa makini hizi recruitment programmes zao khasa hawa wa nje.

Hawa wa nje hutangaza wazi katika magazeti maalum khasa yale ya bure maana yanasomwa na watu wengi katika mabasi na matreni.

Kwa mfano kuna gazeti moja maarufu la asubuhi nchini Uingereza liitwalo Metro ambalo ni la kila siku, ni lazima kila baada ya muda huwa wanatangaza humo wakitafuta graduates na wataalam wengine wanaweza kusema wanatafuta programmers na kadhalika.

Hivi juzijuzi nilipokuwa huko niliona tangazo la MI5 wanatafuta "surveillance officers" katika mpango maalum wa kupambana na vitalu vya ugaidi vya ndani ya nchi au "home-grown terrorists".

Hata katika gazeti la New York Times niliona tangazo lenye ujumbe kwamba "You Can Save the country, are you ready" na chini kuna namba na anuani ya website ili utembelee.

Ukiwa umeonyesha nia basi unapoingia hiyo website unapelekwa kwenye "virtual reality" yaani ulimwengu wa kufikirika na unaanza kujibu masuali mbalimbali yakiwamo ya kuhusu wewe tangu mdogo.

Ukipita hapo basi utakwenda kuanza safari ya kuwa jasusi kuna mji waitwa Glynco upo Georgia na baada ya hapo kinachoendelea ni siri yako.

Kwa Tanzania bado utaratibu wa kuchagua vijana umebakia kuwa uleule wa asili na nafikiri utaelewa nikisema hivyo.

Ila kuna uwezekano mkubwa kwa Tanzania ikaja na mitindo mbalimbali ya kuwavuta vijana hodari katika masuala ya "intel" na moja ya mitindo hiyo ni "computer gaming" ambapo mkicheza wawili basi unakuwa unacheza na mtafutaji au "recruiter" na mnaanza "process" ya kukulengesha ili siku moja uje uwe mlinzi wa Taifa.

Kwahiyo hivi vitu vipo na vinafanyika sema tu unatakiwa uwe ukisoma gazeti unasoma khasa na huachi ukarasa.

:D:D:D
Sawa
 
Mbona sasa hujaeleweka Mkuu?

Kazi hizo zinatangazwa chini ya Wizara gani? Au taasisi ipi? Maana upo too general.

Kwa mfano, hizo kazi za upigaji picha pamoja na wataalamu wa IT ilitangazwa na nani? Yaani muajiri aliyetangaza nafasi hizo alikuwa nani?

Shukrani.
Ninahisi kwenye issue kama hiyo unaweza kukuta wakaform kajikampuni uchwara wakasema ndiyo wanatafuta wapiga picha au wapishi
 
Mbona umechelewa kutuambia mkuu!?

Hapa mate yananitoka kwa uchu....siku nyingine jitahidi utustue mapema baba
 
Niisaidie jamii yangu, jamii ijue hatari zilizo mbele yake, jamii itangulize maslahi ya taifa mbele hasa ya muda mrefu kuliko maslahi binafsi tena ya muda mfupi,
Kesho fika Upanga asubuhi kabisa, saa 05:23AM kisha ulizia 2086/126 CGM. Atakupa maelekezo ya haraka na utafika kwangu.

Hongera kijana
 
Ikitokea ya uspy wa nje kama UK najulishwe soon.
Sio ya Tz nahitaji kuwa undercover wa nchi nyingine.

Daah umeichoka nchi yako hahahah haya unajifunza kuwa Double Agent ?? ukicheka sana watainama na watanuna, pengine utaona mawingu, ukinuna watacheka hihihihihi
 
Back
Top Bottom