Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 49
- 89
Hapo Kwenye AMANI Sawa ...Utulivu ndio ulinzi wenyeweeUsalama ni Hali ya Amani na utulivu ambayo hupatikana katika sehemu yenye ulinzi.
SahihiUsalama hauletwi na ulinzi, usalama unaletwa na haki.
Ukiona kuna ulinzi, maana yake hakuna usalama.