Usalama na mkeo

Mbona unatuchanganya. Usalama upi mbona mnaoa mwanamke aliyekwisha zaa na ana watoto. Huwa mnajiuliza huyo aliyezaa naye amemkamulia mara ngapi, na bado mnaoa. Hapo si unakuwa umeshajua wanaume zako waliokutangulia

kwenye red hapo,hayo sio maneno yangu mazee ni ya Balozi Liundi,a retired diplomat,mtu mzima umri wa baba yangu.
 
si utakufa kwa vidonda vya tumbo? Kama sio presha?

of course kwenye ndoa presha kibao,hapo juu kuna thread inarindima ya Russian Roulette na nyumba ndogo,kuna mtu kasimulia kisa cha mwanamke aliyedondoka akafa baada ya mumewe kukiri amelamba nje,usome huo uzi very interesting ,una mipasho ya hatari,Aspirin vs kinamama wote wa mmu,kawakaba kweli kweli!
 
acha niende nikapepese macho huko. .
 
Haya mambo ni magumu, kila mtu na namna anavyojisikia kuoa, wapo waliooa wanawake ambao wamewakuta kwenye madanguro makubwa, hawa kuna suala la kuulizana, umekutana na wanaume wangapi? au poda kapakaje, au akifika ndani umhesabie finyango za nyama, si mapenzi motomto kwenda mbele...Mi haya uliyoyatoa mzee banana nadhani yamepitwa na wakati kinachoangaliwa sasa ni aina ya service's tu mtu anafika bei ya jumla huko ndani kitaeleweka tu, kama kumbadilishia namba ya simu na kumweka ndani tu inatosha.
 
Bado hujaja na suluhisho........................haiwezekani jambo hili lisiwezekane kama wote tunaaamini kuna Mungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom