mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
umeitoa kule kwa ndugu zako jambonews?
umeitoa kule kwa ndugu zako jambonews?
Interahamwe acha kelele zisizo na mshiko, tembea uone! unabahati kazi zimetubana ndio maana unakuja na hoja zisizo na kichwa wala miguu sasa hivi hapa nipo Hyderabad-India kishughuli jana nilikuwa counter mhudumu akaniambia hotel yote tuko watu 22 wakati inauwezo wa kulaza watu 268 nikashangaa lakini akaniambia nisishangae kwani kunasiku nnaweza nikapataka nikapakosa kutokana na vyumba kujaa na akaniambia mambo ya mahoteli ndivyo yalivyo sasa wewe kelele za nini? hawa jamaa wamendelea sana lakini umaskini pia upo wakutisha! tofauti na kwetu kwani serikali yetu intaka tuutokemo kwa pamoja! tembea uone sio ilimradi uzoze tu! hizo complex za kariakoo kama zimekosa wateja ipo siku zitawapata tu! kipindi Mandela(RIP) alipokaribia kufunguliwa waholanzi machale yaliwacheza wakafikiri akishatoka atawafukuza makaburu wote, waholanzi wakaamuwa kujenga majumba ya kuwakaribisha baada ya kutimuliwa inasemekena wananchi karibu wote walipinga huo mradi eti ni kuharibu pesa za walipa kodi lakini viongozi walijenga kinguvu wananchi wakazimishwa kelele zao bahati nzuri Mandela smart! hakuwafukuza, hakuwa mbaguzi kama wao au wewe! lakini yale majumba yalijengwa kwa sababu hiyo tu pale Bijmer Arena karibu nauwanja wa Ajax, leo yanawasaidia wale waliokuwa wakichonga bila mpango vilevile yanapendezesha mji sana nakumbuka nilipotembelea ule mji nilivutiwa sana! siasa zako za kichawi zishajaribiwa kwingineko, madhara yake yanajulikana we endelea kuloga hao waswahili waliokupokea ila usije ukafikiri utavuka nazo pale Rusumo!Ni vigumu kuweka siasa pembeni kwani ndio msingi wa kila kitu. Madikteta kama Kagame hawawezi kujenga uchumi kwa sababu yeye peke yake ndio anaamua nini maana ya maendeleo.
Kwa mfano Kagame anapukutisha "nssf" ya huku kwa kuamuru iwekeze kwenye miradi yake ya ajabu ajabu kama mahoteli ambayo hayana wateja, barabara zisizohitajika n.k, Na kwavile amebana uhuru wa kuongea, wageni wanadanganyika kwa kudhani ni maendeleo kumbe ni ubashite tu. Soma hapa jinsi hoteli ya vyumba karibu 300 inapata wateja 16 (link: Kagame’s Kigali Convention Centre Is Dying – Daily Occupancy Of Radisson Hotel As Low As 16 Guests In 292 Room Hotel)
Mfano hapa kwetu chukulia kama tusingekuwa na uhuru wa kuongea kuhusu majengo ya machinga complex pale kariakoo. Yalivyo mazuri mgeni akija atadhani ni maendeleo kumbe hamna wapangaji mle! Sasa Rwanda miradi tata kama hii ndio imejaa Kagame anauzia sura.
Fikiria Kenya airways iko hoi, Uganda shirika lao liko hoi, ATCL ndio hivyo tena, lakini Rwanda Air inaonekana poa tu, ukiwa hauko makini utaisifia Rwanda kuwa mbona inaweza kuendesha shirika la ndege lakini EAC nzima haiwezi! Lakini kumbe Rwanda Air ingawa ni shirika la serikali halichapishi mahesabu yake kokote kule sio bungeni wala wapi, isipokuwa kwa kagame mwenyewe personally! Hata chizi anajua jamaa anakata bajeti za kwingine anarusha ndege ili ajisifu Rwanda ina ndege. Na sisi tunaelekea huko huko tumenunua ndege kwa cash za mabilioni lakini chanjo za wajawazito ni ishu. Maendeleo ni mjadala mpana sana mkuu.
Ahahaha bora umemfungua Akili mswahili mana Pelele pelele kibao lakib nchi yao Takataka tupu kila kitu Siasa Bora rwanda wamepiga hatua majiran Burund bado wanazozana tu hyo Kongo nayo watu wanakomaa kubadil katiba maendleo hakuna Bora Kagame atleast kaijenga nchi yake.[HASHTAG]#Kagamefor2017[/HASHTAG].Interahamwe acha kelele zisizo na mshiko, tembea uone! unabahati kazi zimetubana ndio maana unakuja na hoja zisizo na kichwa wala miguu sasa hivi hapa nipo Hyderabad-India kishughuli jana nilikuwa counter mhudumu akaniambia hotel yote tuko watu 22 wakati inauwezo wa kulaza we endelea kuloga hao waswahili waliokupokea ila usije ukafikiri utavuka nazo pale Rusumo!
je over stayers wakichina mnaizidi nini nchi yao? mbona wamejazana huko na hawataki kurudi kwao? nyie endeleeni kusinzia na kujifungia tu, tutakuja tuwasaidie kujenga nchi
...stay turned?...
stay turned .
Tatizo ni kwamba hayo maendeleo ya vitu KAMA hayaendani na maendeleo ya watu, inakuwa kama spring iliyovutwa sana. Siku ile kani iliyovuta ikiachia, basi spring inarudi pale ilipokuwa mwanzo na ikiwezekana itahitaji rebound kufika pale maana initially itapitiliza chini zaidi ya pale ilipokuwa mwanzo, na katika mchakato huo, kuna vitu vitaharibika. Kwa maana hiyo, kama kuna watu wameminywa, ni suala la muda tu maana ipo siku watapata upenyo na uharibifu utakaotokea utafuta maendeleo yote yaliyokwishapatikana. Kumbuka kwamba ni watu ndio hujenga nchi, na watu hao hao wakiamua kuiharibu nchi, hakika itaharibika.Inategemea mkuu, ukiiangalia kisiasa zaidi unaweza kuwa na mtazamo tofauti kama utaiangalia ukiwa hufungamani na mlengo wa kushoto au kulia..! Hivyo kama jMali ni mpinzani au mwanasiasa anaweza kuwa na upendeleo upande mmoja lakini kwa mimi nilie huru, naiona hali halisi.
All the time jMali na akina Mchambawima wanakuwa on opposing sides kisiasa. kwa nini unaona jMali ndiye yuko on the wrong na si hao wengine? Au na wewe una upande wako tayari?Hahahahaha, was kidding but nina historia nae huyo jMali katika moja ya posts zinazohusu Rwanda, so nakumbuka sana comments zake
Hao wamarekani wamepata wapi kisingizio cha kwenda huko kama si kwa kuwa kuna wengine wameshatangulia kuchota huko nao wakaona wasipitwe?Mbona humsemi America kajaza wanajesh wa Monusco unajua kaz yao au unadhan wanawapaka poda madada wa kikongo au ndio ubongo ako una giza JK alipeleka JWTZ east DRC unajua kaz yao au ndio Na wewe ile coca cola nanhii.
Ukiwa Mnyarwanda asiye huru ndio utajua nini Mtanzania anakuzidi. Kwa hivi ilivyo huwezi kujua. Nina hakika hata hao wanaopata wasaa wa kusema hapa ni kwamba wapo huru japo wako huko kama vile ambavyo hata huku kwetu kuna wenye immunity agaist nguvu ya dola/sheria hata kama wamefanya makosa ambayo ni punishable...Hivi Tanzania na Mali zetu zote na Uhuru tulionao tunawashinda nn wanyarwanda
most people are very skeptical about hizi story za maendeleo ya rwanda kwa sababu its one sided story....... they only way utajua your doing good ni kuacha watu wakukosoe na wapoint out pumba na mchele kama ww ndo una power na unalazimisha kila mtu ale ubwabwa bila kuchambuliwa na unawalazimisha waseme hauna chuya watatiii tu ....... it might be true but kinachomfanya aogope the other side of the story to be heard ni nn?
Wasalimie Kanombe na alpha palace hotelHakika inatia moyo wenzetu wanacho cha kujivunia katika maendeleo ya nchi yao.
Uko maeneo gani mkuu?.Niko mitaa ya Remera hapo maeneo ya Hilltop hotel jirani na uwanja wa ndege Kigali.
Lingine la kufurahisha ni ule msitu wa NYUNGWE jinsi unavyolindwa katika nyanja zote za usalama na usafi wa mazingira.
Ana makengeza huyojMali anasema yupo kigali subiri akupe data.
Ana makengezaKwani yeye haioni hiyo hali halisi?
Hapo kwenu shamba la bibi mmekosoa mmepata nini ndan ya miaka 50 zaidi ya kuuza gahawa
Inaelekea gahawa yetu tamu sana aisee...