Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

Sawa mkuu
Hakuna uhuru wa habari wa kisiasa. Nimekuwa huko mara kwa mara. Sina upendeleo, pamoja na kuwa hakuna uhuru huo ila nimevutiwa sana na hatua ya maendeleo waliyofikia. Zamani nilikuwa negative sana wa Kagame lakini baada ya kufika na kuona Rwanda nilitamani hata niandike article ya kumsifia hasa katika hatua kubwa ya maendeleo na usalama. Ila hakuna democracy kabisa. Sasa ni suala la kufanya maamuzi je utaka democracy au maendeleo? ingawa vyote vyatakiwa viende sambamba lakini somo hilo kwa Kagame halieleweki bado anatumia sana fimbo ya mauaji ya kimbali kuwachapia watu kwa kukandamiza uhuru wa habari na siasa. Bahati nzuri marafiki zangu wote nilipokuwa kule ni Watusi, walisema kweli kuwa maendeleo tunayo lakini kaka uhuru hatuna kabisa. Kwa mawazo yangu mimi binafsi ni kuwa Kagame alikuwa na haki ya kuminya uhuru huo wakati ule alipoichukua nchi kutoka kwenye yale mauaji ya Kimbali kwakuwa hali ya nchi ilikuwa tete sana hasa kiusalama na maadui walikuwa weingi sana wakati ule, ila baada ya miaka zaidi ya 20 sasa sijaona haja ya kuendelea kubana uhuru huo kwakuwa tishio lililokuwepo wakati ule halipo sasa tena. Watusi watakwambia hatuwezi kurudi nyuma tena lakini niamini nakuambia ukiongea na Wahutu utakuja kujua kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudi walikotoka baada ya Kagame au kuacha madaraka au kufa kwakuwa yeye ndiye pekee anayeogopwa kwa sasa. Kumbuka pia kuwa maadau wakubwa wa Kagame sasa ni Watusi wenyewe na angalia tu trend ya mauaji aliyowafanyia Watusi wenzake walio nje ya nchi.
 
Hakuna uhuru wa habari wa kisiasa. Nimekuwa huko mara kwa mara. Sina upendeleo, pamoja na kuwa hakuna uhuru huo ila nimevutiwa sana na hatua ya maendeleo waliyofikia. Zamani nilikuwa negative sana wa Kagame lakini baada ya kufika na kuona Rwanda nilitamani hata niandike article ya kumsifia hasa katika hatua kubwa ya maendeleo na usalama. Ila hakuna democracy kabisa. Sasa ni suala la kufanya maamuzi je utaka democracy au maendeleo? ingawa vyote vyatakiwa viende sambamba lakini somo hilo kwa Kagame halieleweki bado anatumia sana fimbo ya mauaji ya kimbali kuwachapia watu kwa kukandamiza uhuru wa habari na siasa. Bahati nzuri marafiki zangu wote nilipokuwa kule ni Watusi, walisema kweli kuwa maendeleo tunayo lakini kaka uhuru hatuna kabisa. Kwa mawazo yangu mimi binafsi ni kuwa Kagame alikuwa na haki ya kuminya uhuru huo wakati ule alipoichukua nchi kutoka kwenye yale mauaji ya Kimbali kwakuwa hali ya nchi ilikuwa tete sana hasa kiusalama na maadui walikuwa weingi sana wakati ule, ila baada ya miaka .

Hapa kwenye domokrasia tuna maisha gani hapa kwenye uhuru wa habari tuna kipi kipya au kumtaka vyeti bashiiii
Wako wapi libya walitaka uhuru huo wa kimaghalibi ambao wanasema domokrasia.me naamini africa tulikua bado n mambo ya demokrasia tho n miaka 50 imepita lakin naona bado tunaangaika kinachotakiwa kwa waafrica n kuwapatia Elimu wajitambue basi ndio yaje hayo ya democrasia.HAYO MAMBO YA UHUTU AU UTUTSI ASHAYAMALIZA KAGAME nchi inasonga Tz wacha tuendlee kuangaika na bandari
 
Maendeleo ya inchi zote East Africa, wamepora congo. kasoro kenye, iyo Rwanda ndio usisemi… wameiiiba hadi Leo bado wanachukua tu. So Mimi sioni maendeleo hapo naona wizi ndioukiendelea, na mauaji juuyake.
 
Tz magu kawabana kidogo wanalia lia kichiz wanadhan maendleo ynakuja kwa kcheka na nyani namibia angola au south africa hawakucheka na watu ndio maana wapo pale walipo.Sasa Magu anataka kuwanyoosha kelele kibao na atawanyoosha haswa waswahili wapuuzi sana.
Hahahaha wacha awanyooshe tu
 
Pamoja na kuisifia Rwanda na Kagame wanyarwanda wamejazana Tanzania ukiwambia warudi kwao wanataka hata kulia
Pamoja na rasilimali tulizonazo, watanzania wamejazana nchi zinazotuzunguka huku shughuli zao zikiwa ni za kuungaunga
 
Maendeleo ya inchi zote East Africa, wamepora congo. kasoro kenye, iyo Rwanda ndio usisemi… wameiiiba hadi Leo bado wanachukua tu. So Mimi sioni maendeleo hapo naona wizi ndioukiendelea, na mauaji juuyake.

Na marekani anaiba huko middle east Congo zambia Ghana botswana south africa chile ndio maana anaendlea na maisha yanasonga Muingereza kaiba africa hii mpka basi au wizi wa kizungu waafrica wanaona alieiba ni Mungu ila akiiba mwafrica mwenzake n Povu la adblue..!! Akili hizi zetu ni zina oil chafu.na wengi wao wanaopga kelele hum weng hawaijui historia ya Kongo burundi rwanda toka mobutu kachukua nchi ndio maana wanabwabwaja na weng wao miaka kama ya 1996-97 vita ya kwanza ya congo walikua hawajua maana Tz ilkuepo Redio Tanzania tu.na hawajui silaha zinazozagaa Kongo mashariki sasa hivi zilishukia pale kurasini Bandari geti namba 5 zikapita mandela road(sasa)-morogoro road....
 
Rwanda ujafika sisis tumetembea kwa gari nchi nzima kwa wamejitahid hakuna nyumba za nyasi ushaidi upo ukitaka social service ziko poa kichizi kuliko nchi ya asal na maziwa ambayo ina kila rasilimali ambayo inaweza kuifanya nchi iwe kama sweden lakin hii leo panadol mziki kupata.
Wewe ndo unaijua vizuri Rwanda, kuna watu wanasifia ujinga hapa eti uzalendo... my foot
 
Pamoja na rasilimali tulizonazo, watanzania wamejazana nchi zinazotuzunguka huku shughuli zao zikiwa ni za kuungaunga

Na wabongo wengi wako nchi jirani kama durban hiv unakuta ana kijimeza kama ubungo anauza pipi fegi na biskuti ukimwambia arud kwao mbande na kuna amani anakua mkali.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hapa kwenye domokrasia tuna maisha gani hapa kwenye uhuru wa habari tuna kipi kipya au kumtaka vyeti bashiiii
Wako wapi libya walitaka uhuru huo wa kimaghalibi ambao wanasema domokrasia.me naamini africa tulikua bado n mambo ya demokrasia tho n miaka 50 imepita lakin naona bado tunaangaika kinachotakiwa kwa waafrica n kuwapatia Elimu wajitambue basi ndio yaje hayo ya democrasia.HAYO MAMBO YA UHUTU AU UTUTSI ASHAYAMALIZA KAGAME nchi inasonga Tz wacha tuendlee kuangaika na bandari

Nakubaliana na wewe, kutokana na mazingira ya Afrika jinsi yalivyo ni ngumu sana kutekeleza maendelea sambasamba na demokrasia. Na si Afrika tu hata Ulaya na Marekani wakati wanafanya mapinduzi ya viwanda karne ya 18 hakukuwa na demokrasia yeyote, walichukua wazee wetu wakawa watumwa wa kuwazalishia na ndiko yalikotokea maneno Ubwanyeye, Ukabaila, ukupe, Ubeberu ni kwasababu ya unyonyaji tu. Kwa hiyo sisi TZ inabidi tuchague, wakti JPM anapiga mziga ninyi mnasupoti maandamano ya kila siku na akizua tufanye kazi mnapiga kelele. Ila amini usiamini kwa nje suala la ukabila limeisha lakini kwa ndani bado sana, haiwezekani hata siku moja asilimia 10 ya watu wakatawala 90% bila upinzani wowote haiingii akilini. Angalia matajiri wengi na wengi walio privileged in Rwanda ni watu wa aina gani kisha utapata jibu.
 
Na wabongo wengi wako nchi jirani kama durban hiv unakuta ana kijimeza kama ubungo anauza pipi fegi na biskuti ukimwambia arud kwao mbande na kuna amani anakua mkali.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukweli mwingine ukiusema kuna vilaza wanakushambulia[emoji1] [emoji1]
 
Asante mkuu Konda wa bodaboda kwa kunialika.
ndugu Charles Mkubya,

Kuhusu Rwanda mimi siko "negative" wala "positive" huwa niko objective. Na ndio maana wewe mwenyewe umenisifia kuwa huwa nakuja na data. Mtu anayeongea na data (jumlisha na experience ya kukaa huku na kufanya kazi kwa miaka kadhaa) hawezi kuwa biased hata siku moja. Tofautisha na mtu aliyepita pita kigali kama mtalii.
Kwa bahati mbaya na Tanzania huyu nanihii kaanza kuiga system ya uongozi wa Rwanda. Kwa hiyo siku hizi wala sina maneno mengi sana ya kumuelezea mtu kama wewe juu ya the lie which is Rwanda kwa kuwa hayo "maendeleo" unayoyatamani huyu wa kwetu atatuletea kabla ya 2020!
Kwa mfano serikali inasema HAKUNA NJAA, mapolisi wakadakia kuwa atayesema kuna njaa atatiwa ndani! watu wakiwa objective kwa kutumia data za chakula kuonyesha kuna njaa watapewa kesi za uchochezi! Ndio maana watu pekee mnaotumia real IDs ni watu wenye habari "positive" tu kama wewe ambao njaa mtaita "upungufu wa chakula". Sasa tuje kwenye reality ambayo mtu yoyote anayeishi bongo anajua je tuna njaa hatuna njaa? Zingatia kuwa sheria ya Takwimu hairuhusu takwimu zingine zisizo official kwa hiyo officially HAKUNA. Njoo kwenye chanjo basic kabisa za wajawazito mahospitalini, nenda kwenye mikopo ya elimu, rudi kwenye bajeti ya maendeleo n.k vitu vyote hivyo, ukweli halisi on the ground unapishana na maelezo "positive" ya serikali. Ukishabana uhuru wa media, uhuru wa expression/free speech, utapata "maendeleo" tu lakini ni maendeleo hewa!
sasa huu "uchwara" ambao sisi ndio tunaletewa sasa hivi huko Rwanda Kagame kawaletea toka 1994, kwa hiyo wenzetu hawa ni experts kwenye huu ubashite! Ndio maana kila siku nauliza swali lisilo na majibu kutoka kwa watu kama wewe, kuwa wanyarwanda wanakimbiaga nini huko? Same thing in Ethiopia, ukienda huko utakutana na "maendeleo" makubwa sana ambayo hata rais wetu atatuletea, shirika la ndege ethiopian airlines, mabarabara ya juu na chini, usalama, usafi n.k, lakini haipiti wiki unasikia wamekamatwa waethiopia bongo wanakimbilia sauzi. Why?
Ni kweli kigali ni safi, but ni safi kwa sababu wanataka usafi au ni safi kwa sababu ya show off? Usafi wa kupiga marufuku watu wasiopendeza wasikanyage mjini ndio usafi unaoutaka? Kuna barabara moja jina limenitoka ilipigwa lami watu (commoners) wakawa wanaogopa wanapita pembeni. Ni kwa sababu moyoni mwao wanajua hivi vitu ni kwa ajili ya international community kama sisi na sio wao.
Uhalifu kigali upo tena ule wa kishamba ambao sisi tulishavuka siku nyingi, ule wa kuvamia nyumba kuja kuiba makochi na redio! Of course mimi na wewe most likely tunakaa neighborhood nzuri utasema hakuna crime kabisa! Hata bongo ukifikia masaki hutasikia panya road!
Pita huku kwa hayo:
Hao wanajeshi wanaomwaga kigali kuanzia jioni ni kwa ajili ya kulinda Kagame asipinduliwe na sio kwa ajili ya wanyarwanda. Kama wewe unaona kuna amani katika nchi ambayo kila siku wanajeshi wako mtaani na masilaha mazito basi sawa.
My friend kiufupi sisi wageni ndio tunaopiga hela hapa Rwanda na kuona maisha ya Rwanda ni mazuri (lakini expensive), wenyewe wanapata shida lakini hawana pa kusemea. Ni mtazamo tu lakini.
 
jMali asante kwa maelezo yako mkuu. Kwa upande wangu, picha nilokuwa nimeijenga kabla sijaja hapa na hali halisi niloikuta ni tofauti. Tukiachilia mbali mambo ya siasa, je Rwanda ya miaka 10 ilopita ni sawa na ya sasa kimaendeleo?!
 
Swali lako ni jepesi sana hivyo jibu lake litapotosha kama sitalijibu kwa pamoja na maswali kama haya:
1. Somalia ya miaka 10 iliyopita ni sawa na ya sasa kimaendeleo?
2. Zimbabwe ya miaka 10 iliyopita ni sawa na ya sasa kimaendeleo?
3. North Korea ya miaka 10 iliyopita ni sawa na ya sasa kimaendeleo?
4. Central africa ya miaka 10 iliyopita ni sawa na ya sasa kimaendeleo?

Jibu rahisi kwa maswali yote hayo ni hapana, Rwanda ya sasa ina maendeleo kuliko Rwanda ya miaka 10 iliyopita. Kama ambavyo hata Somalia ina maendeleo ya barabara, real estate, n.k kuliko miaka 10 iliyopita.
Ukisikia nchi ni dictatorship haimaanishi necessarily nchi ni magofu. Hata ukienda Bujumbura utakuta maisha yanaendelea vizuri tu, Zimbabwe ndio kabisa utakuta watu wana magari kama ya kina Manji kama kawaida tu, haimaanishi Nkurunziza na Mugabe ni viongozi wa kuigwa!
 
Vizuri sana jMali. Kama nilivyosema awali, tuweke mambo ya siasa pembeni, tulitazame hili ktk mtazamo huru.....je kuna effort zozote unaziona kwa Rais Kagame katika kujenga uchumi wa Rwanda?! Na je, kama zipo, unaziunga mkono?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
"To be Frank SOUTH AFRICA is a very beautiful Country but this is the Only Country where i am so scared to be a BLACK MAN , I am very proud of my beautiful brown skin that Almighty God gave me but everytime i land here in South Africa from my regular Global trips my Heart starts to beat fast, Fortunately I put my Trust in Almighty GOD that i have lived here 15 years & never been Physically Abused although some Xenophobia images have Traumatised me for a long time .The main part that scares me is that it all started with Slavery then Apartheid then Racism then Tribalism & NOW Xenophobia ; Black man Killing another Black man from Another Mother".[HASHTAG]#StopXenophobia[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom