Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

Kona bar sinza mori Mwananyamala temeke sudan kuna masista wa kikatoliki.???? Tuliza mpapa we dada
We bashite huko kwenu kuna madada wa kibongo? Madada wenu wanafuata nini huku kama huko kwenu mambo safi? Hamna hela hata za kununulia papuchi? Mnatia aibu bwana! Halafu matusi ya kijinga uache maana nitajikuta namtukana hata mke wangu (dada yenu).
 
Hapa kwenu shamba la bibi wasomali wanatafuta nin na kule port elizabeth waswahil wanatafuta nin tatzo ulibemendwa na kuzaliwa njiti ndo mana una ubongo kama rangi ya Lami
 
Hapa kwenu shamba la bibi wasomali wanatafuta nin na kule port elizabeth waswahil wanatafuta nin tatzo ulibemendwa na kuzaliwa njiti ndo mana una ubongo kama rangi ya Lami
Hakuna mtu anatoka nchi mambo safi anakwenda kuzamia nchi ya hovyo. Ushaona mhamiaji haramu anatoka US au UK? Rwanda kiujumla wake ni hovyo tu, bora hata Burundi. Ukubali ukatae. Kigali sisi ma expatriates ndio tunakula bata sio nyinyi mabashite asante kagame. Unaiponda Tanzania lakini nyie ndio mko kwetu, mnaimba "kwetu pazuri" lakini kutwa kuhamia kwa wenzenu?
 
Kwenu shambani hapo wanakula kwa sabab mafala wengi sana mmejaa mashoga wasenge kunguni na mbwa wa kutosha kama wewe [HASHTAG]#Kagamefor2017[/HASHTAG] utakunywa sumu mwaka huu we tulia wapake dada zako rangi za kucha. Wabongo kibao zambia botswana south africa njaa kali lakin wanyarwanda kibao ulaya america.tulia we dada uko bleed au niaje.....!!!vaa pedi
 
umekazana kwetu shamba lakini mbona mpo? Kama kwetu shamba huko kwenu mnakokimbia tukuiteje? Kwa vile umeanza matusi naomba niishie hapo, huna hoja wewe bashite.
 
umekazana kwetu shamba lakini mbona mpo? Kama kwetu shamba huko kwenu mnakokimbia tukuiteje? Kwa vile umeanza matusi naomba niishie hapo, huna hoja wewe bashite.

Maskini mwili mzima wewe [HASHTAG]#kagamefor2017[/HASHTAG]
 
nchi ya MTU binafsi, mwambie awaachie huru hao aliowaweka gerezani, anajificha kwenye kivuli cha maendeleo ili maovu yake yasionekane, Rwanda baada ya kagame itarudi nyuma zaidi hata ilivyo kua mwanzo.

Wewe
cf33c3415c55cbbd42fe9f9313807371.jpg
hivi unaitambua nchi ya rwanda
Je unaijua kimironko?
Kichukiro?
Nyabugogo?
Nyamirambo?

Au mikoa ya rwanda kama gitarama,musanzye,mirambi,Ruuhengeri nk,

au unaongea kinyumbu nyumbu tu?
Mleta mada kaenda kule kajionea na kuridhika sasa wewe unaleta porojo kitetea laptop 2020 campaigns zenu hizi.
Kisa magu alienda kule?
Ebu tafuta nauliwtembelea rwanda halafu urudi hapa useme na wewe.

Sio wewe kuweka matako chini na kucoment vitu hata usivyovujua?

Katika mazingira aliyochukulia uongozi kagame,wewe ulitarajia acheke cheke tu na kuhubiri siasa badala ya kufanya kazi?

Ndio kagame ana mabaya yake kama binadamu lakini kuhusu maendeleo ya nchi ile sio wa kubezwa na hilo tuwaachie wanyarwanda wenyewe?

Sisi wacha tuendeleze ibada za monduli tu hapa
 
umekazana kwetu shamba lakini mbona mpo? Kama kwetu shamba huko kwenu mnakokimbia tukuiteje? Kwa vile umeanza matusi naomba niishie hapo, huna hoja wewe bashite.
Naona umepata saizi yako...let me get some popcorn
 
Kwanza nianze na kusema kwamba, katika Marais naowaheshimu na kutamani kuwaona wakifanikiwa, basi huyu ni mojawapo.
Niko Kigali kwa muda, mambo niliyoyaona kwa muda mchache niliokaa hapa yanatosha kuelezea aina ya uongozi katika nchi hii.
Jambo kubwa ambalo nimelipenda sana ni usalama katika mji huu..sina hakika na kwingineko lakini kwa hapa Kigali, maafisa wa polisi na jeshi wako active 24 hours na hakuna wizi, uporaji au uhalifu kwa ujumla. Kwa ufupi ni sehemu ambayo waweza kuishi bila wasiwasi kuhusu usalama wako kama raia au mgeni.

Kiuchumi, ni nchi inayokua kwa haraka japo siwezi kuelezea kiundani sababu sina utafiti lakini ukiangalia tu projects, barabara, na services zingine zinatosha kukupa picha ya Rwanda kwa miaka ijayo.

Hivyo, binafsi na kwa niaba ya watu wanaoipenda Rwanda, niseme tunaona kazi kubwa mnayoifanya Wanyarwanda katika kuijenga nchi yenu chini ya Rais Kagame, na matunda yanaonekana, hivyo tunawatia moyo kwa umoja na uchapa kazi mlionao, na mwisho nimpongeze Rais wenu kwa kazi nzuri anayofanya..japo mimi sio mwanasiasa, lakini kuna vitu vingi nimejifunza toka kwake.

Haya sawa
 
Daaa mkuu huo msitu wa nyungwe huo ndipo walipo kuwa wanachoma Moto miili ya wahutu, "in praise of blood"
Hakika inatia moyo wenzetu wanacho cha kujivunia katika maendeleo ya nchi yao.
Uko maeneo gani mkuu?.Niko mitaa ya Remera hapo maeneo ya Hilltop hotel jirani na uwanja wa ndege Kigali.
Lingine la kufurahisha ni ule msitu wa NYUNGWE jinsi unavyolindwa katika nyanja zote za usalama na usafi wa mazingira.
 
Back
Top Bottom