Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

Nilifika Rwanda siku kadhaa zilizopita.. Rwanda vitu ni pricey..yaani expensive bila hata sababu kila kitu bei yake ni ghali tu.

Wanahusudu saana mchele wa Tanzania.

Wana kiswahili kibovu saana, akitaka kusema ninunulie embe..yeye atasema "niuzie embe" akimaanisha anaomba kununuliwa embe.

Mapishi yao ni ovyo..hawajui mapishi ukienda mgahawani ukaagiza ugali na nyama usishangae kuletewa ugali na kongoro..loh!

Rwanda ni kawaida ukiwa unabugia primus mtu a naweza kuja akatia stori mbili tatu za kuzugia then akachukua chupa yako na kubugia funda kadhaa za pombe yako na kuaga na kuondoka afu peace tu.

Nilikaa Rwanda kuna mengi niliona
 
maendeleo ya nchi sio Kigali,
tuna Pima mammbo mengi

Elimu
Afya
miundo mbinu
Siasa na demokrasia
Huduma za jamii

Rwanda imejijenga Kigali, huko mikoani mambo siyo sivyo.
Hahahaha mikoa ya rwanda ina ukubwa gani maana nchi yenyewe ni ndogo kuliko mkoa wa Dar.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Rwanda poa sana sisi wavuka rusumo raha sana boda unavuka siku hyo hyo hakuna uswahili sijui mara document za mzigo Imefanyaje sijui nin nin kama boda zingine za majirani kwa East and central africa Lile boda upande wa rwanda ndio border wako smart sana pia unafika kigali poa sana na spidi ya yako ya 40Km/H kwa lori. jion wanajeshi waliojihami wanakaa mtaana na kwenye barabara kubwa wakilinda nchi yao na wengi ni vijana miaka 19-24 huku gari za doria kibao bonge1 la nchi ila wadanganyika watasema aha Kagame sijui nini
kagame Forever kagame for 2017.

Pamoja na kuisifia Rwanda na Kagame wanyarwanda wamejazana Tanzania ukiwambia warudi kwao wanataka hata kulia
 
Pamoja na kuisifia Rwanda na Kagame wanyarwanda wamejazana Tanzania ukiwambia warudi kwao wanataka hata kulia

Pamoja na vurugu zote zile south africa waswahil ukiwaambia kurudi kwao magomen wanakua wakali kweli sijui kwanin wanaweza hata kukucharanga nyama na wengine waswahil pa1 na vurugu loote lile congo wakal kweli ukiwambia warud kwao simiyu na Misigiri hapa sijui niaje au wale wa juz mozambique pa1 na kucharangwa mapanga walkua wabish sana kurud shamba la bibi nchi ya asali na maziwa.nakutajia hzo nchi nimeenda kwa gari chimbo zote nazijua baba n hayo tu.
 
maendeleo ya nchi sio Kigali,
tuna Pima mammbo mengi

Elimu
Afya
miundo mbinu
Siasa na demokrasia
Huduma za jamii

Rwanda imejijenga Kigali, huko mikoani mambo siyo sivyo.

Rwanda ujafika sisis tumetembea kwa gari nchi nzima kwa wamejitahid hakuna nyumba za nyasi ushaidi upo ukitaka social service ziko poa kichizi kuliko nchi ya asal na maziwa ambayo ina kila rasilimali ambayo inaweza kuifanya nchi iwe kama sweden lakin hii leo panadol mziki kupata.
 
Nilifika Rwanda siku kadhaa zilizopita.. Rwanda vitu ni pricey..yaani expensive bila hata sababu kila kitu bei yake ni ghali tu.

Wanahusudu saana mchele wa Tanzania.

Wana kiswahili kibovu saana, akitaka kusema ninunulie embe..yeye atasema "niuzie embe" akimaanisha anaomba kununuliwa embe.

Mapishi yao ni ovyo..hawajui mapishi ukienda mgahawani ukaagiza ugali na nyama usishangae kuletewa ugali na kongoro..loh!

Rwanda ni kawaida ukiwa unabugia primus mtu a naweza kuja akatia stori mbili tatu za kuzugia then akachukua chupa yako na kubugia funda kadhaa za pombe yako na kuaga na kuondoka afu peace tu.

Nilikaa Rwanda kuna mengi niliona

Wewe ulikua kongo acha uongo wakongo hasa Eastern ndo wako hivo we ulkua rubavu kule au goma au beni ulkua unataka kujiuzishia madini kwa wakongo
 
Sisi hatutaki kusikia kama kawafunga watu laaa je wananchi waliowengi wapo free
 
Kingine wanyarwanda wapo free na rais wao ndio maana hizo chuki ukiwa nje ya Rwanda ndio unazipata ila ukiwa ndani hupatii ng'oooo
 
Hivi Tanzania na Mali zetu zote na Uhuru tulionao tunawashinda nn wanyarwanda
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe ulikua kongo acha uongo wakongo hasa Eastern ndo wako hivo we ulkua rubavu kule au goma au beni ulkua unataka kujiuzishia madini kwa wakongo
Hata kiswahili chako kinadhihirisha wewe ni mkongo au mnyarwanda maana umekuja na Yale Yale ya "kuuzishia" ukimaanisha kununulia eti kujiuzishia madini kwa wacongo maana yako ulikuwa unamaanisha kununua madini.

Trust me nimekaa Kigali pale kanombe, kimironko e.t.c

Nawapenda saana wacongo na wanyarwanda..ndabakunda cynae.
 
Huyu mshenzi ni mtutsi ila anajifanya mtanzania. Pambaff.
 
Hata kiswahili chako kinadhihirisha wewe ni mkongo au mnyarwanda maana umekuja na Yale Yale ya "kuuzishia" ukimaanisha kununulia eti kujiuzishia madini kwa wacongo maana yako ulikuwa unamaanisha kununua madini.

Trust me nimekaa Kigali pale kanombe, kimironko e.t.c

Nawapenda saana wacongo na wanyarwanda..ndabakunda cynae.

Na nilijua lazma kichwa chako chenye ubongo wa kuku wa pale singida lazma ungeishia kusema me sio mswahili na ndio shida watu wenye ubongo umejaa oil ya diff kuja na hoja chakavu me n msafirishaji nimepita kote huko ulikopita ntaongea kiwemba au kinyanja utasema me mzambia we mtoto wa bibi ntaongea kireno utasma natokea angola lakin kwa sabb si wasaka pesa tukifika sehem hua tunajifunza pitia post zangu katika thread zingine utanijua me mtu gani.sijui mama ako alkua wap kukulea akauacha ukakulia kwa bibi ako ubaya zaid ukabemendwa ndio maana unaongea upupu nilkuambia kanombe nyungwe forest aukigali umepita kwenda goma beni namoya bukavu na kisangani.... tembea uone soon ntaongea kindembele utasema natokea zimbabwe.
 
Kwani wewe lengo lako ni nn? isonge mbele huku wajinga wakiwa gerezani au irudi nyuma kwa kuachiwa wajinga?

Tz magu kawabana kidogo wanalia lia kichiz wanadhan maendleo ynakuja kwa kcheka na nyani namibia angola au south africa hawakucheka na watu ndio maana wapo pale walipo.Sasa Magu anataka kuwanyoosha kelele kibao na atawanyoosha haswa waswahili wapuuzi sana.
 
Wastani wa pato la taifa (GDP) kwa mwaka ni
Rwanda 723 dola za Marekani
Tanzania 960 dola za Marekani

Rwanda kiuchumi ya kawaida tu.
Sasa ukiweka na ukubwa wa nchi hizo mbili na idadi ya watu, ulitaka Gdp ya Rw n Tz zilingane?
 
Back
Top Bottom