Ngosi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 391
- 191
Wana Jf ninaelekea kumliza siku tatu tangu nifke chuo cha udom bila kukamilisha Mchakato wa usajili maana unajaza miform hadi unachoka hapa nimelala taabani bin hoi ila bado kesho nadaiwa kuendelea na mchakato njaa imeuma hadi utumbo umekunjamana sasa mimi nataka kujua kwa wenyeji wa chuo hiki tabia hii ilikuwepo tangu awali au imeanzia kwetu na kwann mchakato uwe mrefukiasi hicho tofauti na vyuo vngne?? Inamaana wanatakakusema wao ndio wanajua kusajili wanachuo udom badilisheni mfumo bandugu mnatuuwa 1st year[emoji24] [emoji24] [emoji24]
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA
TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM
COLLEGE OF EDUCATION (COED)
ENEO LA UJASI
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-
PRINTING - 50/=
PHOTOCOPY 25/=
SCANNING - 300/=
BINDING - 500/=
SPIRAL - 1500/=
INTERNET CAFE
PIA TUNA EDIT KAZI ZA MASTERS NA KUWEKA VIPIMO
UMEME NI WA UHAKIKA HATA UMEME UKIKATIKA TUNATUMIA SOLAR POWER
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU
0752074090
0784387983
AU
e-mail empowerstationary@gmail.com
GODBLESS EMPOWER