Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,748
Mimi nazungumzia CHSS wanaokaa social mwaka huu wa masomo wewe unaniambia habari za CHAS?CHAS =College of Health and Allied Sciences (tiba)
Mimi nazungumzia CHSS wanaokaa social mwaka huu wa masomo wewe unaniambia habari za CHAS?CHAS =College of Health and Allied Sciences (tiba)
Sawa kindagateni....Mimi nazungumzia CHSS wanaokaa social mwaka huu wa masomo wewe unaniambia habari za CHAS?
Hakuna college of humanities. Kuna college of humanities and social sciences. kuna school of humanities. Ila mwaka huu ile school of humanities imebadilishwa na kuwa college of business studies and law. Ila watu wa humanities school yao imeunganishwa na school of social sciences. lakini hayo mabadiliko hayajaathiri upande wa makazi kwasababu school of humanities wamepewa block kuanzia namba moja hadi kumi na nne na college of business studies and law wamepewa kuanzia 15 hadi 19 kama sikosei (kama nimekosea namba hizo samahani).Acha kuongea uongo! Kipindi mimi naanza chuo pale kuna college zilikua hazijakamilika na nilimaliza chuo 2012 wala sio iyo 2007 unayosema wewe! Usipotoshe umma kuna mdogo wangu anasoma hapo pia!
Ngoja nikupe summary sasa maana usijifanye unajua saana
*College of humanities 2009 wakati naanza chuo ndio kwaanza ilikua ikimaliziwa kujengwa na 2010 mwishoni watu walihamia
CURRENTLY college hii inakaliwa na watu wa BAEd pamoja na wale wa humanities +watoto wa Diploma na certificate za mambo ya social science na humanities na madarasa yao yapo hapo hapo
*Kipindi hicho 2009 hostel za social zilikua ni zile zilizopo Taji cafeteria na baadae Majengo yaliongezwa na kupewa jina la Haiti
Na wanafunzi wa social walipewa hostel zile na madarasa yao
*Huko health unaposema mpaka sasa ninavyooongea college imekamilika kwa kila kitu kuanzia hostel mpaka kituo kidogo cha hospital kwa ajili ya kufanyia Practical zao tofauti na zamani 2009/2010 ambapo walikua wakitumia Majengo ya Education kama Malazi yao
KUHUSU BUS za chuo kweli zile ni staff Bus maalumu kwa ajili ya kusafirishia wafanyakaz ila haiwazuii wanafunzi kuyatumia pale inapobidi, hakuna aliyekutana na lile bus limepaki sehemu lets say college fulani alafu akapanda akaambiwa ashuke kwa sababu tu ni mwanafunzi huo ni uongo!
SERA YA UDOM NI MKUFUNZI KUWAFATA WANAFUNZI NA SIO WANAFUNZI KUMFATA MKUFUNZI, NA KAMA MNAFANYIWA HIVYO BASI NI UJINGA WA SERIKALI YENU YA WANAFUNZI (UDOSO)
Hata wewe kuna sehemu umedanganya. Usiseme BAED tu ndo wataendelea kukaa kule humanities. Ni school of humanities wote nikiwemo mm. Tena sio kwamba tumepewa block chache. Nope... Zimegawanywa. Ni nyingi tu.Hata wewe unachoongea ni cha zamani mwaka huu wa masomo mambo ni tofauti. Kuna college mpya imeongezwa inaitwa college of business studies and law hawa wanakaa humanity na wanasomea hukohuko. College ya chss imehamishiwa social na wanasomea hukohuko social isipokuwa baed wamepewa baadhi ya block humanity na wanasomea hapohapo.
Pole sana kwa hasara ya nauli uliyo-incur
CHSS ni College of Humanities and Social Sciences.Mimi mwenyewe kanishangaza.. Ni CHSS au alitaka kusema CHAS na kama ni CHAS basi maelezo aliyotoa si sahihi
Natamani kuonana nawewe braza. Nipo huku humanities...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Juma mosi hiii rasmi nipo humanities kwa Mr sanga dean of Humanities ni prf FP NYON[emoji310] [emoji310] [emoji310] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
kwahyo social wanakaa hao na watu wa CNMSMimi nazungumzia CHSS wanaokaa social mwaka huu wa masomo wewe unaniambia habari za CHAS?
Una uhakika kuwa hakuna Diploma wala certificate anayekaa humanities? Nikukutanishe na mmoja wao wa wanafunz wa Diploma anayekaa hapo?Hakuna college of humanities. Kuna college of humanities and social sciences. kuna school of humanities. Ila mwaka huu ile school of humanities imebadilishwa na kuwa college of business studies and law. Ila watu wa humanities school yao imeunganishwa na school of social sciences. lakini hayo mabadiliko hayajaathiri upande wa makazi kwasababu school of humanities wamepewa block kuanzia namba moja hadi kumi na nne na college of business studies and law wamepewa kuanzia 15 hadi 19 kama sikosei (kama nimekosea namba hizo samahani).
NOTE:Hakuna diploma na certificates anayekaa humajities.
Nikutanishe mkuu... nina uhakika 100%.Una uhakika kuwa hakuna Diploma wala certificate anayekaa humanities? Nikukutanishe na mmoja wao wa wanafunz wa Diploma anayekaa hapo?
Ni pm namba yako ntakukutanisha na anayekaa Humanities Diploma ambae alianzia certificate of social work, lakini pia nakushauri ukapitie Direct cost allocation pale utakuta neno Certificate &Diploma kulipia hostelNikutanishe mkuu... nina uhakika 100%.
Acha kupenda mteremko jikaze kujaza fomu tu unalalamika bora ingekuwa kitu kingine walau ungeelewekaWana Jf ninaelekea kumaliza siku tatu tangu nifike chuo cha UDOM bila kukamilisha Mchakato wa usajili maana unajaza miform hadi unachoka hapa nimelala taabani bin hoi ila bado kesho nadaiwa kuendelea na mchakato.
Njaa imeuma hadi utumbo umekunjamana sasa mimi nataka kujua kwa wenyeji wa chuo hiki tabia hii ilikuwepo tangu awali au imeanzia kwetu na kwann mchakato uwe mrefukiasi hicho tofauti na vyuo vingne??
Inamaana wanatakakusema wao ndio wanajua kusajili wanachuo udom badilisheni mfumo bandugu mnatuuwa 1st year[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Basi alikudanganya. Labda anakaa social lkn sio humanities. Kuhusu direct cost hiyo inaangalia programme anayoisoma ipo ktk school gani. Ila sio kwamba kwasababu ipo school of humanities basi anakaa hukohuko. Kwamfano kuna watu wa diploma of tourism and cultural heritage. Hao school yao ni humanities lkn wanakaa na kusomea college of education. Hivyo...Ni pm namba yako ntakukutanisha na anayekaa Humanities Diploma ambae alianzia certificate of social work, lakini pia nakushauri ukapitie Direct cost allocation pale utakuta neno Certificate &Diploma kulipia hostel
Sasa tunabishana nn mkuu, ni pm nikukutanishe nae akwambie anakaa wapi! Mimi nimesoma udom miaka mi 3 nisiijue social na humanities kweli?Basi alikudanganya. Labda anakaa social lkn sio humanities. Kuhusu direct cost hiyo inaangalia programme anayoisoma ipo ktk school gani. Ila sio kwamba kwasababu ipo school of humanities basi anakaa hukohuko. Kwamfano kuna watu wa diploma of tourism and cultural heritage. Hao school yao ni humanities lkn wanakaa na kusomea college of education. Hivyo...
Haya nimekupmSasa tunabishana nn mkuu, ni pm nikukutanishe nae akwambie anakaa wapi! Mimi nimesoma udom miaka mi 3 nisiijue social na humanities kweli?
Akhsante mkuu kunieleweshaCHSS ni College of Humanities and Social Sciences.
Naomba msaada, kuna hii form ya registration :-
Student's details :-
Programme:-............?
School :-.........?
College :........?
Department :........?
Nakuja kusoma Baed (geog & political science )
Hapo juu najazaje wakuu.?
You're too selfish!Nyie ****** ndio mnashusha elimu za vyuo, na boom wamekupa? Admision letter yako haina hizo taarifa tumia ubongo wako vizuri.