Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

You're too selfish!
Thanks!
Mambo mengine hata sio ya kuuliza ni aibu ndugu au hujapata admission letter yenye maelezo yote ya maswali unayouliza ukishaingia elimu ya juu hata uchambuaji wa kitu unachotaka kuuliza unatakiwa kuufanya kwa makini kuna wenzako pia wanashindwa hata kuchambua ipi ni account ya malipo yapi, wakati kila kitu kimeelezwa vizuri mpaka unajiuliza huyu anaenda kuanza kidato cha kwanza au mwaka wa kwanza chuo kikuu.
 
Well said. Huyo dogo atauliza hata kama kuna kulipia luku ya umeme au la[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nilienda Udom saa 7 mchana by saa 12 jion tulishamaliza registration Na Hall of residence kupangiwa, nadhan tatizo ni kutokamilisha viambata
 
Nilienda Udom saa 7 mchana by saa 12 jion tulishamaliza registration Na Hall of residence kupangiwa, nadhan tatizo ni kutokamilisha viambata
Sorry naomba namba yako
 
umeenda saa saba? atakayeona adha ya foleni ni yule atakayekwenda siku ya kwanza asubuhi,usajili hauchukui muda kama zamu yako imefika,adha na taabu ni uwingi wa watu na ubovu wa uratibu wa zoezi.
mjanja ni yule anayewahi sanaaaa au anayechelewa huwa hasumbuliwi na taabu.
 
Ungechagua Saut, hamna cha fomu za kujaza wala nini unaenda unasema kozi uliochaguliwa na jina.. Unaonyesha vyeti.. Basi siku imeisha yani raha sana hamna hata ujinga wa medical form
 
Ungechagua Saut, hamna cha fomu za kujaza wala nini unaenda unasema kozi uliochaguliwa na jina.. Unaonyesha vyeti.. Basi siku imeisha yani raha sana hamna hata ujinga wa medical form
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kumbe hata mimi ntampeleka mdogo angu. Ntamwambia tu nenda SAUT ukaoneshe vyeti na kutaja program. Kumbe haina haja hata ya kusumbuka.
 
Achana nao fanya shughuli zingne kwanza acha ushamba dogo tafuta aliye sajiliwa kalale kwake sahv utaangaika hivi form six umemaliza kweli
 
Back
Top Bottom