Wana Jf ninaelekea kumliza siku tatu tangu nifke chuo cha udom bila kukamilisha Mchakato wa usajili maana unajaza miform hadi unachoka hapa nimelala taabani bin hoi ila bado kesho nadaiwa kuendelea na mchakato njaa imeuma hadi utumbo umekunjamana sasa mimi nataka kujua kwa wenyeji wa chuo hiki tabia hii ilikuwepo tangu awali au imeanzia kwetu na kwann mchakato uwe mrefukiasi hicho tofauti na vyuo vngne?? Inamaana wanatakakusema wao ndio wanajua kusajili wanachuo udom badilisheni mfumo bandugu mnatuuwa 1st year[emoji24] [emoji24] [emoji24]