Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

Wana Jf ninaelekea kumliza siku tatu tangu nifke chuo cha udom bila kukamilisha Mchakato wa usajili maana unajaza miform hadi unachoka hapa nimelala taabani bin hoi ila bado kesho nadaiwa kuendelea na mchakato njaa imeuma hadi utumbo umekunjamana sasa mimi nataka kujua kwa wenyeji wa chuo hiki tabia hii ilikuwepo tangu awali au imeanzia kwetu na kwann mchakato uwe mrefukiasi hicho tofauti na vyuo vngne?? Inamaana wanatakakusema wao ndio wanajua kusajili wanachuo udom badilisheni mfumo bandugu mnatuuwa 1st year[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Degree unadhani mchezo wewe
 
Uliondoka home unasema unaenda kuchukua degree.....degree haichukuliwi inatafutwa....karibu COES
 
Mbn mm nmemalza usajili ndani ya masaa mawili....tatizo unatakiwa ujiandae mapema.
Unakuta mtu anaingia kwenye usajili hata form ajajaza.
 
Fanya maandalizi mapema, andaa form zako,na vitu vingine muhimu vinavyohitajika ktk usajiri..then wahi mapema uone kama utakaa hata saa moja...
 
yaan kwa udom usajili inabid uvumilie coz watu tulikaa wiki nzma bila kusajiliwa unapanga mstari mnapewa kuponi inaitwa namba moja moja.....daaah ndo maisha
 
Usimdanganye mwenzio udom kila course of study ina college yake inayojitosheleza kwa kila kitu kuanzia madarasa mpaka hostel na inapolazimika kwenda eneo jingine kimasomo (kama imeidhinishwa hivyo na chuo) basi anaweza akatumia usafiri wa chuo (university bus) ambazo hutoi hata senti moja
wew acha uongo wako ulisoma miaka ya 2007 labda, watu wa collage ya natural wanakaa social madarasa unaenda kusomea natural

watu wa earth wanakaa social na education vipind wanaenda ksomea earth

watu wa tiba wanakaa education vipindi tiba

watu wa humanity wengi wanasomea social

mabasi ya chuo ni kwa ajili ya staff tuu

yaan nikikumbuka buk buk zangu za bodaboda natamani hadi kulia
 
Acha kuongea uongo! Kipindi mimi naanza chuo pale kuna college zilikua hazijakamilika na nilimaliza chuo 2012 wala sio iyo 2007 unayosema wewe! Usipotoshe umma kuna mdogo wangu anasoma hapo pia!
Ngoja nikupe summary sasa maana usijifanye unajua saana
*College of humanities 2009 wakati naanza chuo ndio kwaanza ilikua ikimaliziwa kujengwa na 2010 mwishoni watu walihamia
CURRENTLY college hii inakaliwa na watu wa BAEd pamoja na wale wa humanities +watoto wa Diploma na certificate za mambo ya social science na humanities na madarasa yao yapo hapo hapo
*Kipindi hicho 2009 hostel za social zilikua ni zile zilizopo Taji cafeteria na baadae Majengo yaliongezwa na kupewa jina la Haiti
Na wanafunzi wa social walipewa hostel zile na madarasa yao
*Huko health unaposema mpaka sasa ninavyooongea college imekamilika kwa kila kitu kuanzia hostel mpaka kituo kidogo cha hospital kwa ajili ya kufanyia Practical zao tofauti na zamani 2009/2010 ambapo walikua wakitumia Majengo ya Education kama Malazi yao
KUHUSU BUS za chuo kweli zile ni staff Bus maalumu kwa ajili ya kusafirishia wafanyakaz ila haiwazuii wanafunzi kuyatumia pale inapobidi, hakuna aliyekutana na lile bus limepaki sehemu lets say college fulani alafu akapanda akaambiwa ashuke kwa sababu tu ni mwanafunzi huo ni uongo!
SERA YA UDOM NI MKUFUNZI KUWAFATA WANAFUNZI NA SIO WANAFUNZI KUMFATA MKUFUNZI, NA KAMA MNAFANYIWA HIVYO BASI NI UJINGA WA SERIKALI YENU YA WANAFUNZI (UDOSO)
 
nilichokieleza ndio hali halisi iliopo chuoni kwa sasa hizo stori unazosema ni za zamani sana
 
Back
Top Bottom