Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

Cc miaka ya nyuma ilikuwa simple tu ila inachukua muda kutokana na wingi wa watu. Ila mbona hicho kitu kipo kila chuo. Tena ktk vyuo ambavyo nna uzoefu navyo naona udom ndo usajili upo simple. Nenda vyuo vingine uone taabu za dunia wanavyozipata.... hicho ndo chuo kikuu...! by the way... mmeanza lini usajili?
Juma mosi hiii rasmi nipo humanities kwa Mr sanga dean of Humanities ni prf FP NYON[emoji310] [emoji310] [emoji310] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nyie madogo si hua mnasema chuo bata eee

hizo ndo bata za chuo,minilichukua wiki 3 kufanya usajili ww siku 3?

iyo kufanya usajili bado kusain boom,kupata room,ni mshikeshike
 
Juma mosi hiii rasmi nipo humanities kwa Mr sanga dean of Humanities ni prf FP NYON[emoji310] [emoji310] [emoji310] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hukupaswa kukurupuka kupost hii kitu. Ungeuliza wa vyuo vingine ipoje. Anyway... msalimu sana rafiki yangu mnoo Prof. Nyoni a.k.a prof. Pimbi. Msalimu pia fumbuka[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Dah mm nilipata bahati sana,ndani ya siku moja tu nilimaliza usajili.
 
Dah, huo ndo mfumo wao wa usajili.. Hizo siku tatu ulizokaa bila kusjiliwa ni cha mtoto, so usishangae kukaa one week bila kusajiliwa!!!!!
Usipotoshe umma ndugu yangu, tatizo lipo kwa wanafunz wenyewe wala si jambo la kuchukua wiki hata siku 2 waweza kamilisha usajili mtoa post ajaze hayo ma form kwa wakati na ahakikishe amelipa michango yote inayotakiwa na kuwa na risiti na kopi zake (in case pay slip zikipotea basi awe na ushahidi) aamke asubihi na mapema akapange folen ili apate kusajiliwa, mdogo wangu mwaka Jana alitumia siku 2 tu kujisajili kwa mfuko huo huo,
 
Bro udom kwan wanajaza page moja subili wadau tuliofka huko wakusmulie tunajaza bibble ya maform ww unasema moja yawezekana mwaka wako ulijaza moja huku tumejaza form zaid ya 20 leo na bado ukifka kusajiliwa unarudshwa wanadai haujalipia form ya by-law [emoji12] [emoji12] mara ukifka huku unaambia hauna admission copy mara haujajaza form ya hostel mara nin.... daah ndg itakuwa haujafka hapa kwa mwaka huu mwenyewe nilienda kwa kufuata instruction ya kaka aliepo 2nd year nimefka nakuta niko incoplete imebd tena foleni ya kutoa copy yaan hapa kila ktu folen mara folen ya kulipia bylaw[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Unachotakiwa kufuata utaratibu na kuwa na vyote wanavyovihitaji kulalamika lalamika hakuta kusaidia kwani unashindwa nini kutoa kopi ya kila kitu ulichonacho? Lakini pia mlishaambiwa kuna vitu mnatakiwa kulipia sasa kwann usilipie kabla?? Mi nilidhani utasema kwamba ukipanga folen Ma register wanaambia hawafanyi kazi kumbe unaambiwa hiki huna ambacho kinatokana na uzembe wako na kuto kufatilia maelekezo! Kwa namna hiyo chuo kitakushinda maana chuo ni kuzingatia maelekezo sasa wewe orientation hujamaliza na umeshachoka na kuanza kulalamika
 
TANZANIA TUMEZALISHA TAIFA LA WATU WAZEMBE,WAVIVU NA WALALAMISHI, WAO HATA JAMBO LA KUFUATA UTARATIBU WANALALAMIKA TU
 
Udom Lila kitu no foleni, Luanda nagari ya kwenda na kutoka mjin folen, usajili folen tena kubwa, vitambulisho ndio usiseme. halo ukizubaa usajili wako utakamilika baada ya mwezi maana continuing wanaingia jmos na wao wanaanza usajili na wao ni mwendo wa kuovertake
Tutajie chuo kikuu kimoja tu Bongo kinachosajili wanafunzi bila foleni, otherwise tuondolee porojo zako
 
Au kama unaona usajili ni kero basi beba chanja mbuga...rudi kwenu. Lasivyo ujiandae na vipindi vya DS na LG chimwaga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Wepesi wako ndyo mafanikio yako!ulifikir ni kama unajiunga kifurush cha university offer unabonyeza tuuu!!! Ulitakiwa uulize kabla ya kwenda!wenzako waliouliza wamemaliza usajil wanamilik funguo sshv !
 
ndio tatizo la watanzania tunapenda sana virahisi, sikia ukipata rahisi lazima upitie vigumu...................... kaza buti hayo ndio mambo ya UDOM na hapo na bado unaweza ukapangiwa sehemu ya kulala na ya kusomea mpaka uoande gari na kama ni wale wenzangu na mimi utakanyaga kila siku
Inategemea na College mkuu
 
sasa ww unalia hivyo kwa sasa udom kila college inafanya usajili wake uliza wenzio chuo kizima mnafanyia usajili jamhuri stadium ww unalia lia tu hapa kaza buti
Jamhuri dodoma au morogoro
 
Duuh jembe huyu analalmika kinoma yani

Kachaguliwa bachelor ya kiswahili analalamika

Kakosa mkopo analalamika

Kufanya registration napo analalamika
 
Ndio utaratibu huo,me cku ya kwanza nilifika nimechelewa nikalala kwenye hostel zao kesho asubuhi nikawahi kusajili nikamaliza,cha muhimu pangilia form zako kwanza kabla ya kwenda kwenye reg.
 
Duuh jembe huyu analalmika kinoma yani

Kachaguliwa bachelor ya kiswahili analalamika

Kakosa mkopo analalamika

Kufanya registration napo analalamika
Mkuu mkopo nimepata 100
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom