USAJILI TELEGRAM TATIZO, NAOMBA MSAADA.

Kizazi cha porn
Hakuna kingine unachoenda kuangalia telegram zaidi ya video za ngono
 
Kuna group za movies unazishusha katika ubora wake na group za tech kama Xaomi usertz, group za software na kupeana maujanja mengine.
Kuhusu Malaya wapo kote whatsapp, X twitter nk
Mwenyewe nilikuwa naitumia kudownload movies miaka hiyo! Kumbe wameshapageuza danguro🫢
 
Logout alafu login uone.
Hujamuelewa mtoa mada hapa ,hizo code haziji
Nimelog out sahivi na nimeingia tena ngoja nikuoneshe
 

Attachments

  • Screenshot_20261021-144820.jpg
    196.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261021-144847.jpg
    78.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261021-144916.jpg
    157.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261021-144956.jpg
    86.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261021-145049.jpg
    186.2 KB · Views: 1
Kwema wakuu, hivi hapa nifanyeje ili niweze kujisajili bila kulipia?

View attachment 3690341
Skia nakupa mbinu ambayo hutaipata popote kule mi ndo niligundua mwenyewe na huwa natumia.... Kwanza achana na hii telegram official...

Tumia Plus Messenger tena ukipata mod uta enjoy zaidi..., Hii huitaji VPN wala nini may be ikitokea huoni code ndo utatumia vpn au proxy, kwanza badili display width ya simu yako iweke 360p au 480p alafu register telegram, hutaombwa kulipia ila utapata codes fresh utaingia na kuenjoy kama kawa, then rudisha display width kawaida uliyokua unatumia awali..

Simple hivyo tu.. Remember kutumia Plus Messenger ni nzuri sana, unaweza tafuta mods zake hazina ads na zina options za premium zote..
 
Mkuh
Mkuu ngoja nijaribu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…