Usajili: Maajabu ya Thamani ya Mzize na Dau la Usajili wake

Kilolojnr

Member
Joined
Mar 12, 2025
Posts
11
Reaction score
10
Salaam Wanajukwaa,

Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000).

Hapo hapo kutokana na maelezo ya Manager wake anasema Mzize alikuwa analipwa Mil 2 na baada ya kupambana sana na Klabu ya Yanga ndipo akawa analipwa Milioni 15.

Mambo ni mengi, ila haya mambo ya mishahara mara nyingi ni siri, sasa tusije kufikia huko mpaka tukaanza kujua ya sirini kama yale ya Feisal kulishwa Ugali🙂. Ili Yanga waseme kuwa Mzize thamani yake ni kubwa kama ambavyo wanasema, basi wamuongezee tu Mshahara angalau kufikia Milioni 30.

Maisha ya Mpira ni Mafupi sana, Mzize asije kusemwa kama akina Ajibu na wengine ambao walipata offer kadhaa huko nje wakazipiga chini na ukizingatia ndio kwanza ana 'MIAKA 20'.

NB: Wakati Yanga wanapandisha thamani ya Mzize kufikia $1,000,000, waangalie pia namna ya hiyo negotiation yao suala la Maslahi binafsi ya Mchezaji. Anaweza kuuzwa Dola milioni Moja halafu akawa anaenda kulipwa Mil 25/mwezi. wakati akiwa Yanga akilipwa milion 15, anaweza kupata zawadi kutoka kwa wadau wa Yanga ikafika mpaka mil 3-5 kwa mwezi.
 
Mchezaji akiwa na mkataba wa miaka 2 kanuni zenu zinasemaje?
 
1. Mchezaji ni wa Yanga
2. Mwenye kuamua kumuuza ama kubaki naye ni Yanga wenyewe
3. Mwenye kuamua bei ya mchezaji ni Yanga wenyewe
By the way kama malengo ya Yanga ni kutwaa bingwa wa Afrika kwanini wauze mchezaji aliye bora?
 
Nu maajabu wakala/msimamizi wa mxhezaji hajui thamani ya mchezaji wake. Halafu anaenda kwenye media kuzungumza ovyo ili kutafuta huruma. Sio bure huyu kuna posho amepokea ndio maana analazimisha mchezaji auzwe kwa bei ndogo kisa yule aliuzwa kwa bei ndogo zaidi ya iliyotajwa sasaivi.
 
Siku zote kwenye biashara ya mpira club inatizama inaingiza nini, so mshahara inabaki kuwa kazi ya wakala na mchezaji. Ndio maana wabongo mnashauriwa mmkasome na kutambulika kupitia mitihani ya FIFA, ili hata kwenye negotiation mchezaji na wakala wawe vizuri. Tatizo wasimamizi wenyewe janja janja hata kunegotiate hawajui na kunegotiate maslahi binafsi ni kazi ya wakala wa mchezaji na mchezaji mwenyewe.
 
Waache tu Yanga waendelee kulinga halafu baada ya msimu mchezaji anaishia kuja kucheza kwa mkopo Mtibwa Sugar.
 
1. Mchezaji ni wa Yanga
2. Mwenye kuamua kumuuza ama kubaki naye ni Yanga wenyewe
3. Mwenye kuamua bei ya mchezaji ni Yanga wenyewe
By the way kama malengo ya Yanga ni kutwaa bingwa wa Afrika kwanini wauze mchezaji aliye bora?
Msimu uliopita mashabiki wa simba waliingizwa kwenye kichaka cha kuujadili mkataba wa Fei Toto. Muda mwingi wakajikita kwenye harakati za kupigania haki ya Fei Toto, kuliko usajili wa timu yao. Mwishoni mwa msimu wakaishia tu kuwalalamikia viongozi na baadhi ya wachezaji wao kwa kuambulia patupu ndani ya msimu mzima.

Na sasa wameanza tena siasa za kutaka Mzize auzwe, kama vile anawahusu hivi! Yaani mchezaji ana mkataba na Yanga! Na bado wanalazimisha auzwe kisa tu kuna timu inamhitaji!

Sasa katika hali ya kawaida hapo mwenye uamuzi wa kuruhusu/kukubali Mzize kuuzwa si ni klabu yake ya Yanga! Tena iwapo tu itaridhia pesa iliyoletwa mezani!
 
Salaam Wanajukwaa,

Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000).

Hapo hapo kutokana na maelezo ya Manager wake anasema Mzize alikuwa analipwa Mil 2 na baada ya kupambana sana na Klabu ya Yanga ndipo akawa analipwa Milioni 15.

Mambo ni mengi, ila haya mambo ya mishahara mara nyingi ni siri, sasa tusije kufikia huko mpaka tukaanza kujua ya sirini kama yale ya Feisal kulishwa Ugali🙂. Ili Yanga waseme kuwa Mzize thamani yake ni kubwa kama ambavyo wanasema, basi wamuongezee tu Mshahara angalau kufikia Milioni 30.

Maisha ya Mpira ni Mafupi sana, Mzize asije kusemwa kama akina Ajibu na wengine ambao walipata offer kadhaa huko nje wakazipiga chini na ukizingatia ndio kwanza ana 'MIAKA 20'.

NB: Wakati Yanga wanapandisha thamani ya Mzize kufikia $1,000,000, waangalie pia namna ya hiyo negotiation yao suala la Maslahi binafsi ya Mchezaji. Anaweza kuuzwa Dola milioni Moja halafu akawa anaenda kulipwa Mil 25/mwezi. wakati akiwa Yanga akilipwa milion 15, anaweza kupata zawadi kutoka kwa wadau wa Yanga ikafika mpaka mil 3-5 kwa mwezi.
Kakujibu tiyali👇
 
Attachments

  • FB_IMG_1754942527502.jpg
    FB_IMG_1754942527502.jpg
    24.8 KB · Views: 23
Nu maajabu wakala/msimamizi wa mxhezaji hajui thamani ya mchezaji wake. Halafu anaenda kwenye media kuzungumza ovyo ili kutafuta huruma. Sio bure huyu kuna posho amepokea ndio maana analazimisha mchezaji auzwe kwa bei ndogo kisa yule aliuzwa kwa bei ndogo zaidi ya iliyotajwa sasaivi.
Hiyo ndio kazi ya mawakala wa wachezaji.

Swala ka kupokea posho ni kitu ya kawaida kabisa.
Hapo ukute kahaidiwa agent fees kubwa tuu.
Mzize akibaki yanga hiyo pesa haipati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom