Usaili TRA

Muteyan

Senior Member
Jul 8, 2013
131
40
Jamani jamani, TRA muwe mnafanya kama NAO walivyofanya. Mambo ya kuja kutukusanya wengi hivi Dar huku wote sio vizuri. Yaani tuko hapa tumezagaa tu, tuliambiwa tufike saa moja na nusu lakini hadi sasa hivi tupo tu. Mngefanya kama watu wa NAO.
 
jamani jamani., tra muwe mnafanya kama nao walivyofanya. Mambo ya kuja kutukusanya wengi hivi dar huku wote sio vizuri. Yaani tuko hapa tumezagaa tu, tuliambiwa tufike saa moja na nusu lakini hadi sasa hivi tupo tu. Mngefanya kama watu wa nao.
Inamaana mpaka sasa watu wa saa moja na nusu hamjafanya interview ni shida je SAA 7 na nusu tutafanya saa ngapi
 
naskia mpo kibao kama uhamiaji,ila venue ni ndogo sana na kesho majibu yanatoka ,hapo tunadanganyana aisee
asst tax officer 3800
asst custom 3400
asst preventive 2700
tax asst 2600
prevent asst 1700
source: asst lecture wa chuo kishiriki dsm ..... anayejiandaa kusahisha mitihani
 
Hii si fair jaman...hamna utaratibu mzuri hata kidogo..nadhan hii ni tenda ya kwanza kwa hawa jamaa..
 
Kuna nini huko mkuu...au maswali yamekugonga sana!
 
Yaani njia imefungwa msongamano wa watu wa kufanya intervew!
 
Mmetuita saa moja had saa saba bado hatujafanya intrvew... mnaita watu watatu akat nje kuna watu zaidi ya 500 maana yake nini!!! are u guys really serious???

This is not fair wengne wafanye intrvw saa3 asbh wengne tufanye saa8 mchana.... mmetia aibu.,alot of people hav been unproductive today because of your disorganised arrangements.

Watu wametoka mikoani wameingia cost kubwa na wanategemea kurudi mkoani leo hii hii,wengne wameaga maoffcn mmewaweka had saiv..what the heck were you guys thinking !

Mmetuita wenywe how come hamkujipanga kuAccomodate this huge group of people...

MMEKERA SANA TUUU,
 
its really a shame kama wamewafanyia hivyo ila umeniacha hoi hapo chini mkuu kama baba ubaya vile..ha ha haaaaa.
 
Mi nafikiri haya madhara ya kumpa mtu tenda bila kuangalia uwezo.... kwa kweli tumaini university hamkustahili kufanya hii tenda mana mmekuwa watu hovyo sijapata ona.... kwakweli sijawah kata tamaa on intrview tangia nizaliwe ila hapa nimechemka kwa leo.....

TRA HOVYO TUMAINI UNVRSTY HOVYO KABISA
 
Dah wadau mtihani wa assistant custom officer tra ulikua mgumu balaa... Yaani hawa jamaa wamevunja rekodi....
 
Wamekera sana yaani nimesimama hadi nimechoka... Watu tumefika saa 1 asubuh wanaosimamia mtihan wamefika saa 2... Interview wanaingia mmoja mmoja kero sana hii serikali iangalie jinsi tunavyonyanyaswa na hawa watu.. Huu ni udhalilishaji wa wasomi
 
Back
Top Bottom