TASAF, nakuja kwenye Usaili wenu wiki ijayo, naamini mtatenda Haki na si kupendelea

nyapinyapileo

Member
Oct 19, 2022
93
215
Wana JF Salaam,

Naenda kwenye Usaili TASAF Dar es Salaam weekend hii. Usaili ni Jumatatu na Jumanne wiki ijayo(nafasi ni Ukurugenzi wa Idara moja pale TASAF). Kwa kuwa nasafiri umbali mrefu kutoka huku Kigoma mwisho wa Reli mpaka Dar, natumia gharama kubwa.

Nimejiandaa vizuri, lakini nina wasiwasi kama hawa jamaa hawana mtu wao wa ndani hivyo sie wengine ni geresha tu kutupotezea muda na pesa. Nawaonya TASAF mtende Haki maana natumia gharama kubwa kuja huko, ole wenu mpendelee NITAWAROGA Menejimenti nzima. Ole wenu
 
Je wewe ungekua ndio meneja wa TASAD alafu kuna nafasi mmetangaza na una mdogo wako hana ajira.

Je utampa nafasi mdogo wako au utaajiri wengine?

(Kuwa mkweli).
 
Siwatishi nawaambia ukweli,nauli kutoka Kigoma mpaka Dar ni 80,000 hivyo ni 160,000,nikijumlisha na Lodge,Chakula kwa siku tatu na mengineyo maana yake Laki Tatu yangu inaenda kutumika kwa Usaili huo,halafu wawe wana mtu wao tayari itakuwa ni uhuni,hakika wasipotenda Haki NITAWAROGA
Kama ni hivyo wala usiende kwa sababu hawajakulazimisha kwenda kwny usaili wao
 
Siwatishi nawaambia ukweli,nauli kutoka Kigoma mpaka Dar ni 80,000 hivyo ni 160,000,nikijumlisha na Lodge,Chakula kwa siku tatu na mengineyo maana yake Laki Tatu yangu inaenda kutumika kwa Usaili huo,halafu wawe wana mtu wao tayari itakuwa ni uhuni,hakika wasipotenda Haki NITAWAROGA
Kwahiyo mkuu unahisi wewe kupata hiyo kazi ndio watakuwa wametenda Haki?
 
Yani nafasi ya ukurugenzj unadhani watakuchkua we fresher kutoka kigoma

Hio wanafanya internally tu

Unapoteza mda kwenda
 
Wana JF Salaam,
Naenda kwenye Usaili TASAF Dar es Salaam weekend hii. Usaili ni Jumatatu na Jumanne wiki ijayo(nafasi ni Ukurugenzi wa Idara moja pale TASAF). Kwa kuwa nasafiri umbali mrefu kutoka huku Kigoma mwisho wa Reli mpaka Dar, natumia gharama kubwa.

Nimejiandaa vizuri, lakini nina wasiwasi kama hawa jamaa hawana mtu wao wa ndani hivyo sie wengine ni geresha tu kutupotezea muda na pesa. Nawaonya TASAF mtende Haki maana natumia gharama kubwa kuja huko, ole wenu mpendelee NITAWAROGA Menejimenti nzima. Ole wenu
Weka majina yako kamili ili tukufaham kwamba ukija, huitaji kuonewa. Andika majina yako kamili tafadhali.
 
Muache aje then aliwe kichwa. Muhimu ni kubandika hii "nickname" yake ukutani karibu na mlango wa kuingilia. Akiitazama TU mara mbili, anapewa swali gumu na analiwa kichwa😂
Hii mbinu ya kikamanda tena kwa herufi kubwa NYAPI NYAPI LEO
 
Back
Top Bottom