SIOMIMI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 326
- 66
Sioomimi@unafanana na jina lako?achakuwadanganya wenzioo???
Nmedanganya kwa lipi mkuu thibitisha
Sioomimi@unafanana na jina lako?achakuwadanganya wenzioo???
Mkuu umetoka au umepigwa chini huna hamu tena ya kwendelea kuangalizia wengine, ha haa haaaaa.Mkuu mimi nmetoka mda kidogo ila nadhani kuna wadau watakupa.update maana wamebandika majina
Miie ninayo sema yananishinda kuapload
Miie ninayo sema yananishinda kuapload
please naomba nitumie whatsapp 0755077339, ATO
Nimepata ya PA tu
Majina ya Assistant Customs Officer mbona hawataki kuyaweka jamani???
mbna yaliwekwa jana asubuhi! au kuna mengine?