Usaili TRA

Usaili TRA

Weka maswali hapa vipanga tuyasolve..sio unalia lia hovyo tu hapa.
 
Dah wadau mtihani wa assistant custom officer tra ulikua mgumu balaa... Yaani hawa jamaa wamevunja rekodi....

Ha ha ha ha Pole Mkuu.. Kesho tena wengine watapambana nayo pale IFM.. Hebu niambie kulikuwa na nyomi la nguvu au..?
 
Tayari mleta uzi keshaingia king maana wanaanza kukufrastrate mapema ili hata ukikosa usilete kisingizio cha kimemo!
 
Kiukwel wametuboa, watu tumetoka mikoan then watubwenyewe hawaelewek hata kidogo watu tumekaa had tumechoka na had muda huu hakuna matarajio ya kuingia kwenye hiyo interview kiukwel wameboa, coz muda waliotuambia tuje ni tofaut sana na tutakao ingia kufanya hiyo interview TRA MMEBOA VBY MNOOO
 
Wamekera sana yaani nimesimama hadi nimechoka... Watu tumefika saa 1 asubuh wanaosimamia mtihan wamefika saa 2... Interview wanaingia mmoja mmoja kero sana hii serikali iangalie jinsi tunavyonyanyaswa na hawa watu.. Huu ni udhalilishaji wa wasomi

Unaonaje ukiondoka maana humu ndani hatuchezi ukiondoka utatupunguzia kazi
 
Mmetuita saa moja had saa saba bado hatujafanya intrvew... mnaita watu watatu akat nje kuna watu zaidi ya 500 maana yake nini!!! are u guys really serious???

This is not fair wengne wafanye intrvw saa3 asbh wengne tufanye saa8 mchana.... mmetia aibu.,alot of people hav been unproductive today because of your disorganised arrangements.

Watu wametoka mikoani wameingia cost kubwa na wanategemea kurudi mkoani leo hii hii,wengne wameaga maoffcn mmewaweka had saiv..what the heck were you guys thinking !

Mmetuita wenywe how come hamkujipanga kuAccomodate this huge group of people...

MMEKERA SANA TUUU,

Hili ni tatizo wakat uzembe hautofautishwi na uchapaji kazi na kuwajibika ipasavyo. Shame Tanzania bado ina vumilia upuuzi kama. Mtu anaetafuta ajira anatahili kuonyeshwa maadili ya kikazi na kusaidiwa hata kama hatachaguliwa aheshimiwe kwa wakati alio sumbuka kuja kwaintervew
 
Back
Top Bottom