Usaili TRA

Usaili TRA

Mimi nilikuwepo kwenye interview pamoja na demu mmoja jirani yetu yeye alichoniaakikishia nafasi yake ipo y
tayari kutokana na nafasi ya baba yake TRA... daaah! nikabaki kusikitika kwa sie tusiokuwa na marefa.
 
Ndio nchi yetu hiyo viongozi wanajua kuiba tu,
 
Attachments

  • 1418399216201.jpg
    1418399216201.jpg
    108.2 KB · Views: 2,495
10846175_10152527730346769_7717161991038552718_n.jpg

10429493_10152527730411769_3936639519635869109_n.jpg

Hii ndio hali halisi ilivyokuwa Usaili TRA leo
 
Maskini...usikute post zenyewe zishapata watu miezi mingi iliyopita

Tunakoelekea itafika mahala msailiwa lazima uwe fiti sana kweye nafasi unayoomba...kwamba kimemo peke yake hakitoshi, itabidi udhihirishe kwamba uko vizuri...tutafika tu...ni mabadiliko ambayo hayakwepeki
 
Interview ya leo 90% wana kazi zao. So siyo tatizo la ukosefu wa ajira bali ni tatzio la kutoridhika na ajira walizonazo
 
Interview ya leo 90% wana kazi zao. So siyo tatizo la ukosefu wa ajira bali ni tatzio la kutoridhika na ajira walizonazo

Sure Mimi Nilikuwepo Pamoja Na Friends Zangu Watatu Ambao Ni Already Employed.
 
Interview ya leo 90% wana kazi zao. So siyo tatizo la ukosefu wa ajira bali ni tatzio la kutoridhika na ajira walizonazo

Ni kweli mkuu kuna idara watu wanaona ujiko sana kuajiriwa. Utasikia mimi nafanya kazi so and so. Kwahiyo inatuhusu nini?? Most of them malengo hapo ni baada ya kuipata hiyo post aanze kufisadi halafu anakuja mitandaoni kuilalamikia serikali wakati yeye ndie mwizi namba moja wa mapato ya serikali. Tunahitajika kubadilika
 
:what::Hapa graduats walio apply hizo kazi kAzi ipo. Wenye kazi ndio wanaoongoza kuapply kazi🙁
 
Nilikua mmojawapo kune hyo interview.ila nimetoka bila bila naada ya kusubiri masaa yote toka saa moja mpska satisa afu nkazinguliwa provision wakati wenzangu wa mwanzo walifanya paper kutumia hizo provision.alesema vyeti inategemea na mkaguzi alivyoamka alikua sahihi kiaina.maana mwngne anaruhusiwa mwingine anatolewa na mgambo yule sijui polisi.unaongozwa nje kama mhalifu flani ivi.leo ilikua kiboko.sina ham na TRA i say.
 
ifike hatua tuanze kufanya interview kupitia tv. ,wasailiwa wanahojiwa na jopo la majaji then raia wenye uelewa juu ya masuala hayo wanapiga kura,mshindi ndo anapewa nafasi.
 
Nilikua mmojawapo kune hyo interview.ila nimetoka bila bila naada ya kusubiri masaa yote toka saa moja mpska satisa afu nkazinguliwa provision wakati wenzangu wa mwanzo walifanya paper kutumia hizo provision.alesema vyeti inategemea na mkaguzi alivyoamka alikua sahihi kiaina.maana mwngne anaruhusiwa mwingine anatolewa na mgambo yule sijui polisi.unaongozwa nje kama mhalifu flani ivi.leo ilikua kiboko.sina ham na TRA i say.

I say pole
 
Back
Top Bottom