GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,872
- 4,604
Kweli mkuu. Hakuna graduate ambae hana ajira. Wote wana ajira wanatuzingua tu
Kweli kabisa hapa Tanzania katika kila kundi la graduates 10 basi tisa na nusu wameajiriwa isipokuwa nusu tu ndio hana ajira! Sema Tanzaniaaaa!