Usaili TRA

Usaili TRA

Kwa idadi ya job seekerz ilivokua ,kwa nchi za wenzetu wangeamka palepale kuisulubu serkari ili ilete majibu ya tatzo la ajira nchini, sasa wasomi wetu hawajitambui .sjui nani ataikomboa nchi hii.
 
Kwa idadi ya job seekerz ilivokua ,kwa nchi za wenzetu wangeamka palepale kuisulubu serkari ili ilete majibu ya tatzo la ajira nchini, sasa wasomi wetu hawajitambui .sjui nani ataikomboa nchi hii.

Tusaidie kamanda kulianzisha,maana kila sehemu lazima kwanza apatikane wa kulianzisha ndo mambo yanaiva!

Chukua mfano wa Martine Luther King Jr alijitoa kutete ngozi nyeusi
 
Walisema watatoa majina ndani ya 24 hrs ambayo ilikua ni saa kumi leo jioni, but kimya mpaka sasa hv
 
Kama walishindwa kusimamia zoezi ipasavyo watakuwa kutoa matokeo on time
 
Tayari tumeshamaliza kusahisha mitihani, ila kuna vijana walikua wa muhimu sana na bahati mbaya wamepata below average, hvyo tunajaribu namna ya kuwasaidia wajumuike nanyi kwenye oral interview! Muwe na uvumilivu tafathali!
 
You can't be serious!!!
 
kuna vijana walikua wa muhimu sana na bahati mbaya wamepata below average, hvyo tunajaribu namna ya kuwasaidia wajumuike nanyi kwenye oral interview! kama mlikuwa na hao vijana, sisi wengine mmetusumbua ya nini? na mlaaniwe nyie msiotenda haki.
 
Pepa imeliki kuna interview tena hapo au ndio usanii tu kwa watoto wa maskini
 
Wamekuja kubandika matokeo au kufanya nini mkuu.
kwani bado mpo hapo dj till this time. Tujuze plz

Wamebandika matokeo, nmeshindwa kupga picha simu yangu ina chaji kidogo, wameweka majina ya waliofaulu tu
 
Jamani tuangalizieni na sisi sasa saa tano hii wanabandika tuoneje
 
Back
Top Bottom