Usaili TRA

Usaili TRA

Hapa hakuna jipya watu wanakuja kucheki majina na bado hawajabandika
 
Mbona wanatufanyia hivi hawa watu? Walidanganya kule watahiniwa wasiondoke matokeo yatabandikwa baada ya masaa 24, mpaka sasa hawajui hatma yao ya leo either wamechaguliwa au lah.Watu wamevumilia kusubiri, halafu sasa zimekuwa hadithi mara ooh tutayaweka kwenye mtandao...mara sijui nini.... kuna watu hawana ndugu dar wamefikia hotel ni kwa vipesa labda wengine walivyo kopa kwa ajili ya nauli tu na matumizi yasiyo zidi siku 2 kwa kujibana, wengine wameacha kazi zao kuja kufanya interview wanatakiwa kurudi kazini, hata wale waliofikia kwa ndugu zao si watachokwa? Kwanini lakini TRA na Tumaini university yenu mnatesa na kunyanyasa watu kiasi hiki. MMEBOA SANA TENA SANA
 
Chief, kwani wanayabandika? si nimesikia hawatabandika tena, au? mbona hatuelewi

Mkuu walisema watabandika hakuna tangazo lolote lililopo hapa dj kuwa wataweka kwenye website hata mlinzi mwenyewe hajui lolote hapa
 
Sure, akitokea mtu au kundi lenye ushawishi wa pesa vijana watajiunga tuu maana hawana kazi maalumu....hapo ndo kutakuwa na mvurugo wa amani..

Kenya vijana wanajiunga na alishababu koz wengi hajira hawana...so mtu anaona ni bora akalipwe na magaidi ili aweze pata mkate wake wa kila siku...

So mwakani tufanye maamuzi magumu ya kumchagua mtu na sio chama....

Same applied to Nigeria. ..Wengi wanaojiunga boko haram ni wasio na ajira...wanalipwa huko
 
Lakn 24 bdo azijafka kama jna walimaliza saa tatu bsi bdo twenty four azijafka?
 
Lakn 24 bdo azijafka kama jna walimaliza saa tatu bsi bdo twenty four azijafka?

Kwani mkuu walisema ni 24hrs baada ya watu wote kumaliza au ni baada ya kila category kumaliza!!
 
Nadhani ilikua inamaana kua zoezizima la usaili kumalizika,ndyo twenty four hrs tunacount lets be little be patient saa tatu ikipita may be we can disqualify kua zoezizima wameprove fail kulisimamia
 
Nadhani ilikua inamaana kua zoezizima la usaili kumalizika,ndyo twenty four hrs tunacount lets be little be patient saa tatu ikipita may be we can disqualify kua zoezizima wameprove fail kulisimamia

Thank you mkuu,
 
kama sikosei watu wa mwisho kumaliza interview ilikua kati ya saa moja na nusu au saa mbili,kwa hesabu ya masaa 24 muda badoo
 
Back
Top Bottom