- Thread starter
- #81
Nawauzi Watu MAANA 🤣🤣🤣😂😂😂
Nawauzi Watu MAANA 🤣🤣🤣😂😂😂
Adi kwenye forum umu texts za kawaida tu tufate formalities jmn..relax bhnJinsi unavyoandika tu Kiswahili, lazima ukutane na "ndoige"...
Watajulia wapi akili zimejaa mipira,mademu,miziki ya kishenzi na upuuzi mwingine? Kizazi cha hovyo sana!Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
Post pond ndo nini?Barua ya kupost pond nimeandika na wame accept NILIKUA na boda boda nimeuza nipo nisubiri ajira
Hata maadili ya kazi huna, inaonekana utakujavujisha siri za kazi zote kwa Mkeo na familia, ukipita huo usaili nitag nikupe afu3 unywe Pepsi.Alafu maelekezo mengi yaan undugu nje nje
Wewe ni wakizazi gani? Acha kejeli ndio maana hurefukiWatajulia wapi akili zimejaa mipira,mademu,miziki ya kishenzi na upuuzi mwingine? Kizazi cha hovyo sana!
Mama yako mkuuHata maadili ya kazi huna, inaonekana utakujavujisha siri za kazi zote kwa Mkeo na familia, ukipita huo usaili nitag nikupe afu3 unywe Pepsi.
Mzee subiri uone utavyokula ndoigeHata maadili ya kazi huna, inaonekana utakujavujisha siri za kazi zote kwa Mkeo na familia, ukipita huo usaili nitag nikupe afu3 unywe Pepsi.
Utajua wewe.Wewe ni wakizazi gani? Acha kejeli ndio maana hurefuki
Haina noma usaili si umejifanyia mwenyewe, labda kama sio mimi.Mzee subiri uone utavyokula ndoige
Mi mwenyewe nilitupilia mbali ajira hizi za majeshi can you imagine mwaka Jana kwenye ajira za polisi mi pia nilikuwa miongoni mwa walioomba ajira hizo nilikuja kushangaa rafiki zangu wawili nimiongoni mwa walioitwa CCP hawana hata chert Cha jkt kiufupi hawajawahi kupita jkt kwa sababu ya mbanga. Naamini wapo wanaotoboa bila mbanga ila usimame na mungu wako. Ninachofanya sasa hivi nikupigania nipate passport nikafanye kazi za usafi saidia fundi nje ya Africa nchi za waarabu au wazunguMm niliona tulivyojichoresha oral pccb,unatok unasem maswali mbn yakawaid apa uhakika 90% kumbe hamna kitu,saiv stak kuckia nkiona nafas za kaz sjui uhamiaj,sjui polic,magereza sjui pccb yte naskip km kungekua na option ya kuignore bas ningeignore na kureport juu..ngj nkomae PSRS awa kidg ma2main yapo ypo[emoji1787][emoji1787]..kupotezea pesa tu watt wa maskin
Hii paper ilikua mnajibu kwa muda gani mkuu????Hayakuwa magumu sana mfano haya ni kwa watu wa Degree
1. Short History of yourself
2. ministries which operate both Tanzania Mainland and Zanzibar.
3 . Legal routes used as entries and exit of Tanzania.
4.Differences and similarities of human trafficking and Human smuggling.
5.The contributions of EAC and SADC in economic development of members states
6. contributions of Immigration Department in Tanzania's economic development
7.As an Immigration officer how do you handle corruption/bribery
8.Negative consequences of illigal migration to Tanzania.
Hapo kutoboa uhakika kwa kijana smart ambaye anafukuzia tongeHayakuwa magumu sana mfano haya ni kwa watu wa Degree
1. Short History of yourself
2. ministries which operate both Tanzania Mainland and Zanzibar.
3 . Legal routes used as entries and exit of Tanzania.
4.Differences and similarities of human trafficking and Human smuggling.
5.The contributions of EAC and SADC in economic development of members states
6. contributions of Immigration Department in Tanzania's economic development
7.As an Immigration officer how do you handle corruption/bribery
8.Negative consequences of illigal migration to Tanzania.
hilo swali nakumbuka tulipiga cc kwenye usahili wa uhamiaji 2022 pale dom. japo kutoboa uhamiaji MUNGU awe upande wako sanaSwali la kuandika wimbo wa Taifa halikuwepo. (takukuru 2022 na 2023)
Sasa huyo anasemaje pepa gumu hapo🤣Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
mengine yamerudiwa kutoka pepa tulio ulizwa cc, hapo mimi swali la nne hilo lingeni dropisha points kimtindo. kila la kheri wapambanajiHayakuwa magumu sana mfano haya ni kwa watu wa Degree