Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Unauliza au unatoa jibu hauoni hapo kayaelezea?

Huwa unapenda kudandia SGR kwa mbele...

Soma comments zote kabla huja quote mtu...

Hapana mimi sikuwepo,nakaribia kustaafu Utumishi wa Umma,kwa kifupi mitihani kama hii huwa ni General Knowledge tu na kujua current issues. Nakumbuka vijana waliokuwa wanatafuta kazi za TAKUKURU mwaka jana waliambiwa waandike National Anthem,jasho liliwatoka[emoji848]lakini waulize mambo ya kina Pacome sijui Aziz Ki,wanajua mpaka majina ya Vijiji walivyozaliwa huko kwao. Hata huyu wangu ananiambia jana yupo busy anajibu maswali akashangaa watahiniwa wenzake aliokaa nao karibu wote wanamgongea kumuomba awasaidie,hivyo nae aka-conclude hawakuwa wamejiandaa
 
Huwa unapenda kudandia SGR kwa mbele...

Soma comments zote kabla huja quote mtu...
Sijadandia treni kwa mbele mkuu, wewe umeuliza haya ndio maswali yenyewe wakati unaona kabisa yamewekwa maswali na majibu kabisa hapo
 
Mm niliona tulivyojichoresha oral pccb,unatok unasem maswali mbn yakawaid apa uhakika 90% kumbe hamna kitu,saiv stak kuckia nkiona nafas za kaz sjui uhamiaj,sjui polic,magereza sjui pccb yte naskip km kungekua na option ya kuignore bas ningeignore na kureport juu..ngj nkomae PSRS awa kidg ma2main yapo ypo[emoji1787][emoji1787]..kupotezea pesa tu watt wa maskin
Kupata 90 sio tatizo, kumbuka paper ilivyokua rahisi kwako na kwa wenzako ni rahisi hivyo hivyo. Hapo mnatofautiana namna mlivyojibu.
Wewe una 90 wenzako wana 95 kwenda juu. Nafasi kama zinatakiwa 50 wanaangalia watu hamsini wa kwanza wenye maksi nyingi. Ukiwa na 92 wenzako 50 wana 93 hadi 98 lazima mwenye 92 ukose nafasi.
 
Madogo wamejaza vichwani mwao wachezaji wa machesta, Liverpool, Yanga na vitu kama hivyo na wanaa degree tena first class.

Mtihani wa written tena wa general knowledge unakosaje kupiga 90+?

Hapo wangeulizwa wachezaji wa Liverpool wangewataja wa kuanzia mwaka 1950 hadi sasa na wangesema nani yuko hai, nani kafa na nani mgojwa na wanaishi wapi na wana watoto wangapi.
Akili za kubeti zinataka zikalinde mipaka yetu kweli..??
 
Back
Top Bottom