Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
Walitegemea maswali kuhusu Zuchu katoa nyimbo gani iliyohit😂😂
 
Madogo wamejaza vichwani mwao wachezaji wa machesta, Liverpool, Yanga na vitu kama hivyo na wanaa degree tena first class.

Mtihani wa written tena wa general knowledge unakosaje kupiga 90+?

Hapo wangeulizwa wachezaji wa Liverpool wangewataja wa kuanzia mwaka 1950 hadi sasa na wangesema nani yuko hai, nani kafa na nani mgojwa na wanaishi wapi na wana watoto wangapi.
Na wanalipwa sh ngapi.

Madogo hawa ni hamna kitu.

Wanashadadia vitu vya kijinga visivyowasaidiamaishani
 
Back
Top Bottom