Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Hapana mimi sikuwepo,nakaribia kustaafu Utumishi wa Umma,kwa kifupi mitihani kama hii huwa ni General Knowledge tu na kujua current issues. Nakumbuka vijana waliokuwa wanatafuta kazi za TAKUKURU mwaka jana waliambiwa waandike National Anthem,jasho liliwatoka[emoji848]lakini waulize mambo ya kina Pacome sijui Aziz Ki,wanajua mpaka majina ya Vijiji walivyozaliwa huko kwao. Hata huyu wangu ananiambia jana yupo busy anajibu maswali akashangaa watahiniwa wenzake aliokaa nao karibu wote wanamgongea kumuomba awasaidie,hivyo nae aka-conclude hawakuwa wamejiandaa
😁😁
 
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
Mtihani kama maswali ndio yapo ivo kweli ulikuwa mrahisi sana
 
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
we ndio uwe serious ZAC na Zanzibar Airport Authority Vinaingiliana kweli
 
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
Kuna muda mwingine ni vyema ukae utulie kabila ya kutoa nonesense maana kuepusha aibu.
 
Hapana mimi sikuwepo,nakaribia kustaafu Utumishi wa Umma,kwa kifupi mitihani kama hii huwa ni General Knowledge tu na kujua current issues. Nakumbuka vijana waliokuwa wanatafuta kazi za TAKUKURU mwaka jana waliambiwa waandike National Anthem,jasho liliwatoka[emoji848]lakini waulize mambo ya kina Pacome sijui Aziz Ki,wanajua mpaka majina ya Vijiji walivyozaliwa huko kwao. Hata huyu wangu ananiambia jana yupo busy anajibu maswali akashangaa watahiniwa wenzake aliokaa nao karibu wote wanamgongea kumuomba awasaidie,hivyo nae aka-conclude hawakuwa wamejiandaa
Swali la kuandika wimbo wa Taifa halikuwepo. (takukuru 2022 na 2023)
 
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
Aisee unaendaje interview hujasoma walau highlights za kitu unachoenda kufanyia interview Aisee , ibaki yale ya bahati mbaya ila sio kukosa yote
 
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana

Hayo ndio maswali wameuliza?
 
Mm niliona tulivyojichoresha oral pccb,unatok unasem maswali mbn yakawaid apa uhakika 90% kumbe hamna kitu,saiv stak kuckia nkiona nafas za kaz sjui uhamiaj,sjui polic,magereza sjui pccb yte naskip km kungekua na option ya kuignore bas ningeignore na kureport juu..ngj nkomae PSRS awa kidg ma2main yapo ypo[emoji1787][emoji1787]..kupotezea pesa tu watt wa maskin

Jinsi unavyoandika tu Kiswahili, lazima ukutane na "ndoige"...
 
Back
Top Bottom