Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Hapana mimi sikuwepo,nakaribia kustaafu Utumishi wa Umma,kwa kifupi mitihani kama hii huwa ni General Knowledge tu na kujua current issues. Nakumbuka vijana waliokuwa wanatafuta kazi za TAKUKURU mwaka jana waliambiwa waandike National Anthem,jasho liliwatoka[emoji848]lakini waulize mambo ya kina Pacome sijui Aziz Ki,wanajua mpaka majina ya Vijiji walivyozaliwa huko kwao. Hata huyu wangu ananiambia jana yupo busy anajibu maswali akashangaa watahiniwa wenzake aliokaa nao karibu wote wanamgongea kumuomba awasaidie,hivyo nae aka-conclude hawakuwa wamejiandaa
Walichekechwa vibaya mno.
 
Kaka ww ni simba kabisa[emoji23]. Bdo hamjasemaaa
 
Kazi za sikuhizi usaili ni geresha tu tayari wanakua wana watu wao washawaset
Mm niliona tulivyojichoresha oral pccb,unatok unasem maswali mbn yakawaid apa uhakika 90% kumbe hamna kitu,saiv stak kuckia nkiona nafas za kaz sjui uhamiaj,sjui polic,magereza sjui pccb yte naskip km kungekua na option ya kuignore bas ningeignore na kureport juu..ngj nkomae PSRS awa kidg ma2main yapo ypo[emoji1787][emoji1787]..kupotezea pesa tu watt wa maskin
 
Nyie bishaneni kuhusu maswali wakati katika hao 500 almost 300 tayari washapatikana kabla

300? Mbona wengi unakuta hapo nafasi za wazi yaani gombania goli ni 5 zingine ni bosheni tu siku ya Seminar unakutana nao sio written wala oral hahahaha..
 
Back
Top Bottom