Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza

Usahili uhamiaji sio poa paper imekaza
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
 
Mtihani Kama ndo huu MTU smart anatoboa
 
Madogo wamejaza vichwani mwao wachezaji wa machesta, Liverpool, Yanga na vitu kama hivyo na wanaa degree tena first class.

Mtihani wa written tena wa general knowledge unakosaje kupiga 90+?

Hapo wangeulizwa wachezaji wa Liverpool wangewataja wa kuanzia mwaka 1950 hadi sasa na wangesema nani yuko hai, nani kafa na nani mgojwa na wanaishi wapi na wana watoto wangapi.
 
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana
Anaejielewa na anajua nini anataka hawezi kosa maswali ya hivo, afterall anakua ashajiandaa nayo.

Au alienda kichwa kichwa tu no discussion na wenzie, wala hakupitia chochote, akaingia mzima mzima. Kama ni hivo lazima pepa liwe gumu kwake
 
Kila siku ulivyokuwa unauliza Usaili wa Uhamiani ni lini halafu leo unalalamika Pepa gumu kweli??sasa kirefu cha ZAC(Zanzibar Airport Authority)nacho ni kitu cha kukosa??Majukumu ya Uhamiaji na Core Values zake si zipo kwenye Website ya Uhamiaji!!kutaja Tanzania ni mwanachama wa economic blocks zipi majibu si ni mepesi tu AU, EAC,SADC nk. Tanzania Bara ina Mikoa mingapi? Zanzibar ina Mikoa mingapi??ni vitu vya kushindwa hivyo kweli??kujieleza wasifu wako tangu uzaliwe mpaka sasa(ulisoma wapi nk)ni Pepa gumu hilo kweli??kuweni serious vijana

Ngoja aje mtoa mada kama kweli maswali ni haya maana kama unataka kumfanya yeye kilaza wewe ni mwelevu maana kuna moja hapo umetulisha tango pori mchana kweupe mwenzako kataja "ZAAC" wewe umetaja kirefu cha "ZAA"

Kama mulikua wote basi na wewe umelamba ndoige😀😀

Anyway iko hivi ukiwa nje ya pepa mtihani wowote huwa ni mrahisi kama ulivoeleza ila unapoingia kwenye chumba cha mtihani kwa kuwa hujui ni swali gani unakutana nalo unatoka jasho kwa kuwa maswali unayoyakuta ni surprise kwako kwa maana ukuyategemea ,unaingia unakutana na maswali ukutegemea kuulizwa,ndo sababu watu wanafel sanai,Tena bora mitihani ya fani/taaluma uliyosomea maana unajua utaulizwa ulichosoma darasani kuliko hii ya general knowledge, unaenda ghafla unaambiwa taja kirefu cha ZAAC mara sijui nini jasho lazima likutoke,na maswali madogo madogo na mepesi ila kwenye chumba cha mtihani yanakua magumu hivyo msiwaone vilaza watakaoshindwa huo usaili
Ndo maana uliwekwa ili kuchuja watu,mtihani ni mtihani tu mkuu
 
Ngoja aje mtoa mada kama kweli maswali ni haya maana kama unataka kumfanya yeye kilaza wewe ni mwelevu maana kuna moja hapo umetulisha tango pori mchana kweupe mwenzako kataja "ZAAC" wewe umetaja kirefu cha "ZAA"

Kama mulikua wote basi na wewe umelamba ndoige

Anyway iko hivi ukiwa nje ya pepa mtihani wowote huwa ni mrahisi kama ulivoeleza ila unapoingia kwenye chumba cha mtihani kwa kuwa hujui ni swali gani unakutana nalo unatoka jasho kwa kuwa maswali unayoyakuta ni surprise kwako kwa maana ukuyategemea ,unaingia unakutana na maswali ukutegemea kuulizwa,ndo sababu watu wanafel sanai,Tena bora mitihani ya fani/taaluma uliyosomea maana unajua utaulizwa ulichosoma darasani kuliko hii ya general knowledge, unaenda ghafla unaambiwa taja kirefu cha ZAAC mara sijui nini jasho lazima likutoke,na maswali madogo madogo na mepesi ila kwenye chumba cha mtihani yanakua magumu hivyo msiwaone vilaza watakaoshindwa huo usaili
Ndo maana uliwekwa ili kuchuja watu,mtihani ni mtihani tu mkuu
Hapana mimi sikuwepo,nakaribia kustaafu Utumishi wa Umma,kwa kifupi mitihani kama hii huwa ni General Knowledge tu na kujua current issues. Nakumbuka vijana waliokuwa wanatafuta kazi za TAKUKURU mwaka jana waliambiwa waandike National Anthem,jasho liliwatokalakini waulize mambo ya kina Pacome sijui Aziz Ki,wanajua mpaka majina ya Vijiji walivyozaliwa huko kwao. Hata huyu wangu ananiambia jana yupo busy anajibu maswali akashangaa watahiniwa wenzake aliokaa nao karibu wote wanamgongea kumuomba awasaidie,hivyo nae aka-conclude hawakuwa wamejiandaa
 
Mkuu mna connection lakini? unaweza piga 98 hiyo paper ila kitakachowakuta hamtoamini.

NB, Wapo wanaopata bila connection kwa asilimia chache sana.
 
Hapana mimi sikuwepo,nakaribia kustaafu Utumishi wa Umma,kwa kifupi mitihani kama hii huwa ni General Knowledge tu na kujua current issues. Nakumbuka vijana waliokuwa wanatafuta kazi za TAKUKURU mwaka jana waliambiwa waandike National Anthem,jasho liliwatokalakini waulize mambo ya kina Pacome sijui Aziz Ki,wanajua mpaka majina ya Vijiji walivyozaliwa huko kwao. Hata huyu wangu ananiambia jana yupo busy anajibu maswali akashangaa watahiniwa wenzake aliokaa nao karibu wote wanamgongea kumuomba awasaidie,hivyo nae aka-conclude hawakuwa wamejiandaa
Sawa,ZAAC ndio nini?
 
Back
Top Bottom