Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,468
[QUOTE="Zanzibar-AS
3/Taarifa hii ya ufafanuzi imetolewa na upande wa mkuu wa wilaya ambayo ndio inayodaiwa kutesa watu. Nini maana ya story kuwa balanced?
4/Kama shughuli ilikuwa ni ya kujitolea, kwanini watu wasakwe, warushwe rushwe kichura, wakimbizwe masokoni, Wahukumiwe kwa kwenda kilabuni?
?[/QUOTE]
we nawe acha ukuku na ujuaji...tangu lini kanusho likawa balanced? hujui kutofautisha kati ya taarifa/habari na kanusho ...kaaa kimya!
Hivi tangu lini askari ambaye yuko on duty akufuate we we ambayw unatambua majukumu yako bila kukupa adhabu kidogo? acha upulizi