Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,811
- 40,417
Kwa hiyo maendeleo yaje kwa wananchi kupigwa na kufanyishwa Kazi siku ya Ibada. Utakuwa hujitambui. Wewe ungezuiwa kihudhuria Ibada uende Songambele ungeona sawa tu.?Munaleta hoja isiyo na msingi. ZAHANATI wameiomba hao hao wanakijiji kutokana na shida wanayoipata... zahanati inajengwa mara moja na minada iko kila siku. Sasa unataka waichezee fursa itakayowahudumia wao wenyewe.
Istoshe walikubaliana hao wenyewe siku ya kwenda kushirikiana kuijenga sasa wanapotoroka kazi yao wenyewe unataka mkuu wa wilaya afanye nini....
Musiwe wanafiki wa kudai maendeleo huku mukishindwa kuisimamia wenyewe. Tutabaki na porojo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app