Usahihi wa taarifa toka Nkasi

Usahihi wa taarifa toka Nkasi

Wakuu,

Kuna Uzi umepandishwa jukwaani ukiwa na taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amewaamuru askari kuwaadhibu wananchi.

Ufafanuzi wa taarifa hiyo ni kama ifuatavyo:

Jana, Wananchi, Mbunge na Mkuu wa Wilaya hiyo Ndg Said Mtanda walikubaliana kufanya kazi ya kujenga zahanati ya kijiji iliyokwama kwa takriban miaka 5 huku wananchi wakitembea umbali wa Km 20 kufuata huduma za afya.

Wakati huo huo kwenye kijiji cha Ntuchi (siku ya jana Jumamosi) kulikuwa na mnada ukiendelea hivyo baadhi ya vijana walitajwa kwenda kunywa pombe kinyume na makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja (Songambele).

Askari wa JKT ambao ni mafundi walikuja kusaidia ujenzi wa zahanati hiyo kwakuwa zana zote ( Mbao, bati, misumari) kwa miaka miwili vimekuwa vikioza.

Vijana waliokuwa wamekwenda mnadani walifuatwa wakaletwa ili kushiriki zoezi hilo (songambele).

Askari waliwaleta wananchi ili kufanikisha zoezi hilo na waliokaidi walirushwa kichura chura!

Wananchi kwa pamoja wamefurahi kwakuwa kazi iliyopangwa imefanyika.

Mpaka kufikia muda huu ( Leo jumapili 13, August) wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi kuendelea kushiriki zoezi hill.

Hakuna wanajeshi waliokuja kushiriki Bali ni service men waliojitokeza kujenga zahati kwa kushirikiana na wananchi.

Pia askari hao hao (service men) walishiriki shughuli za maendeleo katika kijiji cha Kasu.

Mtoa taarifa aliyejitanabaisha kama mwanahabari anapaswa kufuata misingi na weledi wa taaluma ya habari.

Ofisi ya mkuu wa wilaya Nkasi imesikitishwa na taarifa zilizotolewa mtandaoni za upotoshwaji!
Kama huu ndo usahihi basi alichoandika yule mwanahabari ni kweli
 
Mleta utetezi labda umetumwa kusema kwa niaba na hukuambiwa uishie wapi. Nataka nikwambie kuhusu RUKWA na kabila asili la mkoa huo. Asilimia kubwa ya WAFIPA ni Wakristo tena wa dhehebu la Roman Catholic, kuwaambia Wakatoliki waache kwenda Kanisani wafanye Kazi Jumapili kwa kusimaiwa na Wanajeshi unasema wamefurahi?? Nchi hii imefikia mahali watu wananyimwa Uhuru Wa kuabudu wanalazimishwa kufanya Kazi? Au kwa vile siyo dini ya Mkuu wa Wilaya? Kama zahanati imesimama ujenzi miaka mitano, waliokwamisha ni hao wananchi au ufisadi Wa viongozi? Yaani unataka kutufanganya simenti ilikuwepo miaka mitano iliyopita waliokwamisha ujenzi ni hao wananchi? Mnapotetea ukiukwaji wa utawala bora kama huu mnatuonyesha jinsi mpivyokosa busara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mhmhmh kwaiyo jeshi ndo limesingiziwa au? lol kama ni kweli jeshi linaanza kushirikishwa uku kwa watu wa kawaida tuendako c kuzuri ila kama si kweli basi sawa pambaneni na hali zenu
 
Mkuu..inamaana kichura chura ni sawa na kupigwa?! Ndiyo tafsiri yako hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu Adrian sijasema popote kuwa hayo mawili ni sawa. Kwangu ufafanuzi wa taarifa umethibitisha ushiriki wa nguvu ya kuadhibu kwa waliokaidi. Siweki mkazo kwenye uhalali wa kilichofanyika ila najaribu tu kuelewa ufafanuzi uliotolewa.
Sijui Kama mtu mzima mwenye akili timamu anaweza kurushwa kichura kwa hiari.
Shukrani.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia nchi hii askari wanaweza kukurusha kichura chura kwa kukubembeleza na maneno? Usijitoe ufahamu hapa.

Siku zote kichura chura cha kurushwa na Askari wa Kiafrika huwa kinakwenda sambamba na viboko, mateke na Vibao.

Mkuu nahisi Adrian ana maslahi binafsi hapa anataka tuamini kuwa kurushwa kichura chura ni jambo dogo na la kawaida wakati kiukweli ni udhalilishaji wa hali ya juu.
 
Wakuu,

Kuna Uzi umepandishwa jukwaani ukiwa na taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amewaamuru askari kuwaadhibu wananchi.

Ufafanuzi wa taarifa hiyo ni kama ifuatavyo:

Jana, Wananchi, Mbunge na Mkuu wa Wilaya hiyo Ndg Said Mtanda walikubaliana kufanya kazi ya kujenga zahanati ya kijiji iliyokwama kwa takriban miaka 5 huku wananchi wakitembea umbali wa Km 20 kufuata huduma za afya.

Wakati huo huo kwenye kijiji cha Ntuchi (siku ya jana Jumamosi) kulikuwa na mnada ukiendelea hivyo baadhi ya vijana walitajwa kwenda kunywa pombe kinyume na makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja (Songambele).

Askari wa JKT ambao ni mafundi walikuja kusaidia ujenzi wa zahanati hiyo kwakuwa zana zote ( Mbao, bati, misumari) kwa miaka miwili vimekuwa vikioza.

Vijana waliokuwa wamekwenda mnadani walifuatwa wakaletwa ili kushiriki zoezi hilo (songambele).

Askari waliwaleta wananchi ili kufanikisha zoezi hilo na waliokaidi walirushwa kichura chura!

Wananchi kwa pamoja wamefurahi kwakuwa kazi iliyopangwa imefanyika.

Mpaka kufikia muda huu ( Leo jumapili 13, August) wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi kuendelea kushiriki zoezi hill.

Hakuna wanajeshi waliokuja kushiriki Bali ni service men waliojitokeza kujenga zahati kwa kushirikiana na wananchi.

Pia askari hao hao (service men) walishiriki shughuli za maendeleo katika kijiji cha Kasu.

Mtoa taarifa aliyejitanabaisha kama mwanahabari anapaswa kufuata misingi na weledi wa taaluma ya habari.

Ofisi ya mkuu wa wilaya Nkasi imesikitishwa na taarifa zilizotolewa mtandaoni za upotoshwaji!

Asante kwa Taarifa msemaji wa mkuu wa wilaya ya Nkasi.
 
Hii nina hakika umeichuja na umetumwa kumuokoa mkuu wa wilaya. Mbunge wa Nkasi tunajua tabia yake hashinwdi kumshauri mkuu wa wilaya watu wapigwe
Ni kwa sababu wewe umejaliwa kupiga kila kitu na hauna msamiati ambao ni positive kwa utendaji wa Serikali. Nyie ndio huwa mnapoambiwa hameni eneo mnaloishi kutakuwepo mafuriko mnakataa mpaka mtakazolewa ndio mnaanza za "ningejua."
 
Wakuu,

Kuna Uzi umepandishwa jukwaani ukiwa na taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amewaamuru askari kuwaadhibu wananchi.

Ufafanuzi wa taarifa hiyo ni kama ifuatavyo:

Jana, Wananchi, Mbunge na Mkuu wa Wilaya hiyo Ndg Said Mtanda walikubaliana kufanya kazi ya kujenga zahanati ya kijiji iliyokwama kwa takriban miaka 5 huku wananchi wakitembea umbali wa Km 20 kufuata huduma za afya.

Wakati huo huo kwenye kijiji cha Ntuchi (siku ya jana Jumamosi) kulikuwa na mnada ukiendelea hivyo baadhi ya vijana walitajwa kwenda kunywa pombe kinyume na makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja (Songambele).

Askari wa JKT ambao ni mafundi walikuja kusaidia ujenzi wa zahanati hiyo kwakuwa zana zote ( Mbao, bati, misumari) kwa miaka miwili vimekuwa vikioza.

Vijana waliokuwa wamekwenda mnadani walifuatwa wakaletwa ili kushiriki zoezi hilo (songambele).

Askari waliwaleta wananchi ili kufanikisha zoezi hilo na waliokaidi walirushwa kichura chura!

Wananchi kwa pamoja wamefurahi kwakuwa kazi iliyopangwa imefanyika.

Mpaka kufikia muda huu ( Leo jumapili 13, August) wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi kuendelea kushiriki zoezi hill.

Hakuna wanajeshi waliokuja kushiriki Bali ni service men waliojitokeza kujenga zahati kwa kushirikiana na wananchi.

Pia askari hao hao (service men) walishiriki shughuli za maendeleo katika kijiji cha Kasu.

Mtoa taarifa aliyejitanabaisha kama mwanahabari anapaswa kufuata misingi na weledi wa taaluma ya habari.

Ofisi ya mkuu wa wilaya Nkasi imesikitishwa na taarifa zilizotolewa mtandaoni za upotoshwaji!
Hivi kazi ya serikali ni nini? Miaka karibia 60 bado zahanati no kizungumkuti? we're!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe mleta ufafanuzi hapa ndio umeharibu kabisa. Yaani una kiri kulikuwa na kulazimishwa na kuteswa kwenda kujenga hicho kituo, lakini ukaharibu kwa kuleta ushabiki wa kumtetea mkuu wa wilaya kishamba. Kwa mfano...

1/Yaani taarifa nzima imejichanganya. Mara vijana wamekwenda kunywa pombe, mara watu wamechukuliwa Gulioni, mara Askari (service men!), Mara hawajapigwa lakini wamerushwa vichura chura nk. Ni mchanganyiko kuliko usahihisho.

2/Mleta ufafanuzi hapa husemi wewe ni nani katika ufafanuzi huu. Wewe ni mkuu wa wilaya hiyo? Wewe ni msemaji wake? Wewe ni shuhuda? Wewe ni mleta mada tu lakini una source?

3/Taarifa hii ya ufafanuzi imetolewa na upande wa mkuu wa wilaya ambayo ndio inayodaiwa kutesa watu. Nini maana ya story kuwa balanced?

4/Kama shughuli ilikuwa ni ya kujitolea, kwanini watu wasakwe, warushwe rushwe kichura, wakimbizwe masokoni, Wahukumiwe kwa kwenda kilabuni?

5/Hivi ukaidi ni nini katika tukio hili? Kama suala ni kuombwa kujitolea, na mtu akakataa kujitolea ili aendelee na shughuli zake za kutafuta pesa, kuna kosa gani hapo?
J F kuna vichwa vinachaji kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom